christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,199
- 5,132
Nilichogundua wachezaji wengi wanaokuja utd bila mbwembwe ndio huwa wanafanya vizur. Huyu beki Levy Yoro naona atafuata nyayo za Martinez.
Sajili nyingi za UTD zilikuwa na Mbwembwe sababu zilikaa zaidi kibiashara, Sanchez, Pogba, Ibra, CR7, Di Maria, Lukaku, Falcao, Maguire, Antony, n.kNilichogundua wachezaji wengi wanaokuja utd bila mbwembwe ndio huwa wanafanya vizur. Huyu beki Levy Yoro naona atafuata nyayo za Martinez.
I'm buzzing. Huyu dogo nilimtaka sana toka mwaka jana mwanzoni kabla hajapewa nafasi kubwa ya kucheza Lille. Msimu wa 22/23 alicheza michezo sawa sawa na Kobbie Mainoo ila alikuwa anaonyesha ana-potential kubwa sana hofu yangu nilijua yatatupata yale yale ya Raphael Varane mwaka 2011.Nilichogundua wachezaji wengi wanaokuja utd bila mbwembwe ndio huwa wanafanya vizur. Huyu beki Levy Yoro naona atafuata nyayo za Martinez.
Sancho muondoe Jombaa siioni future yake.Sajili nyingi za UTD zilikuwa na Mbwembwe sababu zilikaa zaidi kibiashara, Sanchez, Pogba, Ibra, CR7, Di Maria, Lukaku, Falcao, Maguire, Antony, n.k
Timu sasa ina Muundo mzuri zaidi wa kimichezo, Uwiano Mzur wa Umri Zirkzee (23), Yoro (19), Mainoo (19), Hojlund (21), Amad (22), Garnacho (20), Hapa una Msingi wa kuanzia Bado Sancho (24), Mount (25),
Maingizo kwenye timu yanakuwa machache na ya Ubora, Madirisha mengine mawili UTD inakuwa Force haswa!
Sahihi! Ila tambua kama hakuna timu inamchukua anabaki kuwa Tatizo la UTD. Kila mtu anatamani aondoke sababu ya Tabia alizoleta.Sancho muondoe Jombaa siioni future yake.
Ni kweli sio mbaya walavsio mzuri kwa utd. Ni mcheza ji ambaye hana madhara sana kwa wapinzwni anapokuwa na mpira tofauti kabisa na Garnacho. Sancho anacheza mpira burudanj sio aggressive kabisa hana tofauti na Martial angalau Rashford naona anaweza basilica kutokana na ujio wa Rud Van.Sahihi! Ila tambua kama hakuna timu inamchukua anabaki kuwa Tatizo la UTD. Kila mtu anatamani aondoke sababu ya Tabia alizoleta.
Ila Sancho sio Mchezaji Mbaya na kingine Umri wake bado hajafika "Peak"
Kama anaendelea kuwemo timu ikipata Muunganiko Mzuri Yule ni silaha Nzuri tu.
Ndio maana Klopp kakimbia ligi, alijua nini kinatengenezwa Carrington.Ineos wako makini kinoma
Manuel Ugarte, PSG wanataka €60M jumla na kila kitu ndani yaani pesa waliyolipa mwaka jana wakimnunua kutoka Sporting. INEOS waliweka mezani €40M.Naona hadi sasa sajili zetu hazijagusia eneo la kiungo wa chini, tunaendelea na Casemiro wa msimu uliopita au kuna kitu sikijui?
Daaah! Ila ile finali ya FA na City Softana aliupiga kwelManuel Ugarte, PSG wanataka €60M jumla na kila kitu ndani yaani pesa waliyolipa mwaka jana wakimnunua kutoka Sporting. INEOS waliweka mezani €40M.
Pia, kuna taarifa inasema Sofyan Amrabat kuna uwezakanao mkubwa sana wa kubaki (€25M), mpaka sasa hajaripoti Fiorentina anasubiria maamuzi ya uongozi wa United kabla ya timu kusafiri kwenda USA kuanza pre season rasmi wiki ijayo.
Yes. Sofyan kuna mechi anahitajika sana hususani kama Casemiro atabaki.Daaah! Ila ile finali ya FA na City Softana aliupiga kwel
Dogo MAINOO bado naona sio wa kikosi cha kwanzaNahisi msimu huu timu itakuwa hivi na-wish kumuona Manuel Ugarte tu sehemu ya Casemiro. Wachezaji wote wakiwa fit ktk michezo 32 out of 38 moto utawaka.
View attachment 3045466