Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,958
- 3,206
Zile 8 za kipindi kile bado zinakuumaPunda wewe
Zile 8 za kipindi kile bado zinakuumaPunda wewe
Nyumbu ni Nyumbu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Subiri kikishawaramba tunawaomba msilikimbie jukwaa lenu, leo ni siku yetu ya kupunguza gape la points3 dhidi ya Arsenyau.
Duh.Zile 8 za kipindi kile bado zinakuuma
Nisaidienì kwa nini ikawa kipa hakai sawa, na wachezaji wa man utd hawana habari na wale wanaojitenga mbele ya kona??When Arsenal get a corner, it is almost like a penalty
Nisamehewe mganga, lamri imeenda sivyo.Punda wewe
Kufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumiAya mmeshashinda ubingwa wenu wa kumfunga Manchester
Tukutane FA hatuwezi fungwa mara mbili
😃😃 tukutane FAKufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumi
Tunawatoa FA hilo nina uhakika naloMuhindi alipowapa odds 10+ mlimuona mjinga au sio
Kwakua Hakika Ruben atataka kuwarudishia imani mashabiki kwakua leo anaweza akajikuta anarudi nafasi ya 13 anaweza akafunga full mkoko FA.😃😃 tukutane FA
Kuna chemistry hapo haijaeleweka kwa wapinzani wetuNisaidienì kwa nini ikawa kipa hakai sawa, na wachezaji wa man utd hawana habari na wale wanaojitenga mbele ya kona??
Tunakobonda vzr tu, wewe had kwenye mabonanza nimekupiga mwaka huuTunawatoa FA hilo nina uhakika nalo
Tuna game na Bournemouth wataalamu wa mipira ya kutenga nadhani watatupa somo zuri namna ya kuzuia mipira hii😃😃😃