Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiangalia jinsi mabeki wetu wanavyokaba kama una hasira unaweza kupasua Tv yako. Hahaha.
 
Aiseeee

Hii timu inatakiwa kufumuliwa yote kabisa, yaani kuanzia benchi la ufundi na wachezaji na idara nzima ya scouting
 
Nadhani hata wachezaji hawamuelewi au labda nao hawamtaki kocha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

 
Back
Top Bottom