Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United are considering keeping Erik ten Hag as their manager for next season.

Source: ๐’๐š๐ฆ๐ฎ๐ž๐ฅ ๐‹๐ฎ๐œ๐ค๐ก๐ฎ๐ซ๐ฌ๐ญ

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |
IMG_20240527_205922_912.jpg
 
๐†๐จ๐จ๐๐ง๐ข๐ ๐ก๐ญ

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |
IMG_20240527_205640_353.jpg
 
ndugu yangu mkorea karibu sana kwenye jukwaa la mabingwa, kama haitakukwaza tunaweza kukupa kombe upige nalo picha ili kupunguza machungu ya kumaliza msimu mikono mitupu. View attachment 3001050
Hivi vikombe vya mbuzi ndio vilitupumbaza Sana. Dunia ya kupambania FA sisi tumeshaipita hiyo

Ila hongereni Sana mazee
 
Kwaiyo mko kwenye dunia ya kupigania nini mkorea wakati Uefa amna Epl nayo miaka 20 sasa amna.

Kiufupi tueleze mnapigania nini??
Uefa hatuna na ligi tunaukame wa miaka 20

Tuanze kwenye ligi
Misimu miwili tumeleta ushindani makubwa Sana kwa city kuhusu huu ubingwa. Hasa hasa msimu huu game za mwisho ndio zimeamua Nani ni champion

Kwenye UEFA msimu huo unaokuja ndio tunaingia rasmi. Huu msimu uliopita tulikua Kama tunatest mitambo

Arsenal tunaishi humo, aya ya kwanza na yapili.
 
Muppetiers on erik ten hag
View attachment 3001248
Sentensi ya pili kutoka ya mwisho
Sakata la ETH lina Taswira Mingi! UTD inatumika Sana na MEDIA, AGENTS, PLAYERS, Et. al! INEOS akichanga karata zake vyema Anaweza Pata Msingi bora kutokea kwenye Hili suala.

Kila Media imekuja na Lake Sky, Guardian, Mail, Telegraph, TeamTalk, MEN. Ila Uhalisia Hakuna cha Tier 1 wala Tier 1+ {Ornstein, Fabrizio} Mwenye Kujua. Muppetiers walijitahidi kiasi na Taarifa za INEOS Ila hapa na wao wametoka kapa

INEOS anatakiwa atumie hili suala kuvunja Mianya ya Kuvujisha Taarifa {Inasemekeana Kuna List feki Ilipelekwa kwa City, Hii inaonyesha kuna shida Mahali bado}, Hii ndo sehemu ya Kupunguza nguvu ya Mawakala, Media, na kubwa zaidi Wachezaji.
 
Uefa hatuna na ligi tunaukame wa miaka 20

Tuanze kwenye ligi
Misimu miwili tumeleta ushindani makubwa Sana kwa city kuhusu huu ubingwa. Hasa hasa msimu huu game za mwisho ndio zimeamua Nani ni champion

Kwenye UEFA msimu huo unaokuja ndio tunaingia rasmi. Huu msimu uliopita tulikua Kama tunatest mitambo

Arsenal tunaishi humo, aya ya kwanza na yapili.
tafuteni kwanza kocha wa kuelekeweka ndio muanze kufikiria habari za makombe, ni bora mumchukue hata George Ambangile ana uwezo mkubwa wa kuwapatia makombe ya maana kuliko huyo Tetea wenu.
Miaka 5 Arteta aliyochezea Arsenyo mafanikio yake makubwa ni makombe mawili ya FA na miaka 5 mingine ya ukocha kaishia kupata kombe moja la FA tena kwa msaada wa COVID-19 pandemic, kwa hio career yake yote ya miaka 10 ndani ya Arsenal mafanikio yake makubwa ni makombe 3 ya FA, halafu mnategemea aje kuwapea UEFA na EPL
 
BREAKING NEWS:

MANCHESTER UNITED HUENDA WASIFUZU TENA EUROPA LIGI๐Ÿšจ

Hii ndio sababu:

INEOS Group Limited anamiliki Nice na Manchester United na timu zote zimefuzu kwa mashindano hayo ya Europa League

Kanuni za UEFA zinakataza timu zinazomilikiwa na mmiliki huyo huyo kushiriki kwenye ligi inayofanana.

Hii inamaanisha nini:

Man United WANAWEZA kushushwa daraja kwenye Conference League na Chelsea WANAWEZA kuchukua nafasi yao ya Europa League

Source: @MailSport

Sheria yenyewe hii hapa

This article is not applicable if any of the cases listed under Paragraph 5.01 happens between:

1. a club qualifying for the UEFA Champions League and entering the league phase directly and a club qualifying for the UEFA Europa League or UEFA Conference League.

2. a club qualifying for the UEFA Champions League and entering the playoffs (champions path or league path) or the third qualifying round of the league path directly or for the UEFA Europa League and entering the league phase directly and a club qualifying for the UEFA Conference League.

Maelezo zaidi hapa: UEFA Documents

1716906298257.png
 
๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Mason Greenwood has been awarded Getafeโ€™s Player of the Seaon.

#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |View attachment 3002122
IMG_20240528_184429_350.jpg
 
๐Œ๐š๐ง๐œ๐ก๐ž๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ ๐”๐ง๐ข๐ญ๐ž๐'๐ฌ ๐ฆ๐ž๐ง'๐ฌ first team, ๐ฐ๐จ๐ฆ๐ž๐ง'๐ฌ first team and ๐”๐Ÿ๐Ÿ–๐ฌ team all got their hands on ๐ฌ๐ข๐ฅ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฐ๐š๐ซ๐ž this season

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |
IMG_20240528_184454_590.jpg
 
Most Valuable U21 players - PL

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |
IMG_20240528_184513_029.jpg
 
๐Š๐ž๐ฏ๐ข๐ง ๐ƒ๐ž ๐๐ซ๐ฎ๐ฒ๐ง๐ž talking about ๐๐ซ๐ฎ๐ง๐จ ๐…๐ž๐ซ๐ง๐š๐ง๐๐ž๐ฌ

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™

man utd |
IMG_20240527_233930_526.jpg
 
Uefa hatuna na ligi tunaukame wa miaka 20

Tuanze kwenye ligi
Misimu miwili tumeleta ushindani makubwa Sana kwa city kuhusu huu ubingwa. Hasa hasa msimu huu game za mwisho ndio zimeamua Nani ni champion

Kwenye UEFA msimu huo unaokuja ndio tunaingia rasmi. Huu msimu uliopita tulikua Kama tunatest mitambo

Arsenal tunaishi humo, aya ya kwanza na yapili.
Aaah kumbe mmeleta ushindani tu sawa sawa hata Liverpool alileta ushindani.
 
Back
Top Bottom