Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa kikosi chetu cha leo bila ya uwepo wa Engine ya team Le Captain Bruno Fernandez, halafu beki Casemiro na Evans nilikua na wasiwasi kua zile goli 8 leo zinarudi na kama mkitukosakosa sana walau kono la nyani linatuhusu, kila nikifikiria mechi iliyoisha tumetoka kugongwa goli 4 - 0 na timu mbovu kama Crystal Palace nafsi ilikua haina amani hata kidogo, matokeo yake eti pamoja na kufungwa kagoli kamoja tu sisi ndio tumedominate game.Nguvu ya kuwananga leo hatuna kabisa[emoji1783][emoji1783]...sawa mmetoa lakini kwa Mbinde sana....hamjaitoa kirahisi kabisa.... Forgotten na genge lako la kina Flano nawapongeza sana kwa mpira mzuri....mngetimia leo full squad mlikuwa mnatufunga kabisa yaani
Arsenyau na msimu huu mkitoka mikono mitupu halafu Utd tukabahatika kubeba kombe la FA sijui hata wapi mtaweka sura zenu[emoji16][emoji16][emoji16]