mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Nacheka kwa dharau[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sio sugu mtoto yake nepi, nitishwe na man city hadi ww, mpe man u kwenye mkeka then subir kibunda huku ukiwa na maumivu moyon !!!
Nacheka kwa dharau[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sio sugu mtoto yake nepi, nitishwe na man city hadi ww, mpe man u kwenye mkeka then subir kibunda huku ukiwa na maumivu moyon !!!
arsenal wasipoweza kulipiza zile 8_2 hawatokuja kulipa tenaHiki kikosi cha leo hiyo defense na midfield inaogopesha. Angalau tunajaribu kitu kipya leo huenda vijana wa EtH wakatushangaza.
Hapa nawakubali Mainoo na Garnacho tu. Wengine wote sioni hata wa kukaa benchi pale Emirates.Nacheka kwa dharau[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2988835
anachezeshwa out of position pia yani CDM aje awe CBHuyu Casemiro anakabia macho
Centrebacks wote wako injured kocha angefanyaje ?anachezeshwa out of position pia yani CDM aje awe CB
Hapana, mzee
Wamefuata ushauri wako na umewasaidia. Tena Onana kawasevu sanaKikosi chenu sio kibaya. Mkicheza compact low block arsenal hatoboi. Tatizo ni kipa ndiyo hamna. Tafuteni kipa wa kueleweka adake leo sio Amadou Onana
😅😅Nacheka kwa dharau[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2988835