Hua napenda kuona matumaini yenu yanavyoyayuka na kuanza matusi.Karibuni mshuhudie mechi ya kimbinu toka kwa super Amorin.
Sasa hivi hata draw mtakuwa hampati dhidi ya united. Iwe kwenu au matofalini.
Umeanza 😅Huyu mjinga Rashford kaaminiwa kwa mara nyingine! Sijui sisi tunakosea wapi kumuangalia kiubora.
Ila ninaamini dakika 90 hamalizi na atakuwa sokoni mwishoni wa msimu.
Amorin is the Chosen One, yule Moyes tuliingizwa mkenge na mScot mwenzie.Hua napenda kuona matumaini yenu yanavyoyayuka na kuanza matusi.
Mie huyu jamaa siukubali uchezaji wake kabisa, ni sawa na Kibu D na Mzize. End products zao zinakuwaga hovyo sana.Umeanza 😅
Kuna siku nilisema ni Mo Salah huyu kama sio Messi.Amad what a run, what a cross.
Mkuu taratibu,,,! Mapema hii ndoo, punguza presha , wacha kocha aisuke timu, aondoe deadwood zote, aweke players wanaofit kwenye system yake, baada ya hapo tumdai makombe ! Just relax