Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moyes anajihakikishia ajira leo, akimtoa Bayern atawasahaulisha haters wake wote.
 
United watashinda game hii Munich hakuna wanachofanya zaidi ya gonga. Kona au free kick united watafunga.
 
angeweza kuwatoa lakini ana mkosi sana leo.rafael hayupo na evra hayupo.yule buttner bado sana kwa mechi hizi kubwa.
Moyes anajihakikishia ajira leo, akimtoa Bayern atawasahaulisha haters wake wote.
 
hii forward ya bayern butu sana, ingekuwa sisi ndio tunaashambulia hivi tungeshapiga kama tatu.
 
welbeeeeek kabaki na kipa anapigaaaaa ayaaaaaa kipa anapangua.....dah
 
Back
Top Bottom