Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,874
- 233,408
Nimecheka kama chiziFlano ana ujinga sana
Nimecheka kama chiziFlano ana ujinga sana
Huyu ndio straika wenu 😝😝😝?Bambucha nini kimemkutaView attachment 3189145
Timu hii ikifungwa na kuicheka mnapata dhambi, ni kama vile kumcheka mgumba kupitisha mwaka mwingine bila mtoto, ni dhambi.
Na nyie man u achaneni na hao matapeli, kina HAKIKA REUBEN, njoonj mumchukue anko JUMA MGUNDA nawahakikishia mtacheza conference league 🤣😂..
Jaribuni kina pacome, kapombe, abdulrazaq hamza, fei toto, max nzengeli watawasaidia saana.
Ni kushuka daraja ndio kilichobakiNi jibi hatma ya man united
Wewe""%£Manyumbu mechi na Newcastle leo wamepiga shot on target 1 tu dakika zote 90. Hatari sana halafu wako nyumbani kwao OT 😀😀.
Vipi hukoo...???Chelsea tumelambwa kimoja ila tunakirudisha hiki na ushindi juu, amini maneno yangu mana Mm sio mhuni kama mashabiki wa nyumbu
Achana na chelsea ongeza nguvu ombea hawa wanaoelekea kushuka darajaDakika 3 za utulivu tuwaombee man utd na chelsea.
Sasa timu lenyewe la kijinga, ya nini tupoteze maneno yetu ya maana.Nilisoma kumbe ujinga mtupu
Arsenal sasa kaingiaje hapa mkuuUko sahihi hii team imerogwa na arsena8
Tutafufukia kwa liverkuku jumapili.
Twende na hoja kwanini una muita tapeli?Huyu tapeli Amorin almanusra atue viunga vya Anfield. 😊
Stats zinaongea.Twende na hoja kwanini una muita tapeli?