Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,157
- 4,306
Hii man wachezaji mna uhakika wanajua kuwa wapo home leo?? 🤣🤣🤣
Vipi jana kwa "nyukesto" ulishinda?Na bado manyumbu nyie,kazi kubwabwaja midomo tu kwenye majukwaa ya watu lakini kushinda aahh,mnatepeta mpaka makalio
Nimeona "nyukesto" ni noma.Sawasawq.umeona matokeo ya leo!!
Kila mtu ashinde mechi zake nyie mashabiki wa Arsenal mmezoea kujifariji na top 4 na hukuna chenye mnaenda fanya huko uefa, ni bora mrudi kwenye nafasi zenu mlizozoea enzi za mzee Wenger. Kocha mpya wa Man u hawezi kucheza misimu saba kama Arteta bila kuchukua ligi achilia mbali vikombe vya sungura ambavyo mpaka sasa Arteta hana. Kwa ushauri tu tafuteni kocha wa kueleweka maana hayo makombara yenu ya ballistic Arteta keshayatafutia ufumbuzi wa kuyalipua juu kwa juu kabla hajamfikiaHizi ndoto zingine kwahyo nyie mkiwa mnashinda na wao ambao wapo top 4 wazubae wapoteze km mechi 3 mfululizo? 😂😂...swala la top 4 lisahauni kabisa
ebwana nilikua sipo online ruka na hiiShusha link mzee wa phase 5.
Wahuni wamezima saa 1 kamili
Kuna wachezaji wake ni empty kabisa. Inatakiwa aende naoHuyu UGARTE ni kabila gani???? Mbona huyu ETH katuachia majanga hivi.
Kuna wachezaji wake ni empty kabisa. Inatakiwa aende nao
Kipara hahusiki na usajili wa UGARTE.Huyu UGARTE ni kabila gani???? Mbona huyu ETH katuachia majanga hivi.
Huyu Ugarte kuna wasiwasi leo atakula umeme. Yellow card ya pili inamnyemelea.Kuna wachezaji wake ni empty kabisa. Inatakiwa aende nao
Sawa gigy moneyManyumbu sasa huu moto mtakaopelekewa ni wa kuomba maji
Lazima uwe na mbadala mkuu. Mie nimeshindwa kabisa.Huu ni wakati wa mimi sasa kuacha kufuatilia mpira.
Huyu Ugarte kuna wasiwasi leo atakula umeme. Yellow card ya pili inamnyemelea.
Wachezaji wa utd ni kama hawajiamini kila wakishika mpira ni kama wanatetemeka na hawajui wapi pakupeleka wanahitaji mwanasaikolojia. Embu angalia jinsi Garnacho alivyopoteza nafasi leo unamlaumuje kocha. Hamad anapaswa kupewa nafasi angalau anaweza kudribble, kufinya, na kutoa pass.Nimeangalia msimamo wa ligi baada ya mechi, naweza kubashiri kwa 99.9% kwamba zile timu zote zilizoko top 10 hakuna ambayo tutaishusha/kuifunga comfortably.
Amorin and kazi ya kufanya sio ya kitoto.
Nikifiria kocha mpya anakuja kufundisha hawa washambuliaji nakata tamaaWachezaji wa utd ni kama hawajiamini kila wakishika mpira ni kama wanatetemeka na hawajui wapi pakupeleka wanahitaji mwanasaikolojia. Embu angalia jinsi Garnacho alivyopoteza nafasi leo unamlaumu kocha.