raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,787
- 36,656
Mainoo atalanta hata kikosi cha pili hana nambaDah nilitoka kuangalia mechi ya Madrid na Atlanta nika enjoy jinsi ya big team inacheza kama big team
sasa naangalia big team hapa inayozidiwa na underdog ni maumivu sijui kuna nn na hii timu japo man utd atashinda ila dah