Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yanited contributed 0 wins and 3 draws to this stat 😭😭
 

Attachments

  • Screenshot_20241025-191656_1.jpg
    Screenshot_20241025-191656_1.jpg
    439 KB · Views: 24
Wazee wamenyimwa lift🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 20241026_130329.jpg
    20241026_130329.jpg
    272.2 KB · Views: 27
Timu yetu kwa kweli haivutii kutizama wachezaji wetu ni kama wamechoka sana, hawachezi kitimu yaani kila mtu kivyake vyake. Timu ndio maana kuna wachezaji kama Zirkzee akacheza timu ya Taifa anaperform akija utd anaonekana hachezi vizur hii ni kwa sababu timu haina muunganiko ukiangalia touch za Zirkzee ni nzuri mno hasa kwenye kucheza one two na kuweka mpira kwenye njia ila muda mwingi unakuta mtu hayupo. Kwa style yake ya uchezaji angekuwa yupo Arsenal au City nadhani angekuwa anazingumzwa sana kwa sasa. Tatizo hadi sasa mimi naona ni style ya uchezaji wa kocha yaani muda mwingi mpira unapigwa back pass hakuna mipira mirefe inayopigwa kwa winga kwa ajili ya kuanzisha mashambulizi au kwa ceter forward wao wanataka wapige pass kuanzia nyuma hadi wafike mbele, huu ni mpira wa kizamani sana ndio maans majeruhi kwentu hayaishi sababu wachezAji wetu wapigiana vipasi vifupi vifupi hivyo inakuwa rahisi kufikwa.
Zirkzee timu ya taifa ameperform lini ?
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kimeshuka kwenda kuangamiza wale hammers.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

West ham 1 vs Manchester United 4
1730033480719.jpg
 
Must win game....GGMU
Duh, Baada ya kuangalia El-Clasico ya jana na ubora wa wachezaji wa timu zote mbili, nimeangalia hiki kikosi nikajisemea 'mwaka huu hatutoboi popote' katimu ka hovyo sana haka.
 
Duh, Baada ya kuangalia El-Clasico ya jana na ubora wa wachezaji wa timu zote mbili, nimeangalia hiki kikosi nikajisemea 'mwaka huu hatutoboi popote' katimu ka hovyo sana haka.
Kwani nyie mlikuwa na malengo ya kucheza na nani kati barca na Madrid!!
Kwenye michuano ipi mkutane nao,au friendly match
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kimeshuka kwenda kuangamiza wale hammers.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

West ham 1 vs Manchester United 4View attachment 3136458
Naona WAN-BISSAKA katufunza mpira. Hakuna ujinga aliofanya huyu kocha kama kumuuza Bisaka na McTominay.
 
Hii team kunahitajika overhaul, kocha na dead woods wote. Else wataendelea na poor performance muda wote
 
Back
Top Bottom