Welbeck jinga kabisa
hii forward ya bayern butu sana, ingekuwa sisi ndio tunaashambulia hivi tungeshapiga kama tatu.
mapanki(Gato) mjinga sana bora kiiza wa yanga
sijapata ona timu mbovu kama hii 80% ya mpira wote umechezewa eneo la penalt la man u. wanashindwa kufunga hata goli moja? sijui arsenal alitolewaje kirahisi na hawa wabovu hivi.
Kila la heri Man utd katika kipindi cha pili cha ushindi.