Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,879
Nyie na huyo B kuna namna, anywayImeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Goal la dialo kijana alitulia
Nyie na huyo B kuna namna, anywayImeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
Asee😂Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu nzuri zaidi mkibahatika kumaliza msimu bila ya kombe lolote, sijui Masingeli na nyinyi chawa zake wewe pamoja na mkorea mtaziweka wapi sura zenu[emoji16][emoji16][emoji16]Mi sina roho mbaya...nazungumza ukweli tu....halafu Bora City achukue hili kombe..baba Ubaya akiliotea kwakwli atatutolea maneno ya shombo sana....sijui sura zetu tutaziweka wapi[emoji1783][emoji1783]
Watasema wana community shield[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu nzuri zaidi mkibahatika kumaliza msimu bila ya kombe lolote, sijui Masingeli na nyinyi chawa zake wewe pamoja na mkorea mtaziweka wapi sura zenu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sura zimeumbiwa haya, Masingeli atajipiga Ban halafu mkorea atajipa likizo ya muda mfupi ila wewe na hio sura yako ya kibandindu utakomaa humuhumu na kutuletea zile ngonjera za phase4[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole b..., kazi ya football ni kuleta furaha na maumivu. Huwa ni lazima vije.Imeniuma kama zile missed calls zako b...
Naumwaaaaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hainaga akili hii misukule, tena inaweza kukomaa mpaka misuli ya shingo inawatoka wakiaminishana kua lile sinia la wali ni kombe, wakati yale sio mashindano bali ni bonanza tu la ufunguzi wa ligi[emoji1][emoji1][emoji1]Watasema wana community shield
Kwa hzi kelele...friends of Coventry tuna jambo letu siku hyo... Wembley mtaiona chungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hainaga akili hii misukule, tena inaweza kukomaa mpaka misuli ya shingo inawatoka wakiaminishana kua lile sinia la wali ni kombe, wakati yale sio mashindano bali ni bonanza tu la ufunguzi wa ligi[emoji1][emoji1][emoji1]
Duh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Hapo mludishe Maguire nyuma toa EricksenDuh hembu nipangie hawa wakiwa mabeki mbele ilikuaje.
Rushford. Dialo mbele
Memorable one.
Alicheza 4Naomba kujua.
Dakika za mwisho Bruno alihamia kucheza namba ngapi