DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Nahisi itakuwa another smartphone in wrong handsKwani uko jukwaa la nini hapa?
Nahisi itakuwa another smartphone in wrong handsKwani uko jukwaa la nini hapa?
🙌🏽🙌🏽🙌🏽 🏃🏽🏃🏽🏃🏽.mapemaNenda jukwaa la kilimo my dia...
Tuletee mambo chukuchuku tusokuwa na insta wala mange app tupate kujua ya huko duniani dasalamaNenda jukwaa la kilimo my dia...
Dah. KayakanyagaNenda jukwaa la kilimo my dia...
Haya ndo mambo wanawake mnaweza kuyafanya kwa usahihiHuko mitandaoni kona za Instagram kumechafuka habari kubwa ni kumuhusu Manara....
Kwa sasa wadau wanasema lile jina lake la semaji halimfai bali aitwe Sengenyaji kwa sbb ya tabia zake za kusengenya watu mpaka wa karibu yake na wanaomuweka mjini....
Manara inasemekana voice notes zake zimemfikia mmbea wa Taifa Mange Kimambi na kuziachia huko kunako App
Kwamba Manara anamsema Tajiri wake GSM,mdogo wa gsm Salah,wake wa gsm,All Kiba, Irene uwoya ...nk
Sasa Manara bana hiyo kesi ya aliedukua hizo voice note anasema ni mtalaka wake wa juzi Zaiylisa...na mtalaka wake kamchambaa kamwambia angekua anataka kumdhalilisha mbona hizo voice note ni cha mtoto? Maana ana makubwa zaidi ya hizo..
View attachment 3321691View attachment 3321692View attachment 3321693View attachment 3321694View attachment 3321695View attachment 3321696View attachment 3321697View attachment 3321698
Kilichonishangaza kumbe hata mashabiki wa Yanga kuna wengine hawampendi baba wa watu kama huyu anajiitaga last born wa Yanga Kevoo na yy anacomment eti amefurahi
View attachment 3321700
Cha kumshauri huyu baba umri umeenda aache drama za mitandoni...akae atulie shida kuna watu wana mpaga bichwa...ila atakuja adhalilishwe zaidi...ndo shida ya kuoa wadada wa mjini...
Hakika, wengine tumefanikiwa kuwa mabilionea ndani ya ujoblessKidumu chama Cha ma jobless pro max
Hapana aje asome pia habari anaweza kuwa hajaona sekeseke mjiniYeye ndo nani? Kwamba wengine hatusomagi umbea au unataka au verify...
Wangekua wanatiwa sana wasingemuachaPamoja na yote huyu jamaa anawatia sana wanawake
dah bro si ulipie hata membership Sasa😁Hakika, wengine tumefanikiwa kuwa mabilionea ndani ya ujobless
Huyo kaolewa kaacha mdomo na kufatilia umbea hata wewe ukiolewa utaachaAtakua ameona sema yupo busy simuoni huku JF muda sasa..
Nadhani tuletee mambo moto Moto huku jukusi, kule uncle T, huku diva, huku zuchu, kule keivoo, mara mwijaku, hatujapoa mzungu 😂Atakua ameona sema yupo busy simuoni huku JF muda sasa..