[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mabaga Junior Chelkenge mmepata ushindi wa goli ngapi mkuu?Chelsea tumelambwa kimoja ila tunakirudisha hiki na ushindi juu, amini maneno yangu mana Mm sio mhuni kama mashabiki wa nyumbu
Unatuchukuliaje Ken Gold yetu wana Chunya?***** naye Chelsea huko chali.
Vidude viwili kama sisi tu. Na bora sisi tumepigwa na mkubwa mwenzetu, Chelsea kapigwa na Ken Gold ya uingereza.
Hizi timu zote zifanye tour kwa Pastor Sunguye
🤣🤣🤣Eti mabaga junior,nimecheka Hadi nimepaliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mabaga Junior Chelkenge mmepata ushindi wa goli ngapi mkuu?
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mabaga Junior Chelkenge mmepata ushindi wa goli ngapi mkuu?
Atakuwa kama villa msimu wa janaEpl kwa ma surprise inaongoza naona Nottingham Forest kakaza matako kweli kweli anataka aende Uefa
😂😂😂Kocha anachuchumaa mara nyingi kuliko mechi alizoshinda 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Epl kwa ma surprise inaongoza naona Nottingham Forest kakaza matako kweli kweli anataka aende Uefa
Leo newcastle wamekuwa wakubwa wenzenu ? Ama kweli zama zimebadilika,Mamamaeee naye Chelsea huko chali.
Vidude viwili kama sisi tu. Na bora sisi tumepigwa na mkubwa mwenzetu, Chelsea kapigwa na Ken Gold ya uingereza.
Namba 5 umenifanya nicheke kwa nguvu alafu ni usiku eti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwisho wa Msimu mambo yatakuwa kama hivi,
1. Liverpool atakuwa ameshafikisha mapoint kibao(Bingwa tayari)
2. Arsenal atakuwa kwenye vita kali ya kupambania nafasi yake ya Tatu hapa ndo msemo wa linda ulichonacho utaanza kazi.....Tumaini la ubingwa litapotea kabisa
3. Nottingham atakuwa kila mechi anacheza jihad ili tu kusalia nafasi ya pili
4. Chelsea,Tottenham,aston vila, man city na takataka nyingine zote hao watakuwa kwenye vita kali sana watarogana, Kupigana mabuti, fukuza fukuza ya makocha itashamiri mwisho wa msimu hii yote itasababishwa na kugombania tonge la Nne(Nafasi ya nne)
5. Man utd itakuwa kwenye vita kali na wakina ipswich na Leicester wanagombana wasishuke daraja,
Yani hapo Mbungi litapigwa Man utd atahonga hata VAR zisiletwe uwanjani... ili tu abakishwe Epl asiende mchangani. Kwa dokezo tu kipindi hiki Gabachori wenu Amorim atakuwa anapangiwa kikosi na yule kocha wenu Van ndame.