Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HERE WE GO
karibu wesley sneijder
1723185921442.png
 
hii timu kwenye sekta ya biashara haina mpinzani zaidi ya madrid lakini uwanjani aaahhhhh!!!
===========
NEW: Snapdragon to trigger a two year extension option on their
front of shirt sponsorship of Manchester United. Initial $75m-per-year deal now till 2029. Follows talks between Omar Berrada & Snapdragon on US tour in San Diego.
 
As part of Snapdragon’s sponsorship with United, they acquired a right to back of United’s jerseys. Not for themselves, but to promote hardware powered by Snapdragon processors. As such, Co-Pilot+ PCs chosen for this season. Microsoft itself not MU sponsor
 
PSG have held direct talks with #mufc regarding Jadon Sancho. Talks advanced to the stage of discussing the financials of a potential deal.
 
🥱🥱🥱Haki ya mama Siamini macho yangu kuwa leo tupo tena na wale vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys mpaka machozi yamenitoka.☹️

Manchester united inacheza leo na na dunia nzima ina furaha😁😁😁😁

My prediction

Man city 1 VS Manchester united 3

Venue
Wembley

Watapigwa sana ile kichapo ya nguvu.
1723285149241.jpg
 
🥱🥱🥱Haki ya mama Siamini macho yangu kuwa leo tupo tena na wale vijana wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys mpaka machozi yamenitoka.☹️

Manchester united inacheza leo na na dunia nzima ina furaha😁😁😁😁

My prediction

Man city 1 VS Manchester united 3

Venue
Wembley

Watapigwa sana ile kichapo ya nguvu.View attachment 3066064
Unabubujikwa machozi ya furaha😁
 
Yamesha ongezewa mikataba hayana wasiwasi ni kuvuna mapesa tu
SHAW - mkataba wake unaishia 2028 kama nipo sahihi
MAGUIRE
Watu wanatetea ugali 😅 maana siyo kwa mikataba ile. De Gea kutoka €23m kwa mwaka mpaka €3m.

Hivi vijamaa vinakwepa kuuzwa ila msimu huu ndiyo mwisho, United wakubali hasara tu asiongezewe mtu mkataba.
LUKE SHAW - mkataba wake unaishia mwaka 2028, huyu unamuondoaje kirahisi.
CASEMIRO - mkataba wake unaishia mwaka 2027, unamuondoaje kirahisi
MAGUIRE - mkataba wake unaishia mwaka 2026, naye unamuondoaje kirahisi
 
Wakuu msaada unahitajika, misimu yote hua naangalia ligi zote kwa Bein Tv Channels kupitia Yacineapp.
Leo Yacineapp imegoma kufunguka inataka nidownload upya,nikienda kwenye option ya kudownload na kuinstall setting zote ila nikifungua app bado wananiletea ujumbe wa kudownload.
1723290054814.jpg
 

Sema Hapa UEFA Sheria zinaweza kuwa zimeisaidia UTD, Todibo ni CB Mzuri lakini sio kwa Hype Mashabiki wengi walikuwa wanampa!
Jamaa anapenda Ingia Fully kama Licha, Partnership ya Licha na Todibo Ingekuwa Changamoto Ku-Balance,

UTD Ilikuwa imeskauti sana Scalvini nadhani kupata ACL ndo kumefanya wasishughulike naye. Licha ni Best CB aliye UTD Kwa sasa kutafutia Mbadala inabidi mtu anayecheza tofauti kabisa na Yeye.
 
🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester United agree deal with Bayern Munich for Matthijs de Ligt. €45+5m(£39m+£4m), 5+1yr, pending medical

Bayern have separately accepted a proposal of €15m+€5m(£13m+£4m) in bonuses from Manchester United for Noussair Mazraoui.

[David Ornstein]
1723293709126.jpg
 

🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Manchester United agree deal with Bayern Munich for Matthijs de Ligt. €45+5m(£39m+£4m), 5+1yr, pending medical

Bayern have separately accepted a proposal of €15m+€5m(£13m+£4m) in bonuses from Manchester United for Noussair Mazraoui.

[David Ornstein]View attachment 3066124

Moja ya Sajili Bora sana na Msaada kwa YORO na Sajili nzuri na Bei Fair kwa UTD!
De ligt kwa Miaka 24 aliyo nayo tayari ni Mzoefu wa Kutosha. Timu sasa ina kikosi Kipana kwa baadhi ya Nafasi.

Dirisha lijalo waelekeze Macho kwa Jarrad Branthwaite na Adam Wharton kuongeza wazawa na Ubora Pia.
 
Back
Top Bottom