Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,045
- 2,825
Baki mwenyewe huko kwenye Hilo timu la manyumbu Mimi nimeshahama usinifananishe na wengine Mimi nipo kivyangu au umechanganyikiwamjomba Mimi nikifanya kitu namaanisha Hilo timu Mimi sitorudi milele sababu sio baba yangu Wala mama yanguwe
we bado hujaama timu tulia dawa iingie ....hakuna kitu kigumu kama kuhama timu moyo uliyo chagua hapo akili inakuambia ushahamia Liverpool ila roho bado ipo unyumbuni na hili jambo lipo kwa man utd fans haupo peke yako
utakuta tu wapo wana shabikia na mpaka kuwa na jezi za timu nyingine mfano city arsenal Chelsea lakini kipimo cha kuwa bado timu ipo rohoni inapozidi kufanya vibaya una umia mno ilihali upo timu nyingine na pia inapofanya vizuri unajikuta unatembea kifua mbele hata kugombana na mtu anaye taka kuchukulia poa progress ya timu