Jumapili zile 7 tulizopigwa msimu ulioisha Anfield zinaenda kurudiwa tena pale unyumbuni.
Hii timu Ubwanyenye kuanzia kwa wamiliki, kocha mpaka wachezaji.
Timu ikiongoza kwa goli moja tu wachezaji wanaona tayari maisha wameshayapatia.
Life style ya hii timu haina tofauti na life style ya ndugu zetu Wazaramo