[emoji2][emoji2]anacho nifurahisha manara ukimjibu kwa ukweli anakimbilia ulemavu wake unamuonea
ngao au siyoanacho nifurahisha manara ukimjibu kwa ukweli anakimbilia ulemavu wake unamuonea
55Hivi Manara amefanikiwa kuishi miaka mingapi mpk sasa?
85 mkuuHivi Manara amefanikiwa kuishi miaka mingapi mpk sasa?
Hahahahah huyu lengo lake ni kumuua kabisa Dulla Makabila hahahaššššHaji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party tu ilikuwa Royal!!!
Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.
Itaitwa LE GRAND ROYAL WEDDING PARTY na tunakusudia kuifanyia Benjamin Mkapa Memorial Stadium, tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!! tutaipamba ile stadium kisawa sawa na haitajulikana kabisa kama ni uwanja wa Mpira" Alimalizia Manara
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Ukiwa huna hela huo uwanja utaambiwa umefungwa lakini ukiwa una hela utaambiwa tumia!Mkumbusheni uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa
na wakati wa kuvujika pia ifanyike apo apo Mkapa Memorial Stadium na iitwe The End of Le Grand Rayol Wedding Party,Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party tu ilikuwa Royal!!!
Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.
Itaitwa LE GRAND ROYAL WEDDING PARTY na tunakusudia kuifanyia Benjamin Mkapa Memorial Stadium, tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!! tutaipamba ile stadium kisawa sawa na haitajulikana kabisa kama ni uwanja wa Mpira" Alimalizia Manara
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Hivi Watanzania wana akili kweli jamani, nashikwa na wasiwasi jinsi wenzetu majirani wanavyojitahidi kupambana na maisha huku sisi tunashadadia maisha ya watu wasio na maana hapa nchini mpaka na wao wanajiona ni watu muhimu kwetu na ndiyo maana viongozi wa serikali wanatuchezea akili kila kukicha.Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party tu ilikuwa Royal!!!
Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.
Itaitwa LE GRAND ROYAL WEDDING PARTY na tunakusudia kuifanyia Benjamin Mkapa Memorial Stadium, tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!! tutaipamba ile stadium kisawa sawa na haitajulikana kabisa kama ni uwanja wa Mpira" Alimalizia Manara
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Duh.....tukitazamia wageni Elfu HAMSINI kuhudhuria!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha atumie hela. Japo siku ile niliona analazimisha watu wamchangie kwa nguvu kwa kuleta kapu pale mbele
Bado mdogo, muacheni akue-kue kidogo.