Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 712
- 1,300
Hasira zako ni nini kwa hawa jamaa? Au ni zile 8-2?Baada ya ups and downs na Pogba jamaa akarudi Juve halafu akasema duniani mashabiki wasiojua mpira ni wa united. Akafungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka 4.
Jana wamepunguza hadi miezi 18 na kuanzia January mwakani ataweza kutrain na Juve na March akaanza kucheza ligi.
Otea mashabiki wa timu gani wanamtaka Pogba kwenye timu yao? 🤣🤣😅🤣😅🤣😅
Wanakwambia huyu na Maino wakikaa pamoja pale kati hakuna anayekatiza. Hua sielewi hawa watu wanatumia nini kufikiri, kwanza Pogba siyo mkabaji pili jinsi alivyoondoka ila hawasikii hawaoni 😅🤣😅🤣
Huku kocha anasema amenunua wachezaji vijana wengi hivyo inabidi wazoeane. Huyu kanunua wachezaji wengi kuliko chelsea ???🤣
Sio hasira,anawaambia ukweliHasira zako ni nini kwa hawa jamaa? Au ni zile 8-2?
Mwanetu mnatoboa leo?Hasira zako ni nini kwa hawa jamaa? Au ni zile 8-2?
Kwa backline hiyo naona Watkins leo anaenda kupiga hat trickWatoto wa bwenyenye Sir Jim wanashuka leo hawa hapa twende nalo💪
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Villa 1 Vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale.
Nikisepa watapigwa mnaitikia
Sana waleeee😲View attachment 3116832
Imebidi nije nimekumbuka vituko vyakoWatoto wa bwenyenye Sir Jim wanashuka leo hawa hapa twende nalo💪
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Villa 1 Vs Manchester united 3
Watapigwa sana wale.
Nikisepa watapigwa mnaitikia
Sana waleeee😲View attachment 3116832
Mkuu,ni wewe kweli!!Imebidi nije nimekumbuka vituko vyako
Leo mshinde nipo na nyie
ETH mitano tena
🤣🤣🤣Ona mmeweka utabiri sawaImebidi nije nimekumbuka vituko vyako
Leo mshinde nipo na nyie
ETH mitano tena