Tulia wewe Arse8Acheni kulia lia pambaneni mpate magoli ya halali.
Tangu asajiliwe hajacheza mechi hata mojaKocha mjinga sana huyu..na mwaka huu atatutesa sana sijajua MAGUIRE alikuwa na shida gani mpaka akatolewa.
yani we bado una imani na huo mdolikwanini Antony hachezi
Ndio tulichokuwa tunakitafuta hikiFull Time: Brighton 2 - 1 United
zamu yenu arsenal inafata tulieniNyumbu wasipokaa kileleni leo hawatakaa wakae tena pale juu mpaka kiama