D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Erik kipara ten hag
Yule jamaa aliekuwa anasema kipara ni jasusi huenda anajua mengi yaliopo nyuma.NYUMBU tunaangamia
Kila mchezaji hamtaki kocha? Wafukuzwe wote, united ikubali kuanza 1Hawa wachezaji hawamtaki kocha nini mbona wanatembea tuu humo uwanjani
Uko sahihi hii team imerogwa na arsena8Unataka ku-attack kwa kumtumia Zirkzee? Labda umelogwa.
Wachezaji wote kama unaweza fanya sub unatoaNyumbu katika mbili tatu za kukata mauno
hata kwenye boksi hatufikiDk 30 hakuna hata shot off goal ***** hawa kesho fukuza wote
Simba na Yanga wanacheza vizuri kuzidi nyumbu.Wachezaji wote kama unaweza fanya sub unatoa
Fukuza tuuKila mchezaji hamtaki kocha? Wafukuzwe wote, united ikubali kuanza 1
Wachezaji wangese sana...sasa ananuna nini wakati uwanja i alikuwa anaruka ruka tuu🤣🤣🤣🤣Zirkzee out Mainoo in. Afadhali