Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizo goli 2 zenyewe zimepatikana kibahati bahati tu, tena magoli yote 2 yametokana na mipira ya kona.
Yaani dakika 35 za mwanzo kabla ya hizo goli kupatikana timu inasikitisha, wachezaji hawafikishi pasi 5 wameshapoteza mpira, muda wote zinapigwa back passes tu timu haiwezi kusogea hata katikati ya uwanja. kwa mtu asiejua mpira ukimuonyesha hii mechi ya leo anaweza kujua hao Southampton ndio Man Utd yenyewe. View attachment 3095680
ajax-wallpapers-ajax.gif
 
Nkuku goal assist by Sancho Man u hamjui kutumia wachezaji angalieni uko sancho alichofanya. Asasteni kwa kutupa silaha uku tukiwapa garasa Mount
 
Duuh jana kapata MOTM?
Hapo Man U shida tulishasema ni kocha hana viwango vya Man u.
Man u ya kuanzia 2014 mpaka mwaka wa huu 2024 imepoteza dira so unahitaji kocha wakurusha angalau big 4 kwa uhakika baada ya hapo ndio muwaze kuchukua ubingwa
 
Joshua na yule Marzouk WAPEWE NAFASI WANAELEWANA SANA pale mbele Rashidi bado sana hajakaa sawa Hojlund anarudi soon Garnacho yupo,Ugarte NINI KINAPELEKEA KUSHINDWA ?? LIMZEE MAGUIRE LIMEJIPATA UPYA,Licha ataumia soon au Redcard beki zinabaki Nyeupe DALOT kama unamchukia atakufanya umpende haongelewi ila anakituma mnoo...Ericksen walisema kaisha Juzi kakiwasha vibaya mno Hii timu Sijui Kwanini inafungwa ovyo
 
Mechi 1 tu kila mchezaji ushajua kaisha na mwingine hajaisha 😅😅
 
Siku hizi mmekua humble mnashinda na mnaongea ukweli hamuanzi kuzunguka majukwaa ya watu kurusha matokeo 😅😅😂
 
Back
Top Bottom