Daaaaaaah Kwa pira hili!!!! Yani hii timu imebaki kucheza ili kukamilisha ratiba tu. Yani unashindwa kuelewa ni mfumo upi ambao hii timu inacheza? Ni kucheza tu ilimladi kukamilisha dakika tisini za mchezo mchezo. Yani Leo hii timu kubwa kama hii yenye heshima duniani kucheza mpira wa aina hii?.
Sometimes unaweza kusema kwamba hakuna wachezaji na unavyofikilia zaidi unaona hakuna Kocha kabisaa. Sasa mpaka sasa plani ya hii timu ni nini?.
Hata ten hag akifanikiwa pale man u(jambo ambalo haliwezekani) aina ya mpira anaofundisha ni mwepesi mno ukilinganisha na mbinu za makocha wa timu pinzani.
Ni kama uende vitani na gobole mwenzako aje na drone.