Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1722712886542.png
 
Noussair Mazraoui, Matthitjs de Ligt & Sofyan Amrabat. Hapa at least timu itakuwa ime-balance. Ujio wa Sofyan inabidi uwe separately from original plan bila kujali kitakachotokea kwa Ugarte.
Noussair Mazraoui, Matthitjs de Ligt hawa jamani hawajahamia bado..hamjui tabia ya man utd ???
 
Casemiro
Victor lindelof
Eriksen
Mctominay
Pellistri
Wan bissaka


Tunatafuta wateja, chelsea mko wapi?
Chelsea wenyewe wanatafuta watu wa kuwashikisha mizigo 10...wewe unataka kuwauzia mizigo tena. Ongeeni na matajiri wa Saudia vizuri wawasaidia kusafisha zizi.
Sisi tulifikia hatua nzuri msimu uliyoisha ila tunarudia makosa tena japo sisi mizigo yetu bado ni vijana wananunulika.
 
Msimu uliopita tuliumizwa na injuries kwanini tuongeze wagonjwa tarajali wawili ?
Uongozi uliopita uliacha madudu makubwa niliwahi kuandika hapa kwa kirefu kipindi cha nyuma. Sio rahisi sisi kupata wachezaji tunaowataka kwa 100%, timu nyingi zinajua we're desperate. Matthijs de Ligt sio original target ya United. Tulimtaka Jarrad Braithwaite & Jean Todibo. Japokuwa de Ligt ana quality kubwa but he cannot be trusted kucheza mechi 30 za premier league.
 
Casemiro
Victor lindelof
Eriksen
Mctominay
Pellistri
Wan bissaka


Tunatafuta wateja, chelsea mko wapi?
Mishahara mikubwa sio rahisi kuuzika. Timu nyingi zinataka ada ndogo ya uhamisho kutoka kwetu ili wafidie mishahara. Kuna taarifa za ndani zinasema wote hao ndani ya uongozi mpya kufika mwezi wa 6 mwakani watakuwa wameondolewa.
 
Endapo Jim Ratcliffe akifanikiwa kuondoa hao wachezaji 12 wanaolipwa zaidi ndani ya miaka miwili tuna nafasi kubwa sana ya kurudi ktk ushindani, wengi wao wanamaliza mikataba 2026. Lisandro pekee ndio anatakiwa kubaki kama tutakuwa serious. Umri wao pia ni mkubwa.
 
Familia ya Glazer ilifanya makosa makubwa sana kuleta ushikaji ktk kuendesha timu, kumkabidhi kilaza Ed Woodward lilikuwa kosa kubwa sana. Naona tuki-struggle at least misimu miwili bado kwa sehemu kubwa tuna kikosi kile kile kwa 80% kwa ugumu wa kuwaondoa.
 
tunavuna tulichopanda
==========
mufc have no desire to pay Aaron Wan-Bissaka £7 million to leave the club, and West Ham are also in no position to pay such a hefty fee on top of the transfer figure. [C&H]
Kwahiyo AWB nae anakuwa kama Maguire!! Mikatabaa ina rahaa yake.
 
Back
Top Bottom