Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya Leny Yoro naamini De Ligt file lake lishafungwa sasa ni final offer ya Jarrad Braithwaite. Tunahitaji sana natural LCB wa kufanya rotation na Licha, I don't trust Luke.
 
Sancho muondoe Jombaa siioni future yake.
Sahihi! Ila tambua kama hakuna timu inamchukua anabaki kuwa Tatizo la UTD. Kila mtu anatamani aondoke sababu ya Tabia alizoleta.

Ila Sancho sio Mchezaji Mbaya na kingine Umri wake bado hajafika "Peak"
Kama anaendelea kuwemo timu ikipata Muunganiko Mzuri Yule ni silaha Nzuri tu.
 
Ni kweli sio mbaya walavsio mzuri kwa utd. Ni mcheza ji ambaye hana madhara sana kwa wapinzwni anapokuwa na mpira tofauti kabisa na Garnacho. Sancho anacheza mpira burudanj sio aggressive kabisa hana tofauti na Martial angalau Rashford naona anaweza basilica kutokana na ujio wa Rud Van.
 
Naona hadi sasa sajili zetu hazijagusia eneo la kiungo wa chini, tunaendelea na Casemiro wa msimu uliopita au kuna kitu sikijui?
Manuel Ugarte, PSG wanataka €60M jumla na kila kitu ndani yaani pesa waliyolipa mwaka jana wakimnunua kutoka Sporting. INEOS waliweka mezani €40M.

Pia, kuna taarifa inasema Sofyan Amrabat kuna uwezakanao mkubwa sana wa kubaki (€25M), mpaka sasa hajaripoti Fiorentina anasubiria maamuzi ya uongozi wa United kabla ya timu kusafiri kwenda USA kuanza pre season rasmi wiki ijayo.
 
Binafsi naamini moja ya makosa makubwa sana aliyoyafanya Ten Hag msimu uliopita ni kutompa nafasi Sofyan Amrabat anaweza asiwe na consistency muda wote ila ni mchezaji muhimu sana kuwa nae kikosini. Ada ya €25M na mshahara wa £70k kwa wiki sidhani kama unaweza kupata kiungo wa chini cheap kiasi hiki, itakuwa busara sana kumbakisha.
 
🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Man United agree deal to sign Leny Yoro, first part of medical done 🔴🇫🇷

Lille have accepted €50m plus €12m add-ons proposal last week, documents now being checked on club side.

Manchester United will pay over €50m to anticipate Real Madrid after green light from the player today.

Contract until June 2029 with option for further year, agreement in place and now formal steps to follow.

Yoro has informed Real Madrid… they didn’t want to match United proposal and Leny moves to Man Utd.

𝐑𝐚𝐭𝐞 𝐭𝐡𝐢𝐬 𝐬𝐢𝐠𝐧𝐢𝐧𝐠 𝐟𝐫𝐨𝐦 𝟏 𝐭𝐨 𝟏𝟎! ⚡️
 
Manuel Ugarte, PSG wanataka €60M jumla na kila kitu ndani yaani pesa waliyolipa mwaka jana wakimnunua kutoka Sporting. INEOS waliweka mezani €40M.

Pia, kuna taarifa inasema Sofyan Amrabat kuna uwezakanao mkubwa sana wa kubaki (€25M), mpaka sasa hajaripoti Fiorentina anasubiria maamuzi ya uongozi wa United kabla ya timu kusafiri kwenda USA kuanza pre season rasmi wiki ijayo.
Daaah! Ila ile finali ya FA na City Softana aliupiga kwel
 
Nahisi msimu huu timu itakuwa hivi na-wish kumuona Manuel Ugarte tu sehemu ya Casemiro. Wachezaji wote wakiwa fit ktk michezo 32 out of 38 moto utawaka.

1721301981630.png
 
Back
Top Bottom