Man u watuongezee hata kumi mason bonge la mchezaji ujueHivi Mount Mason bado yupo Man Utd? Kumbukeni mechi ijayo mnacheza dhidi ya Col Palmer.
Ila we jamaa 😅😅Duh, Baada ya kuangalia El-Clasico ya jana na ubora wa wachezaji wa timu zote mbili, nimeangalia hiki kikosi nikajisemea 'mwaka huu hatutoboi popote' katimu ka hovyo sana haka.