Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakubaliana na wewe huwezi ukawa umenunua Striker then una muweka Bench anaanzisha sijui false 9
msimu mpya ila nyumbu ni walewale😁😁😁😁😁😮‍💨😮‍💨🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁☺️🤣🤣😁😁😁😁😁☺️😅🤣😁😁😁😁😁🤣🤣🤣
 
msimu wa5 kocha ajui ata mfumo anaotumia ni kiwembe2 cha kunyolea kipara ndo anakikumbuka😅😅😅😁😁😁☺️☺️😅😁😁😁☺️☺️☺️😁😁😁😅😅😅😁😁😅😅
 
Mchezaji anapewa pasi hajui afanye Nini Wala mpira aupeleke wapi mazoezi gani wanafanya Hawa?
Brighton kaonesha umwamba sana pasi safi
labda nawao wachezaji hawajui nani wakumpa pasi na ndio maelekezo ya kocha ukipewa pasi jiongeze nani wakumpa huwezi butua mbele au mrudishie kipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…