Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SHAW - mkataba wake unaishia 2028 kama nipo sahihi
MAGUIRE

LUKE SHAW - mkataba wake unaishia mwaka 2028, huyu unamuondoaje kirahisi.
CASEMIRO - mkataba wake unaishia mwaka 2027, unamuondoaje kirahisi
MAGUIRE - mkataba wake unaishia mwaka 2026, naye unamuondoaje kirahisi
Siyo kweli
 
Shaw 2027
Casemiro 2026 (opt. 1 yr)
Maguire 2025 (opt. 1 yr)
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya,nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload. View attachment 3066090
Download, then install.

Nimejaribu na imekubali
 
Download, then install.

Nimejaribu na imekubali
Niki install wananiambia "App not installed as package conflicts with an existing package"
1723302030070.jpg
 
Back
Top Bottom