mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Nyumbu lazima mchangie points 6, labda mtufunge kwenye FA lakini sio leo[emoji23][emoji23][emoji23] bado hamjasema, leo mtaliwa kimasihara na hamtaani mmeliwaje kiulaini namna hio.
Maghalaes leo hayupo tunawaachieni tu mpige kona idadi mnazozitaka.