Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,904
- 3,099
Hili ni lijinga. Kumbe mishabiki mijinga Kama hii bado ipoš¬Mtamkumbuka kipara mazwazwa nyie.
Hili ni lijinga. Kumbe mishabiki mijinga Kama hii bado ipoš¬Mtamkumbuka kipara mazwazwa nyie.
Zile 8 za kipindi kile bado zinakuumaPunda wewe
Nyumbu ni Nyumbu tuSubiri kikishawaramba tunawaomba msilikimbie jukwaa lenu, leo ni siku yetu ya kupunguza gape la points3 dhidi ya Arsenyau.
Duh.Zile 8 za kipindi kile bado zinakuuma
NisaidienƬ kwa nini ikawa kipa hakai sawa, na wachezaji wa man utd hawana habari na wale wanaojitenga mbele ya kona??When Arsenal get a corner, it is almost like a penalty
Nisamehewe mganga, lamri imeenda sivyo.Punda wewe
Kufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumiAya mmeshashinda ubingwa wenu wa kumfunga Manchester
Tukutane FA hatuwezi fungwa mara mbili
šš tukutane FAKufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumi
Tunawatoa FA hilo nina uhakika naloMuhindi alipowapa odds 10+ mlimuona mjinga au sio
Kwakua Hakika Ruben atataka kuwarudishia imani mashabiki kwakua leo anaweza akajikuta anarudi nafasi ya 13 anaweza akafunga full mkoko FA.šš tukutane FA
Kuna chemistry hapo haijaeleweka kwa wapinzani wetuNisaidienƬ kwa nini ikawa kipa hakai sawa, na wachezaji wa man utd hawana habari na wale wanaojitenga mbele ya kona??
Tunakobonda vzr tu, wewe had kwenye mabonanza nimekupiga mwaka huuTunawatoa FA hilo nina uhakika nalo