Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Nyie vilema toeni timu wanjani
Mi wananikata stimu wanavyopoteza mechi kizembeKwangu imeshakuwa ndio maisha yangu kuangalia mechi za manchester united.
Labda nije nikose access ya kuangalia mechi.
wake up mkuu badirika li timu litakupa pressure hili.Kwangu imeshakuwa ndio maisha yangu kuangalia mechi za manchester united.
Labda nije nikose access ya kuangalia mechi.
Mkuu pande za Malawi mko poa huko?Naombea tufungwe ili Asenyeto ashushwe pale juu.
Na ikitokea kushinda, basi tushinde na njaa tu.
Taratibu mashabiki wataanza elewa ukweli mchungu kuwa hapa hakuna timu kocha management wala passionate ya mpiraNi suala la mda tu tutaamini wote kwamba kipara anatupotezea muda tu yeye pamoja na genge lake. Hata timu za second division hazichezi huu mpira nonsense.