Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,891
- 122,773
NYIE nyumbuz mmeshindwa ngapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mabaga Junior Chelkenge mmepata ushindi wa goli ngapi mkuu?
NYIE nyumbuz mmeshindwa ngapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mabaga Junior Chelkenge mmepata ushindi wa goli ngapi mkuu?
Tatizo la man u ni wachezaji si kocha, kuna culture inaendelea mle ndani. Man u ikubali kuvunja mikataba ya wachezaji wa first team woteNi kama vile wachezaji wamemgomea Kocha mapema sana.
Nyakati kama hizi ndipo unapoona umuhimu wa Juma Mgunda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tumeshindwa 2 lakini siyo na Ipswich mkuu.NYIE nyumbuz mmeshindwa ngapi mkuu
We unamuita Anthony winga makini? 😂😂😂"Mawinga" watatu makini wako nje (Garna, Rash, Anthony) halafu unaweka mtu hajawahi kuxheza winga toka azaliwe (Zirkzee) na unategemea kushinda. Huyu kocha ni mbwa tu.
Mkija kushtuka mtakua mmechelewa sanaKuna watu hawana bahati duniani.
Mfano Pele, alikua akisema timu Fulani inashinda basi ujue inapigwa.
Akisema Timu hii inachukua kombe basi hata makundi haivuki.
Hii bahati mbaya ndiyo anayo alipipi. Mzuieni asiendelee kutabiri matokeo in favour ya united, bora atabiri mnafungwa ili awe kafanya kinyume
2-0Chelsea tumelambwa kimoja ila tunakirudisha hiki na ushindi juu, amini maneno yangu mana Mm sio mhuni kama mashabiki wa nyumbu
Flano ana ujinga sana😂😂😂😂
Mapema sana kumuamini hivyoEpl kwa ma surprise inaongoza naona Nottingham Forest kakaza matako kweli kweli anataka aende Uefa
Nimecheka kama chiziFlano ana ujinga sana
Huyu ndio straika wenu 😝😝😝?Bambucha nini kimemkutaView attachment 3189145
Timu hii ikifungwa na kuicheka mnapata dhambi, ni kama vile kumcheka mgumba kupitisha mwaka mwingine bila mtoto, ni dhambi.
Na nyie man u achaneni na hao matapeli, kina HAKIKA REUBEN, njoonj mumchukue anko JUMA MGUNDA nawahakikishia mtacheza conference league 🤣😂..
Jaribuni kina pacome, kapombe, abdulrazaq hamza, fei toto, max nzengeli watawasaidia saana.