Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa vijana Masingeli aliwaharibu sana kwa zile false hopes za kinafki, ilifikia kipindi Masingile aliwaaminisha kua Arsenyo ni bora kuliko Madrid na misukule yote ikaamini hivyo.
Sometimes hua naamini mashabiki wengi wa hii timu psychologically hawako sawa.
Wee ndie kubwa la manyumbu, unae aminisha watu wa unyumbuni kua tunamskiliza hamis.
 
💪

20240815_022948.jpg
 
One Day To Go 💪🏿👌🏾 Maaaaan Can't Wait To See De Ligt Light Up The League ,He's Here,And He's Perfect 💪🏿💪🏿💪🏿 Vichwa Pale Kwa Set_Piece Zitakuwa Zinaliaaa Kinyamaaaa ,Beast Mode Activated,Him And Licha Apo Katikati Aiiiii Buanaaaaa Wanatucheleweshaaaa ,kiburi ni constant #KiburiFC🤣🤣🤣
 
Attachments

  • 1723293709126.jpg
    1723293709126.jpg
    438.3 KB · Views: 17
One Day To Go Maaaaan Can't Wait To See De Ligt Light Up The League ,He's Here,And He's Perfect Vichwa Pale Kwa Set_Piece Zitakuwa Zinaliaaa Kinyamaaaa ,Beast Mode Activated,Him And Licha Apo Katikati Aiiiii Buanaaaaa Wanatucheleweshaaaa ,kiburi ni constant #KiburiFC
Rejected
 
Vichwa Pale Kwa Set_Piece

Yani hili limekuwa Tatizo kubwa sana kwa UTD Miaka ya Karibuni!
Msimu ulopita UTD ina Magoli 9 tu yanayotokana na "Set Pieces" Arsenal anaongoza akiwa na Magoli 20!

Haya mara nyingi ni Mipango na yanaweza amua Mechi ngumu! UTD Miaka ya Nyuma Game inakuwa Ngumu Kona/Faulu Giggs unaona Vidic kaibuka 1 ~ 0 Game over!

Mount na Ericksen ni wapigaji Bora sana wa Mipira ilokufa UTD Changamoto ni wao kuwa na Uhakika wa Namba Jukumu linamwangukia Bruno. Game ya City Andreas Georgson {Mwalimu Mpya wa Set Piece} alikuwa na Mzuka zikitokea Kona na Fouls anasimama, Ila kuna Mabadiliko namna timu inajipanga zuia na Shambulia set Piece, Msimu huu namba ya Magoli kwenye Set Piece itapanda.
 
Wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Mount mashine ya Kazi, acheni ubahili basi
 
Mabingwa wapya wa ligi kuu ya Uingereza tunakwenda kuanza kushusha vipigo mfululu mishale ya saa nne
 
Leo ni Leo msema kesho ni muongo tunaenda kufungua ukurasa wa ngarambe na kandanda safi kabisa kwa msimu wa 2024/2025.

Ni wale wale vijana barobaro wanashuka leo.

Biggest Club is the world is play today and whole world is happy 😁 😁 😁

my prediction

Manchester United 3 vs Against the world 1

Time
4:00 usiku

haters hawata amini leo.

20240812_203931.jpg
 
Bado nusu saa tu mabingwa wapya wa epl waingie uwanjani
Mabingwa gani na kocha mseng kama huyu. Yaani pamoja na ubora wote huu GARNACHO anaanza kusugua benchi na RASHFORD anaanza!!
 
Back
Top Bottom