Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mvinyo ni uleule kwenye chupa ileile, yaani Man Utd kwenye ishu ya kushikilia bomba sijui lini tutakaa sawa kwa hizi beki za kina John Evance na Maguire.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mvinyo ni uleule kwenye chupa ileile, yaani Man Utd kwenye ishu ya kushikilia bomba sijui lini tutakaa sawa kwa hizi beki za kina John Evance na Maguire.
Yoro atacheza na de ligt pale kati...halafu yule muargentina na muarabu mpya mlomnunua watapiga 2 na 3....mna kitu mtafika mbali🤠🤠
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa ku lineup provided ba kikosi kilichopo
ReactNative-snapshot-image3765969694620874732.png
 
⚒️🕷️ Aaron Wan-Bissaka, in London now for medical tests as new West Ham player — formal process has just started.

He will sign five year contract later today.

🗣 Fabrizio Romano
 
Attachments

  • FB_IMG_1723363336002.jpg
    FB_IMG_1723363336002.jpg
    25.6 KB · Views: 14
Watu wanatetea ugali [emoji28] maana siyo kwa mikataba ile. De Gea kutoka €23m kwa mwaka mpaka €3m.

Hivi vijamaa vinakwepa kuuzwa ila msimu huu ndiyo mwisho, United wakubali hasara tu asiongezewe mtu mkataba.

Yaani luke shaw kwenye Euro kacheza mechi mbili tu, ina maana kapata injury lini?
 
Back
Top Bottom