Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Ulichoandika , ni ujuaji tu na ni haramu mbele za Mungu kuhukumu watu kwa kumia ujuaji (holes &caves) . Ndio maana katika Uislamu kabla ya kuingia msikitini au kuswali ni lazima zisafishwe na kuzibuliwa (hizo Hisia) ili zisiingize mabalaa katika Mioyo ya WAISLAM

Muislam kamili kamwe hawezi kuhukumu MTU kwa ujuaji (Hisia) wake.
Thank you for your advice.

Nakubaliana na baadhi ya maneno yako haya lakini sio yote.

Enzi hizi hakuna Nabii (kufuatana na Quran na Biblia).
 
Ndugu, ili uweze kuwa na uhakika zaidi kuhusu Imani yako na unachokiabudu, ni muhimu sana kusoma vitabu viwili au kupata mafundisho ya vitabu vyote viwili na ya dini zingine (baadhi).

Kama ulikua huelewi, Kuna maandiko mengi sana ya Biblia kwenye Quran na pia kuna maandiko mengi ya Quran kwenye Biblia.

Waislamu ni dini pekee inayojitahidi kuyafuata mafundisho ya Biblia. ( Ni vigumu sana kuyaelewa haya, kwasababu siku zote Mungu hutumia vitu vyake kwa siri nzito) .... Wengi mnawaona Magaidi na mnauita uislam Ugaidi... Sio kweli,

Uislamu ni moja ya njia za kuelekea kwenye Ukristo , kama zilizoko baadhi ya dini zingine.

So ili uweze kupata mwili kamili wa Kristo, lazima uunganishe vipande vyote kutoka kila sehemu waliko gawiwa mitume na MANABII ili kupata mwili kamili wa Yesu aliowapa wakati wa chakula kalamu yake ya mwisho.

Lazima , uwe juu ya Dunia!
Umesema yaliyo mema Na ya kweli mengi katika komenti zako, nadhani hii umekengeuka!

Kamwe huwezi sema nikitaka kujua juu ya imani yangu nisome vitabu vingi juu ya imani ambazo hazijengi imani yangu!

Dini ni Imani, imejengwa katka Kuwa Na imani Na kitu ambacho hujakiona dhahiri. Huwezi niambia ili nijengeke katika imani yangu yanipasa nijue juu ya imani nyingine! haipo hiyo. Kuifanya hivyo utayumba ktk kile anachokiamini.

Yani nikiraka kuimarisha ukristo wangu nisome Qukan kitabu ambacho kwa imani yangu hakikujengwa juu ya misingi ya imani yangu?

Tusichanganye mambo ya revield knowledge kwa kutaka upatanisho wake Na absolute knowledge!

Imani hujengwa kwa kutafuta maarifa yaliyo juu ya imani yako Na sio opposite yake!
 
ok.
asiyejua maana ya jambo lenye maana,hana maana
sawa ila kama unavyosema.mtu alieokoka tunatambuana kwa lugha moja,hata kama mtu ni wa uholanzi au russia,.kama kaokoka utamjua tu,.,.
najua umeelewa ila tatizo yamekuchoma.,nibora tuambiane ukweli tu,na kweli ifike mahali husika,.kama kukataa ukatae mwenyewe ukweli,.ila ukweli uujue na uuelewe.kuliko kujua upo sahihi ila uko wrong,totally wrong.
hata YESU alipoleta ile kweli,waliompinga ni watu wa dini waliokalilishwa bila kujua maana(wafarisayo na masadukayo)
sikushangai wewe kuupinga ukweli kwakuwa umekalilishwa dini tangu mdogo..
ila mkuu tunakumbushana kwa mema,.maana MUNGU anania njema na maisha yetu na buwakumbusha na kuwaonya anaowapenda..MUNGU anakupenda,.rudi kwenye mstari2 ndugu
ufunuo 3;19
Ndugu, huu mstari hapa chini ni wa muhimu sana kuzingatia.

Jiulize, Unasomaje Biblia? Unazielewaje Amri? Sheria? Shuruti? Sanamu? n.k Tizama swali hili hapa chini Yesu alilomuuliza MWALIMU wa Sheria.....ambae nia yake alitaka kujikweza mbele za watu (kumchalange Yesu Kristo)

#Luke 10:26 "What is written in the Law?" He replied. "How do you read it?"

Ndugu, Kuna kitu kikubwa sana mmepotoshwa na hao wahubiri wa makanisa Yenu.

Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.

Kuokoka au Wokovu ni hatua ya Tatu katika njia ya Msalaba. MTU aliyeokoka ni zaidi ya Waziri au Waziri Mkuu wa Serikali ya Tanzania , sasa jiulize katika ufalme wa Mungu huyo MTU ni wa namna gani? ;

Kiufupi Ni Cheo kikubwa sana. Sio cha siku moja kama mnavyokaririshwa na kudanganywa.

Ndio maana Watu wanaojiita wameokoka wanadharauliwa sana kutokana na kuishi kinafki, kizinzi , uongo , ujuaji na wengi mara nyingi wanakuwa makanisani kuangamiza watu.

Kuna Wafuasi wa Kristo, Wanafunzi wa Kristo na Wakristo; Hapa pia hamtofautishi! Kila MTU mnamuita Mkristo,..

Kumbuka, mitume walianza kuitwa Wakristo pale Antiokia... , unaelewa kwanini? Kiufupi MTU aliyeokoka sawa sawa ndio tunamuita mkristo. ( kutembea kama Yesu, kula, kuvaa n.k) : Ni makosa sana kumuita mfuasi au mwanafunzi wa Kristo - Mkristo.

Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya NIA na DHAMIRA. Nia ni mzizi wa dhambi , bali Dhamira ni msingi wa imani katika Kristo Yesu.

Nia ni zawadi kutoka kwa shetani, wakati , Dhamira ni zawadi kutoka kwa Mungu. A clear Conscience ( Dhamira)

Naona unaandika vitu vingi sana bila kuelewa unaandika nini..., ni makosa makubwa unafanya. Kuwa humble, kuwa gentle ,.... Mungu hapendezwi na pride. Kujua andiko ni tofauti na kuliewa andiko.

Ujuaji haujengi, Uelewa unajenga. Jitahidi kuwa mtiifu, .. Na Mungu atakupa au kukuletea watu wake wa kukufungua macho.

Tazama hapa Philipo alivyokutana na Muethiopia msomi ambae alikuwa haelewi anayoyasoma..., ukiwa mtiifu mbele za Mungu , atakupa Uelewa..

#Acts 8:30-31,"Then Philip ran up to the chariot and heard the man reading Isaiah the prophet. “Do you understand what you are reading?” Philip asked. “How can I,” he said, “unless someone explains it to me?” So he invited Philip to come up and sit with him."
 
Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Ulichoandika , ni ujuaji tu na ni haramu mbele za Mungu kuhukumu watu kwa kumia ujuaji (holes &caves) . Ndio maana katika Uislamu kabla ya kuingia msikitini au kuswali ni lazima zisafishwe na kuzibuliwa (hizo Hisia) ili zisiingize mabalaa katika Mioyo ya WAISLAM

Muislam kamili kamwe hawezi kuhukumu MTU kwa ujuaji (Hisia) wake.

Inawezekana vipi ukawa Na uelewa pasi kujua awali?

Maandiko yanasema mahali pengi "Yesu alijua juu ya kifo chake....." haikuandikwa "Yesu alielewa juu...." hivyo kwa maana yako Yesu walitenda dhambi "alipojua" Kuwa Petro atamkana mara tatu?

Ndugu zangu NENO la MUNGU NI UZIMA, linauhai ndani yake, tusijaribu kuliua kwa uelewa wetu kutokana Na elimu za darasani!
 
Ndugu, huelewi unachoandika. Ufalme wa Mungu una Mila, Tamaduni, Desturi, Lugha, watu, Serikali n.k

Hakika nakwambia kweli, Ukiutafuta Ufalme wake na Imani yake, .. Utajifunza lugha yake.

Ulichokiandika kwa hisia ni kizuri kutazama, lakini kwa uhalisia hakina maana yeyote ; Mimi sielewi lugha ya kiarabu, lakini nayajua maandishi ya kiarabu;

Hivyo, ninaweza kuandika hapa maandishi ya kiarabu, watu wakanisifia sana kwamba najua kiarabu , but wenye lugha yao wakisoma , wanaona umeandika matusi , kufuru, kejeli, Uovu, broken, .. kutukana watu pasipo kuelewa. Kumbuka, hayo uyafanyao ni dhambi.

Mfano , umeandika kuhusu watu wa mataifa, je hawa ni watu gani? Umeandika Huwezi kuhukumu watu wa Mungu - ni kweli, lakini jiulize, upo katika hatua gani ya Imani yako?

Biblia imeweka wazi kwamba, ukisimama vyema , itafika kipindi hutafundishwa na MTU yeyote kwasababu ukweli utakua ndani yako; Je umewahi kufikia kipindi hicho? So unataka kusema wewe maisha yako yote utakuwa unakwenda kanisani mpaka uzeeni/ kifo? Ukimaanisha sawa na kufanya Kazi kwenye kampuni au serikalini bila promotion..., ? You cant be serious!

Unafikiri kwanini wakina Paulo walikuwa wanahukumu watu tena kwa kuwataja majina wakati wakiwafundisha watu wao kwamba " Msifuate mafundisho ya Fulani, ni muongo " ; Au Haya yote unayasoma kama gazeti?

Hatua za kuelewa Ukuu wa Mungu katika Kristo Yesu ni Hizi

1. Kumfuata 2. Kumuhofu 3. Kumpenda 4. Kumuabudu

Kila moja ina utukufu wake na mapito yake. Huwezi kamwe kuwa namba moja halafu ukayaelewa ya namba 2 au uko namba 2 ukayaelewa ya namba 3 ; Mungu anaishi kwenye namba 3 na 4.

Jiulize upo namba ngapi? Na kwa Uelewa wako , katika namba hizo, MTU wa mataifa anakuwa namba ngapi...,

Ni vigumu sana kuelewa Haya;

Kiufupi, Mungu kaficha siri zake kwa wanaojifunza na wenye Hekima lakini kaziweka wazi kwa watoto wadogo ili Jina lake litukuzwe.
Mimi sipo hapa kubishana,.hapo kwenye red,.sijapinga,.ila Paulo Aliwachunguza na kuwafatilia,hakukulupuka2,.na kugundua kiukweli kuwa waongo hawamuubiri YESU,.akawa na ujasiri wa kuonya watu,.wewe je umeenda nigeria kuwachunguza,au umewafatilia na ukathibitisha wapo nje ya misingi ya MUNGU au umehukumu2??????kama ulifatilia its ok niwewe na good thing pia kutusaidia kuwajua ili tusipotee,.kama hujaenda then unawahukumu niwewe,..
kuna bandiko lako1 umemtaja shigongo,ma mc flani hapA dar na picha zao kuwa anadanganya,.nilini shigongo akaanza kuhubiri neno la MUNGU??????????Mtunga hadithi za kuwashawishi watu wapotee ktk uasherati.
kama unajiona wewe ni bora kuliko maandiko ,namimi nimepotea kwa kufata maandiko unasema nimepotea,kisa nimetoa evidence zangu binafsi.haha its ok,..biblia tuliletewa tuliookoka
ukweli uko wazi,.na ntasimama kulitetea jina la YESU na kusisitiza ubatizo wa maji mengi na kumkiri YESU kwakinywa chako,.sio mapokeo,.
the rest kama ntakuboa ukweli ndo huo........ila sipo hapa kutoleana kejeli au kukashifiana.
injili ya YESU isonge mbele,.wewe endelea kupingana na neno la MUNGU, niwewe na nafsi yako ndugu,.kila goti litapigwa(wewe binafsi utasimama mbele za YESU),

LABDA NIKUULIZE,TheMeek UMEMKIRI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO?????
UMEBATIZWA KWA MAJI MENGI????????
unaamini kuwa YESU NI MUNGU????????

have nice flow ndugu...........
am waiting tu conclude.......
 
Thank you for your advice.

Nakubaliana na baadhi ya maneno yako haya lakini sio yote.

Enzi hizi hakuna Nabii (kufuatana na Quran na Biblia).
Amini nakwambia kweli, ukiruhusu Moyo wako ukapata Uelewa mdogo kama robo ya punje ya Mchele ni Furaha kubwa sana mbele za Mungu.

Sio kila kitu lazima kwa mara moja. The more unavyozidi kuwa na Dhamira ya kuelewa ndipo Uelewa unaongezeka.

Hiyo ni hatua nzuri kukubaliana na baadhi ya maandishi yangu, ipo siku utakutana na mengine, then utayakumbuka Haya.

May Peace from Allah be with you!
 
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
mkuu asante sana hapo umenielewesha tofauti ya mtume na nabii,nashukuru kwa kuniongezea uelewa aisee
 
Umesema yaliyo mema Na ya kweli mengi katika komenti zako, nadhani hii umekengeuka!

Kamwe huwezi sema nikitaka kujua juu ya imani yangu nisome vitabu vingi juu ya imani ambazo hazijengi imani yangu!

Dini ni Imani, imejengwa katka Kuwa Na imani Na kitu ambacho hujakiona dhahiri. Huwezi niambia ili nijengeke katika imani yangu yanipasa nijue juu ya imani nyingine! haipo hiyo. Kuifanya hivyo utayumba ktk kile anachokiamini.

Yani nikiraka kuimarisha ukristo wangu nisome Qukan kitabu ambacho kwa imani yangu hakikujengwa juu ya misingi ya imani yangu?

Tusichanganye mambo ya revield knowledge kwa kutaka upatanisho wake Na absolute knowledge!

Imani hujengwa kwa kutafuta maarifa yaliyo juu ya imani yako Na sio opposite yake!
(Sisi Waislamu) ..Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Quran 29:46
 
Suala kubwa hapa la kujiuliza, ni Imani ni nini? dini ni nini? Kipi kati ya hivyo ni zawadi kutoka kwa Mungu? Je kila imani au dini , vinatoka kwa Mungu?

Unafikiri kwanini Yesu Kristo aliweza kukabiliana na watu wa imani zote? Na karibu imani zote lazima zimtaje! Kwanini Mtume Muhammad hayumo kwenye Biblia?

Je unaelewa Biblia ilipatikanaje?

Ndugu, Kiufupi, Yesu Kristo yeye pia alikua akisoma vitabu vya MANABII na watu wengi wa Mungu, ..mfano Musa, Abrahamu, Elijah , Solomoni , Isaya n.k ndio maana unaweza kuona alikuwa akifundisha kwa kukumbushia baadhi ya maandiko yao

Yeye aligundua madhaifu ya kila mmoja wao, na akaamua kuipitia njia ya Msalaba kwa namna ya ajabu. Wengine wote walishindwa kufikia cheo cha "Kristo" , yeye akaweza.

Ndio maana katika Agano jipya... Hakuna mahala utaona Yesu Kristo alicheza mziki , akagalagala kama wakina Daudi , au kuchekacheka..., He was serious doing His Father's Business!

SIRI ILIYOFICHIKA.

Biblia ni kama Hesabu. Ina mtaka MTU aliyeitwa aishi kama yalivyo maneno yake. Na Yule aliyetumwa , afanye na kutenda kama maneno yake yalivyo. Naongelea maneno sio maandiko ( usichanganye hapa) ... I mean , mfano 1+1=2

Hapo hutakiwi kuzidisha au kuongeza maneno; Watu wengi waliotumwa hushindiwa hapa kutokana na Kazi ya Ulimi .Wengi huongeza maneno yao ili kupata sifa au umaarufu kutoka kwa watu, ...

Soma; Revelation 22:18-19

18 For I testify unto every man that heareth the words of the prophecy of this book, If any man shall add unto these things, God shall add unto him the plagues that are written in this book:

19 And if any man shall take away from the words of the book of this prophecy, God shall take away his part out of the book of life, and out of the holy city, and from the things which are written in this book."
 
(Sisi Waislamu) ..Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake.

Quran 29:46

Mahmood

Hapo ndio tunapotofautiana kaka. Sisi hatuamini katika Yale ninyi mnayoyaamini!

Tunataratibu zetu, Mungu wetu ni wa utatu mtakatifu, Je ninyi mnalikubali hili? Lah!

Kamwe narudia kamwe huwezi kutumia Quran katika kujustfy NENO.lolote katika Biblia. Tunaamini katika kusamehe ninyi katika kulipiza ni haki!

Hakuna uhusiano wa kiimani Kati yetu kwa MTU aliyeshika sawasawa imani yake. Huwezi Mueleza Muislam swafi Kuwa anaamini katika imani ya kikristo! Never! Na hivyo hivyo kwa wakristo!

Ila ni sisi ambao labda tunakaeli dunia tunajaribu kujenga upatanisho ktk dini mbili hizi. Uislam Na Ukristo ni vitu viwili tofauti. ni sawa dunia Na.mbinguni, nyeusi Na nyeusi! kamwe si kitu kimoja!

Tuendelee kuheshimiana kwa "imani" maana kila kitu anachoamini MTU ktk imani yake ni sawa, hatuna haja ya kutofautiana Na kulazimishana Kuwa dini flani ni Bora zaidi ya nyingine.

Shika sana ulichonacho Mkuu, usiruhusu MTU kukutoa ktk imani yako. Lakini kama utajitafutia maarifa Na ukagungua kwa hiari yako Kuwa upo katika wrong tracks using'ang'ania kubaki ulipo. HAMA. Hiii ni kwa wote. sio kwa wakristo au waislam tu!
 
Inawezekana vipi ukawa Na uelewa pasi kujua awali?

Maandiko yanasema mahali pengi "Yesu alijua juu ya kifo chake....." haikuandikwa "Yesu alielewa juu...." hivyo kwa maana yako Yesu walitenda dhambi "alipojua" Kuwa Petro atamkana mara tatu?

Ndugu zangu NENO la MUNGU NI UZIMA, linauhai ndani yake, tusijaribu kuliua kwa uelewa wetu kutokana Na elimu za darasani!
Na Mimi nakuuliza , Kati ya Mbingu na Dunia , kipi kilianza kuumbwa?

Au kwa maana nyingine, Kati ya "Maandiko" kama hayo uliyoya quote kuhusu Yesu na "Maneno" kipi kinaanza kuumbwa?

Au Kati ya Hisia na Uhalisia, kipi kinaanza kuumbwa?

Au kati ya Mwanamme na Mwanamke , nani alianza kuumbwa?

Kwanini una quote vitu bila kuvielewa undani wake kisha unaniita mpotoshaji?

Amini nakwambia kweli, ukisoma maandiko na kuyakariri bila kuyaelewa undani wake, utakuwa sawa na gaidi au shoga.

Neno la Mungu ni nini? Andiko ni nini?
 
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
What is the difference between Rasool (mtume) and Nabi ?

After knowing the terminological meanings of Rasul and Nabi, it is also important to understand the difference of these two great positions.

The Quran has used both the words, Nabi and Rasul, which shows that there were two kinds of messengers.Some of the messengers were Nabi only.Some messengers were both Nabi and Rasool.The difference between Rasul and Nabi is that,A Rasul was a messenger of Allah who was given a new Shariat (codes of law) from Him. And a Nabi was also the messenger of Allah, but he was not given any new Shariat and followed the shariat of earlier Rasul. Sheikh Mufid, a great scholar of Islam writes in his book, Awa’il al-Maqalat, “every messenger is a prophet [Nabi], but not every Prophet is a Rasul [Apostle]. All Rasules were Nabi but all Nabis were not Rasuls.A Prophet is always a Nabi by birth, but a prophet become Rasul when he officially receives the post and declares it. For example, our Prophet Muhammad (sws) was Nabi by birth, but became Rasul when he officially got and delivered the message of Risalat at the age of 40.The Rasul [Apostle] receives the message from Allah Taala in many different manners such as, vision during sleep, direct communication with angels when he is awake. i.e., he can see and speak to the angels during communication of Divine message. But the Nabi [prophet] differs from the Rasul in that he does not see the angels when
awake but sees during sleep.The Rasul is higher in rank than a Nabi.Out of 25 Prophets mentioned in the Holy Quran, or among 124000 Nabis, Five were Rasul, and are called Ulu l-azm prophets, meaning those who possess a quality of determination and firmness.
The five Rasuls and Ulul-azm Prophets are:
1 - Hazrat Nooh (as)
2 - Hazrat Ibrahim (as)
3 - Hazrat Musa (as)
4 - Hazrat Jesus (as)
5 - Hazrat Muhammad (sws)Prophet Nooh(as) was given a Shari’ah which was followed by other prophets up to the time of Hazrat Ibrahim(as).Prophet Ibrahim(as) was given a Shari’ah which remained in force up to the time of Hazrat Musa. i.e., Hazrat Yaqub, Hazrat Lut, Hazrat Yousuf (as) etc. followed the Shariat of Ibrahim.Prophet Musa(as) was given a new Shari’ah which was followed by all the prophets of Bani Israel until the time of Hazrat Isa (as).Prophet Isa (as) was given a new Shariat which remained in force upto the time of the Holy Prophet.Prophet Muhammad (sws) was given the last and the most perfect Shariat which will remain in force up to the last working day of the world.The Shariat -e- Muhammadi can never be changed as Prophet Muhammed (sws) is the last prophet and no prophet will come after him. Our Prophet, Hazrat Muhammad (sws) has the highest position and rank among all the Prophets.
 
Mahmood

Hapo ndio tunapotofautiana kaka. Sisi hatuamini katika Yale ninyi mnayoyaamini!

Tunataratibu zetu, Mungu wetu ni wa utatu mtakatifu, Je ninyi mnalikubali hili? Lah!

Kamwe narudia kamwe huwezi kutumia Quran katika kujustfy NENO.lolote katika Biblia. Tunaamini katika kusamehe ninyi katika kulipiza ni haki!

Hakuna uhusiano wa kiimani Kati yetu kwa MTU aliyeshika sawasawa imani yake. Huwezi Mueleza Muislam swafi Kuwa anaamini katika imani ya kikristo! Never! Na hivyo hivyo kwa wakristo!

Ila ni sisi ambao labda tunakaeli dunia tunajaribu kujenga upatanisho ktk dini mbili hizi. Uislam Na Ukristo ni vitu viwili tofauti. ni sawa dunia Na.mbinguni, nyeusi Na nyeusi! kamwe si kitu kimoja!

Tuendelee kuheshimiana kwa "imani" maana kila kitu anachoamini MTU ktk imani yake ni sawa, hatuna haja ya kutofautiana Na kulazimishana Kuwa dini flani ni Bora zaidi ya nyingine.

Shika sana ulichonacho Mkuu, usiruhusu MTU kukutoa ktk imani yako. Lakini kama utajitafutia maarifa Na ukagungua kwa hiari yako Kuwa upo katika wrong tracks using'ang'ania kubaki ulipo. HAMA. Hiii ni kwa wote. sio kwa wakristo au waislam tu!
Imani ni nini? Kwanini Mashoga au Magaidi au Majambazi wanakuwa wepesi kuelewa wanachokifanya?

Kama ni Roho chafu ndio nguzo moja wapo ya kuwafanya wawe thabiti katika imani yao, kwanini hawa watu wa madhehebu wanashindwa? Mbona Biblia Takatifu imeweka wazi?

Jiulize, tatizo liko wapi? Je Mungu ni mbaguzi kiasi hicho asiwafanye watu kuelewa ufalme wake? Au wanadamu ndio wanamuudhi?

Uliyoyaandika, hayana mashiko!
 
Na Mimi nakuuliza , Kati ya Mbingu na Dunia , kipi kilianza kuumbwa?

Au kwa maana nyingine, Kati ya "Maandiko" kama hayo uliyoya quote kuhusu Yesu na "Maneno" kipi kinaanza kuumbwa?

Au Kati ya Hisia na Uhalisia, kipi kinaanza kuumbwa?

Au kati ya Mwanamme na Mwanamke , nani alianza kuumbwa?

Kwanini una quote vitu bila kuvielewa undani wake kisha unaniita mpotoshaji?

Amini nakwambia kweli, ukisoma maandiko na kuyakariri bila kuyaelewa undani wake, utakuwa sawa na gaidi au shoga.

Neno la Mungu ni nini? Andiko ni nini?
Naona umeanza kupata motto, Na mie siwezi kubishana juu ya Neno lenye UZIMA. Hujajibu swali unauliza swahi!

Naondoka. Asante kwa muda wako.
 
Ndugu, Kuna kitu kikubwa sana mmepotoshwa na hao wahubiri wa makanisa Yenu.

Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.
ok ni jambo zuri kuzidi kuufahamu msimamo wako wa ndani ya moyo wako,.tupo hapa sikubishana na kukejeliana bali tunasaidiana na kuelekezana namna zitupasazo ili tusiikose mbingu..
kwanza wahubiri wetu sisi/wachungaji hawatupotoshi,.wanamuhubiri KRISTO YESU na najua unajua dhumuni la kwenda kanisani,sio kumsikiliza mchungaji,nop ni kumwabudu MUNGU,thats the main point,.mchungaji amewekwa na Mungu kanisani unajua kazi yake??????
WAEFESO 4;11-12-NAYE ALITOA WENGINE KUWA MITUME,NA WENGINE KUWA MANABII,NA WENGINE KUWA WAINJILISTI,NA WENGINE KUWA WACHUNGAJI NA WALIMU,..je mnapoabudu hao watumishi yaani mitume,manabii,wachungaji,walimu wapo????????????,sema ukweli ndugu
12-kwakusudi la kuwakamilisha watakatifu,hata kazi ya huduma itendeke,hata mwili wa Kristo ujengwe..sasa ndugu wahubiri wetu sisi ni wachungaji,.so unapingana na biblia ndugu kuwa wachungaji waliokuwepo kwa misingi ya MUNGU na paul amewagusia hapo,unawapinga,.kanisa lazima linalomuabudu MUNGU WA kweli lazima liwe na hizo huduma nlizoquote kutoka waefeso,.kama kanisani kwenu hamfuati hayo,.jichunguze,.mmepotea ndugu
Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.
ok sawa ndugu,.nashukuru kwa fundisho lako ndugu,..ila hayo unayoyasema ni mambo umeyatoa katika bibvlia au umeyatoa akilini mwako,au ndo mapokeo mnayofundishwa kanisani catholics?????
tuishi kama neno linavyosema ndugu,kma tunataka kwenda mbinguni hii njia ya kuokoka haikwepeki.
MARKO 16;16-
Aaminiye na kubatizwa ataokoka,
asiyeamini atahukumiwa,.yaani haijalishi umeokoka lini wala mda gani,.ukiamini kuhusu YESU na ukakubali kubatizwa utaokoka,.the same time.
YESU hakusema hayo mambo unayosema wewe kuwa lazma ukae muda gani sijui ndo uokoke,no sio hivyo ndugu,.kuokoka ni imani,ndomaana unakiri kutoka moyoni,.ila uwe umemaanisha kutoka moyoni.,na tunakombolewa kwa imani.,.
MATENDO 16;31
Wakamwambia,mwamini Bwana YESU ,Nawe utaokoka pamoja na nyumba yako,...
ukimwamini YESU basi unaokoka ndugu.,.sio mpaka ukaemiaka,no sio hivyo mkuu
WARUMI10;9
Kwasababu ukimkiri YESU kwa kinywa chako ya kuwa ni BWANA ,Nakuamini moyoni mwako yakuwa MUNGU Alimfufua katika wafu,utaokoka
sio eti hadi ukae miaka,.haipo hivyo ndugu,..kama ulivyosema MUNGU kukufunulia haya mambo inabidi uwe nae karibu sana,.mmeshindwa kuelewa ni nini mnafanya,kwakuwa mnaamini kusomewa neno,bila wewe mwenyewe kuchukua hatua.
nina hakika ukimtafuta MUNGU kama amekuchagua uje kuwa ktk njia yake,.utajua haya na kukupa uelewa wa neno lake,.na utapojua ukweli ukaja kuokoka,utajiona umechelewa sana.....
Ndugu, huu mstari hapa chini ni wa muhimu sana kuzingatia.

Jiulize, Unasomaje Biblia? Unazielewaje Amri? Sheria? Shuruti? Sanamu? n.k Tizama swali hili hapa chini Yesu alilomuuliza MWALIMU wa Sheria.....ambae nia yake alitaka kujikweza mbele za watu (kumchalange Yesu Kristo)

#Luke 10:26 "What is written in the Law?" He replied. "How do you read it?"

Ndugu, Kuna kitu kikubwa sana mmepotoshwa na hao wahubiri wa makanisa Yenu.

Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.

Kuokoka au Wokovu ni hatua ya Tatu katika njia ya Msalaba. MTU aliyeokoka ni zaidi ya Waziri au Waziri Mkuu wa Serikali ya Tanzania , sasa jiulize katika ufalme wa Mungu huyo MTU ni wa namna gani? ;

Kiufupi Ni Cheo kikubwa sana. Sio cha siku moja kama mnavyokaririshwa na kudanganywa.

Ndio maana Watu wanaojiita wameokoka wanadharauliwa sana kutokana na kuishi kinafki, kizinzi , uongo , ujuaji na wengi mara nyingi wanakuwa makanisani kuangamiza watu.

Kuna Wafuasi wa Kristo, Wanafunzi wa Kristo na Wakristo; Hapa pia hamtofautishi! Kila MTU mnamuita Mkristo,..

Kumbuka, mitume walianza kuitwa Wakristo pale Antiokia... , unaelewa kwanini? Kiufupi MTU aliyeokoka sawa sawa ndio tunamuita mkristo. ( kutembea kama Yesu, kula, kuvaa n.k) : Ni makosa sana kumuita mfuasi au mwanafunzi wa Kristo - Mkristo.

Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya NIA na DHAMIRA. Nia ni mzizi wa dhambi , bali Dhamira ni msingi wa imani katika Kristo Yesu.

Nia ni zawadi kutoka kwa shetani, wakati , Dhamira ni zawadi kutoka kwa Mungu. A clear Conscience ( Dhamira)

Naona unaandika vitu vingi sana bila kuelewa unaandika nini..., ni makosa makubwa unafanya. Kuwa humble, kuwa gentle ,.... Mungu hapendezwi na pride. Kujua andiko ni tofauti na kuliewa andiko.

Ujuaji haujengi, Uelewa unajenga. Jitahidi kuwa mtiifu, .. Na Mungu atakupa au kukuletea watu wake wa kukufungua macho.

Tazama hapa Philipo alivyokutana na Muethiopia msomi ambae alikuwa haelewi anayoyasoma..., ukiwa mtiifu mbele za Mungu , atakupa Uelewa..

#Acts 8:30-31,"Then Philip ran up to the chariot and heard the man reading Isaiah the prophet. “Do you understand what you are reading?” Philip asked. “How can I,” he said, “unless someone explains it to me?” So he invited Philip to come up and sit with him."
nasisi tuliokoka najua tunadharaulika nisahihi sana,.ila unafikiri kwanini YESU alidharauliwa msalabani?na hadi wakamtemea mate????????ni ule ukweli aliowaambia watu washika dini,nawakaona ni kama hadithi za ajabu2,vitu vya ajabu,......soma mathayo 24 uone ndugu......
ndugu akina yohana walitiwa kwenye mapipa ya mafuta ili wafe,.stephano walimpiga mawe kisaa neno la YESU ahhh ndugu,.kama utatudharau ni vizuri sababu mimi napata thawaabu na heshima kwa MUNGU wangu kuwa nadharaulika na kudhihakiwa kisaa neno lake.,......
kuhusu filipo na huyo mwanasheria nisahihi kabisa tena haswa.,........
kusoma biblia inahitaji mafunuo ya MUNGU sio kusoma hovyo2 kama hadithi,.ndomaana biblia ni moja ila madhehebu ni mengi na kila mtu anahubiri na kutafsiri kivyake,.ila namshukuru MUNGU kwakunichagua kuwa upande sahihi na kuona mambo ya ukweli wa MUNGU akinifunulia,............
 
Mimi sipo hapa kubishana,.hapo kwenye red,.sijapinga,.ila Paulo Aliwachunguza na kuwafatilia,hakukulupuka2,.na kugundua kiukweli kuwa waongo hawamuubiri YESU,.akawa na ujasiri wa kuonya watu,.wewe je umeenda nigeria kuwachunguza,au umewafatilia na ukathibitisha wapo nje ya misingi ya MUNGU au umehukumu2??????kama ulifatilia its ok niwewe na good thing pia kutusaidia kuwajua ili tusipotee,.kama hujaenda then unawahukumu niwewe,..
kuna bandiko lako1 umemtaja shigongo,ma mc flani hapA dar na picha zao kuwa anadanganya,.nilini shigongo akaanza kuhubiri neno la MUNGU??????????Mtunga hadithi za kuwashawishi watu wapotee ktk uasherati.
kama unajiona wewe ni bora kuliko maandiko ,namimi nimepotea kwa kufata maandiko unasema nimepotea,kisa nimetoa evidence zangu binafsi.haha its ok,..biblia tuliletewa tuliookoka
ukweli uko wazi,.na ntasimama kulitetea jina la YESU na kusisitiza ubatizo wa maji mengi na kumkiri YESU kwakinywa chako,.sio mapokeo,.
the rest kama ntakuboa ukweli ndo huo........ila sipo hapa kutoleana kejeli au kukashifiana.
injili ya YESU isonge mbele,.wewe endelea kupingana na neno la MUNGU, niwewe na nafsi yako ndugu,.kila goti litapigwa(wewe binafsi utasimama mbele za YESU),

LABDA NIKUULIZE,TheMeek UMEMKIRI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO?????
UMEBATIZWA KWA MAJI MENGI????????
unaamini kuwa YESU NI MUNGU????????

have nice flow ndugu...........
am waiting tu conclude.......
Sasa naona umeanza #Siasa. Naona pia huelewi hata maana ya #RohoMtakatifu.
 
Suala kubwa hapa la kujiuliza, ni Imani ni nini? dini ni nini? Kipi kati ya hivyo ni zawadi kutoka kwa Mungu? Je kila imani au dini , vinatoka kwa Mungu?

Unafikiri kwanini Yesu Kristo aliweza kukabiliana na watu wa imani zote? Na karibu imani zote lazima zimtaje! Kwanini Mtume Muhammad hayumo kwenye Biblia?

Je unaelewa Biblia ilipatikanaje?

Ndugu, Kiufupi, Yesu Kristo yeye pia alikua akisoma vitabu vya MANABII na watu wengi wa Mungu, ..mfano Musa, Abrahamu, Elijah , Solomoni , Isaya n.k ndio maana unaweza kuona alikuwa akifundisha kwa kukumbushia baadhi ya maandiko yao

Yeye aligundua madhaifu ya kila mmoja wao, na akaamua kuipitia njia ya Msalaba kwa namna ya ajabu. Wengine wote walishindwa kufikia cheo cha "Kristo" , yeye akaweza.

Ndio maana katika Agano jipya... Hakuna mahala utaona Yesu Kristo alicheza mziki , akagalagala kama wakina Daudi , au kuchekacheka..., He was serious doing His Father's Business!

SIRI ILIYOFICHIKA.

Biblia ni kama Hesabu. Ina mtaka MTU aliyeitwa aishi kama yalivyo maneno yake. Na Yule aliyetumwa , afanye na kutenda kama maneno yake yalivyo. Naongelea maneno sio maandiko ( usichanganye hapa) ... I mean , mfano 1+1=2

Hapo hutakiwi kuzidisha au kuongeza maneno; Watu wengi waliotumwa hushindiwa hapa kutokana na Kazi ya Ulimi .Wengi huongeza maneno yao ili kupata sifa au umaarufu kutoka kwa watu, ...

Soma; Revelation 22:18-19

18 For I testify unto every man that heareth the words of the prophecy of this book, If any man shall add unto these things, God shall add unto him the plagues that are written in this book:

19 And if any man shall take away from the words of the book of this prophecy, God shall take away his part out of the book of life, and out of the holy city, and from the things which are written in this book."
Kwenye Biblia Pia Mohammed katajwa zaidi ya mara moja.

Position of Jesus (pbuh) in Islam:

(i)Islam is the only non-Christian faith, which makes it an article of faith to believe in Jesus (pbuh). No Muslim is a Muslim if he does not believe in Jesus (pbuh).

(ii) We believe that he was one of the mightiest Messengers of Allah (swt).

(iii) We believe that he was born miraculously, without any male intervention, which many modern day Christians do not believe.

(iv) We believe he was the Messiah translated Christ (pbuh).

(v) We believe that he gave life to the dead with God’s permission.

(iv) We believe that he healed those born blind, and the lepers with God’s permission.

II) Concept of God in Christianity:

1. Jesus Christ (pbuh) never claimed Divinity

One may ask, if both Muslims and Christians love and respect Jesus (pbuh), where exactly is the parting of ways? The major difference between Islam and Christianity is the Christians’ insistence on the supposed divinity of Christ (pbuh). A study of the Christian scriptures reveals that Jesus (pbuh) never claimed divinity. In fact there is not a single unequivocal statement in the entire Bible where Jesus (pbuh) himself says, "I am God" or where he says, "worship me". In fact the Bible contains statements attributed to Jesus (pbuh) in which he preached quite the contrary. The following statements in the Bible are attributed to Jesus Christ (pbuh):

(i) "My Father is greater than I."
[The Bible, John 14:28]

(ii) "My Father is greater than all."
[The Bible, John 10:29]

(iii) "…I cast out devils by the Spirit of God…."
[The Bible, Mathew 12:28]

(iv) "…I with the finger of God cast out devils…."
[The Bible, Luke 11:20]

(v) "I can of mine own self do nothing: as I hear, I judge: and my judgement is just; because I seek not my own will, but the will of God which hath sent me."
[The Bible, John 5:30]

2. The Mission of Jesus Christ (pbuh) – to Fulfill the Law

Jesus (pbuh) never claimed divinity for himself. He clearly announced the nature of his mission. Jesus (pbuh) was sent by God to confirm the previous Judaic law. This is clearly evident in the following statements attributed to Jesus (pbuh) in the Gospel of Mathew:

"Think not that I am come to destroy the law, or the Prophets: I am not come to destroy, but to fulfil. For verily I say unto you, Till heaven and earth pass, one jot or one tittle shall in no wise pass from the law, till all be fulfilled.

"Whosoever therefore shall break one of these least commandments, and shall teach men so, he shall be called the least in the kingdom of heaven; but whosoever shall do and teach them, the same shall be called great in the kingdom of heaven."

"For I say unto you, That except your righteousness shall exceed the righteousness of the scribes and Pharisees, ye shall in no case enter into the kingdom of heaven."
[The Bible, Mathew 5:17-20]

3. God Sent Jesus' (pbuh)

The Bible mentions the prophetic nature of Jesus (pbuh) mission in the following verses:

(i)"… and the word which ye hear is not mine, but the Father’s which sent me."
[The Bible, John 14:24]

(ii)"And this is life eternal, that they might know thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou has sent."
[The Bible, John 17:3]

4. Jesus Refuted even the Remotest Suggestion of his Divinity

Consider the following incident mentioned in the Bible:

"And behold, one came and said unto him, ‘Good Master, what good thing shall I do, that I may have eternal life?’

And he said unto him, ‘Why callest thou me good? There is none good but one, that is, God: but if thou wilt enter into life, keep the commandments.’ "
[The Bible, Mathew 19:16-17]

Jesus (pbuh) did not say that to have the eternal life of paradise, man should believe in him as Almighty God or worship him as God, or believe that Jesus (pbuh) would die for his sins. On the contrary he said that the path to salvation was through keeping the commandments. It is indeed striking to note the difference between the words of Jesus Christ (pbuh) and the Christian dogma of salvation through the sacrifice of Jesus (pbuh).

5. Jesus (pbuh) of Nazareth – a Man Approved of God

The following statement from the Bible supports the Islamic belief that Jesus (pbuh) was a prophet of God.

"Ye men of Israel, hear these words; Jesus of Nazareth, a man approved of God among you by miracles and wonders and signs, which God did by him in the midst of you, as ye yourselves also know."

[The Bible, Acts 2:22]

6. The First Commandment is that God is One

The Bible does not support the Christian belief in trinity at all. One of the scribes once asked Jesus (pbuh) as to which was the first commandment of all, to which Jesus (pbuh) merely repeated what Moses (pbuh) had said earlier:

"Shama Israelu Adonai Ila Hayno Adonai Ikhad."

This is a Hebrew quotation, which means:

"Hear, O Israel; The Lord our God is one Lord."
[The Bible, Mark 12:29]

It is striking that the basic teachings of the Church such as Trinity and vicarious atonement find no mention in the Bible. In fact, various verses of the Bible point to Jesus’ (pbuh) actual mission, which was to fulfill the law revealed to Prophet Moses (pbuh). Indeed Jesus (pbuh) rejected any suggestions that attributed divinity to him, and explained his miracles as the power of the One True God.

Jesus (pbuh) thus reiterated the message of monotheism that was given by all earlier prophets of Almighty God.

NOTE: All quotations of the Bible are taken from the King James Version.

III) Concept of God in Old Testament:

1. God is One

The following verse from the book of Deuteronomy contains an exhortation from Moses (pbuh):

"Shama Israelu Adonai Ila Hayno Adna Ikhad".
It is a Hebrew quotation which means:
"Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord"
[The Bible, Deuteronomy 6:4]

2. Unity of God in the Book of Isaiah

The following verses are from the Book of Isaiah:

(i) "I, even I, am the Lord; and beside me there is no saviour."
[The Bible, Isaiah 43:11]

(ii) "I am Lord, and there is none else, there is no God besides me."
[The Bible, Isaiah 45:5]

(iii) "I am God, and there is none else; I am God, and there is none like me."
[The Bible, Isaiah 46:9]

3. Old Testament condemns idol worship

(i) Old Testament condemns idol worship in the following verses:

"Thou shalt have no other gods before me."

"Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of anything that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth:"

"Thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them: for I the Lord thy God am a jealous God."
[The Bible, Exodus 20:3-5]

(ii) A similar message is repeated in the book of Deuteronomy:

"Thou shalt have none other gods before me."

"Thou shalt not make thee any graven image, or any likeness of anything that is in heaven above, or that in the earth beneath, or that is in the water beneath the earth."

"Thou shalt not bow down thyself unto them, nor serve them; for I the Lord thy God am a jealous God."
[The Bible, Deuteronomy 5:7-9]
 
Inawezekana vipi ukawa Na uelewa pasi kujua awali?

Maandiko yanasema mahali pengi "Yesu alijua juu ya kifo chake....." haikuandikwa "Yesu alielewa juu...." hivyo kwa maana yako Yesu walitenda dhambi "alipojua" Kuwa Petro atamkana mara tatu?

Ndugu zangu NENO la MUNGU NI UZIMA, linauhai ndani yake, tusijaribu kuliua kwa uelewa wetu kutokana Na elimu za darasani!
yaani ni sahihi kabisa ndugu.hasa huwa mbaya pale mtu anapoamua kuacha neno la MUNGU halisi na kutumia akili binafsi na kuaminisha kuwa kuwa biblia wameletewa malaika.........
nashukuru sana kwa kuuliza swali zuri ili tujue pumba na ngano.
 
Mahmood

Hapo ndio tunapotofautiana kaka. Sisi hatuamini katika Yale ninyi mnayoyaamini!

Tunataratibu zetu, Mungu wetu ni wa utatu mtakatifu, Je ninyi mnalikubali hili? Lah!

Kamwe narudia kamwe huwezi kutumia Quran katika kujustfy NENO.lolote katika Biblia. Tunaamini katika kusamehe ninyi katika kulipiza ni haki!

Hakuna uhusiano wa kiimani Kati yetu kwa MTU aliyeshika sawasawa imani yake. Huwezi Mueleza Muislam swafi Kuwa anaamini katika imani ya kikristo! Never! Na hivyo hivyo kwa wakristo!

Ila ni sisi ambao labda tunakaeli dunia tunajaribu kujenga upatanisho ktk dini mbili hizi. Uislam Na Ukristo ni vitu viwili tofauti. ni sawa dunia Na.mbinguni, nyeusi Na nyeusi! kamwe si kitu kimoja!

Tuendelee kuheshimiana kwa "imani" maana kila kitu anachoamini MTU ktk imani yake ni sawa, hatuna haja ya kutofautiana Na kulazimishana Kuwa dini flani ni Bora zaidi ya nyingine.

Shika sana ulichonacho Mkuu, usiruhusu MTU kukutoa ktk imani yako. Lakini kama utajitafutia maarifa Na ukagungua kwa hiari yako Kuwa upo katika wrong tracks using'ang'ania kubaki ulipo. HAMA. Hiii ni kwa wote. sio kwa wakristo au waislam tu!
Mungu ni Mmoja tu.

Biblia inasema Yohana17:3...wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli,nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma.

1 Timotheo 6:16 inasema, Yeye peke yake anaishi milele katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.

Quran Inasema, Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari. (Quran 6:103)

Quran Inasema, Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele. (Quran 3:2)

Quran Inasema, Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima. (Quran 3:6)

Quran Inasema, Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima. (Quran 3:18)
 
Back
Top Bottom