Hahahahaha kwa hiyo leo walitaka kuvunja mwiko??
Halafu kuna mamburula wanafurahia hapa..yule mbwa yuko mahali anakunywa whiskey kwa dharau sana anajua labda atakutana na sisi atatupiga goli 3, tena kwa kikosi BNi bahati ila kisoka bado sana sie
Hii ndio liverpool iliyomfanya pep apaki bus second half yote
šššKuna rekodi nyingine bhana ni kama zinachezaHahahahaha kwa hiyo leo walitaka kuvunja mwiko??
Walishindwa wenzao kina Aston Villa kuvunja mwiko wa kutufunga kwenye Boxing day sembuse wao??
Niliangalia ukali wa ile liverpool last week iliyo-draw na City nikajua leo tunakula sita. Kumbe mpira unadunda aisee.Ni bahati ila kisoka bado sana sie
Hii ndio liverpool iliyomfanya pep apaki bus second half yote
Wewe Arse8 una chuki na bwana wako aliyekuchakaza 8.Hawa Manunu hawatachukua hili kombeš¤ š¤ ... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kuku
Ile game City walikimbizwa balaaNiliangalia ukali wa ile liverpool last week iliyo-draw na City nikajua leo tunakula sita. Kumbe mpira unadunda aisee.
Kocha huyu mawenge sana. Unaona academy wanavyopeleka moto?Amad anajua anashangaa kocha hamchezeshi
Fainali mtaenda ila mtaenda kutembea kama mwaka jana...huo ndio ukweliš¤Wewe Arse8 una chuki na bwana wako aliyekuchakaza 8.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu punguza roho mbaya kumbuka tupo kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa kutakiana kheri huu.Hawa Manunu hawatachukua hili kombe[emoji1783][emoji1783]... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kuku
Mi sina roho mbaya...nazungumza ukweli tu....halafu Bora City achukue hili kombe..baba Ubaya akiliotea kwakwli atatutolea maneno ya shombo sana....sijui sura zetu tutaziweka wapiš¤ š¤[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu punguza roho mbaya kumbuka tupo kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa kutakiana kheri huu.
ManCity ataconcentrate zaidi kwenye Epl na Uefa unaweza shangaa nusu fainali Chelsea akamtoa ManCity halafu fainali ikawa ni Nyumbu na zile kenge za darajani.
Pia hata hawa Coventry sio wa kuwachulia poa huenda wao ndio wakacheza fainali. View attachment 2937607
Imeniuma kama zile missed calls zako b...Sawa b..., asante sana. Na poleni kwa matokeo ya Azam. Ila ni matokeo ya kama simu ya kuwaamsha kwa mechi ya robo fainali.
Ova