Ndugu, amini amini nakwambia kweli ni vigumu sana kumtambua Nabii wa Kweli, kama wewe ni muabudu Nyota, Jua , Mwezi na MalaikaKumbe haujui maana ya Unabii?
Unabii wa kweli hautolewi na watu.
Mungu tu ndio mwenye haki ya kumpa mtu unabii.
Hao wote manabii wa Uongo.
Yesu aliwatabiri manabii hawa wa uongo.
Jiepusheni na manabii hawa wa uongo.
Mungu hajamjalia unabii tuu amemjalia na pua
Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).Ndugu, amini amini nakwambia kweli ni vigumu sana kumtambua Nabii wa Kweli, kama wewe ni muabudu Nyota, Jua , Mwezi na Malaika
Show me in the Bible Jesus Says "I AM YOUR GOD " or Show me Where in Bible Jesus Claimed to BE GOD or Says "WORSHIP ME"!
MANABII na mitume wapo: Kinachowatofautisha ni Utukufu + Upendo + Nguvu .Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).
Kabla yake walikwepo manabii wa Mungu wa kweli kama vile, Nabii Ibrahim, Nabii Musa, Nabii Isa (Yesu) na wengine wengi hawa ndio manabii wa kweli....
Hawa wa siku hizi wanajipa tu unabii (hawa sio manabii, wanakula pesa za watu bure, wanajulikana kwa vitendo vyao kama sio manabii wa Mungu.)
hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).
Kabla yake walikwepo manabii wa Mungu wa kweli kama vile, Nabii Ibrahim, Nabii Musa, Nabii Isa (Yesu) na wengine wengi hawa ndio manabii wa kweli....
Hawa wa siku hizi wanajipa tu unabii (hawa sio manabii, wanakula pesa za watu bure, wanajulikana kwa vitendo vyao kama sio manabii wa Mungu.)
Ndugu, ili uweze kuwa na uhakika zaidi kuhusu Imani yako na unachokiabudu, ni muhimu sana kusoma vitabu viwili au kupata mafundisho ya vitabu vyote viwili na ya dini zingine (baadhi).hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?
Hahaha,hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?
Ni vigumu kuwatambua MANABII wa uongo kama huna meekness.Hahaha,
Eti hii thread inahusu Biblia, kwani hao manabii wameandikwa kwenye Biblia kwamba ni manabii wa kweli? (je majina yao yapo kwenye Biblia?)
Tafakari, usikubali kudanganywa kirahisi.
Quran imeshushwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa watu wote.
It is the last Testament from God Almighty.
Hawa manabii wa uongo walitajwa kwenye Biblia na kwenye Quran.
Hawana uthibitisho wowote ule, waongo tu, pia wanakula pesa za masikini kila siku..
umenena vema ndugu,..tupo duniani,dunia yenye changamoto nyingi sana,.hasa sasa dunia ya utandawazi,ni sahihi ulivyosema watu wanabadilika hata kimavazi,.ni jambo jema ila tukumbuke kuwa sisi tulioamua kumfata YESU(tuliiokoka) lazima tuishi maisha ya tofauti na wamataifa,efeso inasemaLakini Je ni dhambi gani mhubiri Angel Na Makandiwa kuwataja wachache wao ambacho anadhani hawatend vema mpaka tukawahukumu kwa maneno yetu?
TheMeek Na vCTRMA mmeandika mengi mazito ambapo wengi tunajifunza!
Lakini Je ni dhambi gani mhubiri Angel Na Makandiwa kuwataja wachache wao ambacho anadhani hawatend vema mpaka tukawahukumu kwa maneno yetu?
Kati ya watumishi wa aina yao, hawa ndio nawaona wanahubiri sana kwa kufanya references kwenye biblia. Uvaaji wao, fahari walizonazo as long as wamezipata ktk njia sahihi sioni tatizo!
Tujifunze pia Kuwa zama zinabadilika Na hivyo hata njia ya uonekano Na utoaji wa ujumbe wa neno la Mungu hubadilika kutokana Na audience Na wakati pia.
Huwezi kwa zama hizi ukaevaa kama marehemu Kolola Moses ukapata kumbadilisha MTU kama shishi baby!
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..thanx mkuu hapo nmeelewa,ila nkuulize mkuu nabii huzaliwa,husomea au mtu unaweza kuamua tu kuwa karibu na kanisa then nae akawa nabii?yaan kiufupi nabii anapatkanaje ni something to born with au?.....
Ndugu, huelewi unachoandika. Ufalme wa Mungu una Mila, Tamaduni, Desturi, Lugha, watu, Serikali n.kumenena vema ndugu,..tupo duniani,dunia yenye changamoto nyingi sana,.hasa sasa dunia ya utandawazi,ni sahihi ulivyosema watu wanabadilika hata kimavazi,.ni jambo jema ila tukumbuke kuwa sisi tulioamua kumfata YESU(tuliiokoka) lazima tuishi maisha ya tofauti na wamataifa,efeso inasema
WAEFESO 4;17
Kuwa tusienende kama wamataifa waenendavyo katika ubatili wa nia zao,.
lazima tuishi tofauti na wasioamini,.ya kwamba wao waliopotea ikifika kipindi chao cha kuamini na kutubu wakamrudia MUNGU waishi tofauti na walipokuwa,...all in all tuishi tofauti nao katika kila nyanja. hata uvaaji tutafauti nao.
kuhusu kuhukumu ndugu yangu,.hukumu ni ya MUNGU tumeambiwa tusihukumu tusije tukahukumiwa
mathayo 7;1-msihukumu msije mkahukumiwa ninyi
kwenye red pale ndugu,.
hukumu ni ya MUNGU maana sisi pia hatujakamilika.
ila nilichojitahidi kuhainisha ni kwamba watu wamewashutumu sana hao watumishi na kuwakejeli kwa njia tofauti,.nikatoa mabandiko ya kwamba watu kama wanapotoshwa na hao manabii shida nikwamba watu siku hizi wanafuata sana mikumbo hawasomi neno(biblia)maana kupitia biblia tutawajua hao manabii kama ni wa uongo au lah,.na biblia imesema kuwa siku za mwiso watatokea manabii wengi wa uongo na kupoteza wengi,.ila tutawatambua kwa matunda yao,.yakwamba matunda yanayotokana na Uweza wa MUNGU tutayatambua na ya ibilisi tutayatambua pia.ila kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU nikitu kibaya sana,.na siwezi kusuport mtu anaepingana na watumishi wa MUNGU hata siku1 ilhali hao watumishi siwajui kabisa maisha yao kiundani,..ila nilichosisitiza wakristo wa sikuhizi hawasomi neno ndo maana nikila siku kuamahama makanisa na kutafuta miujiza na unabii huku na kule.
kuna mmoja anajiita TheMeek huyu yeye Anatafuta picha za kina shigongo,.akina mc luvanda na wengine na kutangazia watu kuwasingizia hao watu wanadanganya watu kuwa ni wachungaji na ni matapeli,.na kukejeli sana,.wakati ni watu na kazi zao tu za kawaida mitaani,(nani hamjui shigongo na riwaya zake za kidunia).pia kama mtu ni mc ila kaokoka kuna ubaya kushuhudia hata akiwa kazn kwenye maconcert,.
tuepuke kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU manabii wa uongo sawa wapo.ila sio wote na hadi leo hii tunawajua kwa kutumia misingi ya MUNGU kuwa hawtendi kaz za MUNGU,ila siwez mimi kama MTU wa MUNGU nije huku niseme mtumishi flani,nabii flani ni hivi na hivi tena nawatangazia wamataifa ambao inabidi tuwahubiri waje kwa YESU,.hapo ntakuwa nimetumiwa na ibilisi bila kujijua Kwa kumkosesha Mungu aliojiandalia..
ila mimi sishangai maana siku za mwisho shetani alali akitumia watu na watu wanaigiza kuwa wanampenda MUNGU ili kuteka watu,huku mambo ya dunia yakiwa mioyoni mwao na hawaelewi mambo wanayofanya,MUNGU akiwabadilisha watakuja kujua kuwa wanatumikishwa na ibilisi.
ndugu nakushukuru sana kwa kunikumbusha pia.......karibu tujadili
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
Ukisoma Biblia na Quran vizuri utawajua tu.Ni vigumu kuwatambua MANABII wa uongo kama huna meekness.
Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.Ukisoma Biblia na Quran vizuri utawajua tu.
Pia unaweza kuwajua kwa vitendo vyao.
ok.Naona umeandika vitu usivyovielewa undani wake. Mpangilio wake, lugha yake.. yaonyesha wazi kuwa unachukulia maandiko ya Mungu kama masomo yale ya kufundishwa shuleni.
Kama ilivyo rahisi mchawi kumuelewa mchawi mwenzake, ndivyo ilivyo kwa upande wa Mungu ; Ufalme wa Mungu lugha ni muhimu sana.
Maandiko uliyoandika hayana maana.,..