DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Huyo Fellaini anafanya nini uwanjani?
Height yake inahitajika kwa mechi hii.
Huyo Fellaini anafanya nini uwanjani?
Height yake inahitajika kwa mechi hii.
Huyo Fellaini anafanya nini uwanjani?
hujamjua fellaini, subiri tu utampenda leo.
Dah! Presha inapanda, presha inashuka...
Refa kaanza mambo yake
Hii game sio ya kufanya majaribio,Ngoja tuone but game ya Leo tunahitaji ushindi sio kudefence
welbeeeeek gooooo agrrrrty huyu refa bana kitu nyavuni anakataa goli