Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,333
- 33,718
Hivi imekuwa confirmed hii taarifa?Tumerogwa kaka si bure [emoji23].
Hivi imekuwa confirmed hii taarifa?Tumerogwa kaka si bure [emoji23].
Bado.Hivi imekuwa confirmed hii taarifa?
adriz banaWashabiki wa arsenal [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi vikombe vya mbuzi ndio vilitupumbaza Sana. Dunia ya kupambania FA sisi tumeshaipita hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yangu mkorea karibu sana kwenye jukwaa la mabingwa, kama haitakukwaza tunaweza kukupa kombe upige nalo picha ili kupunguza machungu ya kumaliza msimu mikono mitupu. View attachment 3001050
Kwaiyo mko kwenye dunia ya kupigania nini mkorea wakati Uefa amna Epl nayo miaka 20 sasa amna.Hivi vikombe vya mbuzi ndio vilitupumbaza Sana. Dunia ya kupambania FA sisi tumeshaipita hiyo
Ila hongereni Sana mazee
Uefa hatuna na ligi tunaukame wa miaka 20Kwaiyo mko kwenye dunia ya kupigania nini mkorea wakati Uefa amna Epl nayo miaka 20 sasa amna.
Kiufupi tueleze mnapigania nini??
Sakata la ETH lina Taswira Mingi! UTD inatumika Sana na MEDIA, AGENTS, PLAYERS, Et. al! INEOS akichanga karata zake vyema Anaweza Pata Msingi bora kutokea kwenye Hili suala.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuteni kwanza kocha wa kuelekeweka ndio muanze kufikiria habari za makombe, ni bora mumchukue hata George Ambangile ana uwezo mkubwa wa kuwapatia makombe ya maana kuliko huyo Tetea wenu.Uefa hatuna na ligi tunaukame wa miaka 20
Tuanze kwenye ligi
Misimu miwili tumeleta ushindani makubwa Sana kwa city kuhusu huu ubingwa. Hasa hasa msimu huu game za mwisho ndio zimeamua Nani ni champion
Kwenye UEFA msimu huo unaokuja ndio tunaingia rasmi. Huu msimu uliopita tulikua Kama tunatest mitambo
Arsenal tunaishi humo, aya ya kwanza na yapili.
Mlima na kichuguuHatimaye...[emoji142]View attachment 3001926
Kwa kiburi tu nishaishusha Mechi nzima naiweka na kwenye External niwe nairudia[emoji23][emoji23], ujue Jinsi huu msimu ulikuwa mGumu tulistahili hichi it seems like we lifted EPL [emoji471][emoji471] [emoji23].Ila waendelee kuomba tu tusishinde kombe la ligi, maana kelele zetu ni balaa tupu