Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

Kumbe haujui maana ya Unabii?

Unabii wa kweli hautolewi na watu.

Mungu tu ndio mwenye haki ya kumpa mtu unabii.

Hao wote manabii wa Uongo.

Yesu aliwatabiri manabii hawa wa uongo.

Jiepusheni na manabii hawa wa uongo.
Ndugu, amini amini nakwambia kweli ni vigumu sana kumtambua Nabii wa Kweli, kama wewe ni muabudu Nyota, Jua , Mwezi na Malaika
 
e096d26fcb45d61388a38afbac90289c.jpg

cb980d5d21108155022892e6fdb232ba.jpg

ebc6b2f474b49a85816b09744de80d32.jpg

196c8193729f24f80e3b44b8457482a3.jpg
Mungu hajamjalia unabii tuu amemjalia na pua
 
Ndugu, amini amini nakwambia kweli ni vigumu sana kumtambua Nabii wa Kweli, kama wewe ni muabudu Nyota, Jua , Mwezi na Malaika
Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).

Kabla yake walikwepo manabii wa Mungu wa kweli kama vile, Nabii Ibrahim, Nabii Musa, Nabii Isa (Yesu) na wengine wengi hawa ndio manabii wa kweli....

Hawa wa siku hizi wanajipa tu unabii (hawa sio manabii, wanakula pesa za watu bure, wanajulikana kwa vitendo vyao kama sio manabii wa Mungu.)
 
Show me in the Bible Jesus Says "I AM YOUR GOD " or Show me Where in Bible Jesus Claimed to BE GOD or Says "WORSHIP ME"!

Narudia tena kusema nakusisitiza kuwa , "Yesu Kristo ni Mungu"; Hii inafahamika na kueleweka kwa wachache sana, ( Watoto wadogo - baadhi sio wote + Wana wa Mungu) ;

Kama kweli unaelewa Precepts za vitabu vya Mungu, tafakari mistari hii hapa chini inataka tumuabudu Nani? Pia weka kwenye akili yako kuwa Heaven is above the Sky. Na kwamba, Hatutakiwi kuabudu Mwanadamu na Malaika, bali ni Mungu pekee,... Then endelea kubisha na kuchuma laana kama itakupendeza,...

#Deuteronomy 4:19 ," And when you look up to the sky and see the sun, the moon and the stars--all the heavenly array--do not be enticed into bowing down to them and worshiping things the LORD your God has apportioned to all the nations under heaven."

#Deuteronomy 17:3 ,"and contrary to my command has worshiped other gods, bowing down to them or to the sun or the moon or the stars in the sky,"

#Quran

"And from among His Signs are the night and the day, and the sun and the moon. Do not bow down (prostrate) to the sun nor to the moon, but only bow down (prostrate) to "Allah" Who created them, if you (really) worship Him."

#Acts 1:11,"Men of Galilee," they said, "why do you stand here looking into the sky? This same Jesus, who has been taken from you into heaven, will come back in the same way you have seen him go into heaven."

#Mark 16:19 ,"After the Lord Jesus had spoken to them, he was taken up into heaven and he sat at the right hand of God."

#Matthew 11:27 ,"All things have been committed to me by my Father. No one knows the Son except the Father, and no one knows the Father except the Son and those to whom the Son chooses to reveal him."

NB; Watu wa mataifa wamekuwa wakiwarubuni kwa kuwaambia "sky will be your limit! " kuwafunga akili zenu na mioyo yenu ili kuendelea kuabudu Mwanadamu; Wanawawekea boundary bila nyie kuelewa.

Hiyo imewafanya msimtafute Mungu nakuamua kuishi katika njia za Wanadamu.

Nina andika Haya kwasababu Mimi ni shuhuda wa yote Haya. Ni ukweli. Yesu Kristo ni rafiki yangu sana. Naelewa mengi, mengine yapo sealed, siwezi kuyaweka hadharani plainly - nitakuwa mayaweka in parables tu.

Asante.

YESU NI MUNGU
 
Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).

Kabla yake walikwepo manabii wa Mungu wa kweli kama vile, Nabii Ibrahim, Nabii Musa, Nabii Isa (Yesu) na wengine wengi hawa ndio manabii wa kweli....

Hawa wa siku hizi wanajipa tu unabii (hawa sio manabii, wanakula pesa za watu bure, wanajulikana kwa vitendo vyao kama sio manabii wa Mungu.)
MANABII na mitume wapo: Kinachowatofautisha ni Utukufu + Upendo + Nguvu .

Ni vigumu sana kuwatambua kwa Hisia. TANZANIA itakuwa na MTU mkubwa sana, zaidi hata ya Nabii Muhammad,

Atakuwa na Utukufu mkubwa sana. Zaidi hata ya Abrahamu, Jeremiah, Daniel,

Atafanya mambo makubwa ya kushangaza wengi. Na kupitia yeye watu wengi wataifuata njia ya Mungu. Atakua anatembelea fimbo ya Chuma.
 
Leo nimeamua kuupitia juu Uzi ukurasa wa kwanza mpaka wa mwisho....nikifika ukurasa wa mwisho nitarudi tena kukomenti
 
Kufuatana na Quran Tukufu, Nabii wa Mwisho wa Mungu ni Nabii Muhammad saw (hakuna tena Nabii baada yake).

Kabla yake walikwepo manabii wa Mungu wa kweli kama vile, Nabii Ibrahim, Nabii Musa, Nabii Isa (Yesu) na wengine wengi hawa ndio manabii wa kweli....

Hawa wa siku hizi wanajipa tu unabii (hawa sio manabii, wanakula pesa za watu bure, wanajulikana kwa vitendo vyao kama sio manabii wa Mungu.)
hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?
 
Lakin bora nabii wao huyu kaoa kuliko wale manabii wao wengine wakware wanaotafuna kondoo wa bwana hata kama ni wake za watuuu
 
hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?
Ndugu, ili uweze kuwa na uhakika zaidi kuhusu Imani yako na unachokiabudu, ni muhimu sana kusoma vitabu viwili au kupata mafundisho ya vitabu vyote viwili na ya dini zingine (baadhi).

Kama ulikua huelewi, Kuna maandiko mengi sana ya Biblia kwenye Quran na pia kuna maandiko mengi ya Quran kwenye Biblia.

Waislamu ni dini pekee inayojitahidi kuyafuata mafundisho ya Biblia. ( Ni vigumu sana kuyaelewa haya, kwasababu siku zote Mungu hutumia vitu vyake kwa siri nzito) .... Wengi mnawaona Magaidi na mnauita uislam Ugaidi... Sio kweli,

Uislamu ni moja ya njia za kuelekea kwenye Ukristo , kama zilizoko baadhi ya dini zingine.

So ili uweze kupata mwili kamili wa Kristo, lazima uunganishe vipande vyote kutoka kila sehemu waliko gawiwa mitume na MANABII ili kupata mwili kamili wa Yesu aliowapa wakati wa chakula kalamu yake ya mwisho.

Lazima , uwe juu ya Dunia!
 
hii thread inahusu Biblia, sio Quran. mbona unapenda kuvuruga mada? umewahi kusikia hiyo quran inasomwa makanisani?
Hahaha,

Eti hii thread inahusu Biblia, kwani hao manabii wameandikwa kwenye Biblia kwamba ni manabii wa kweli? (je majina yao yapo kwenye Biblia?)

Tafakari, usikubali kudanganywa kirahisi.

Quran imeshushwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa watu wote.

It is the last Testament from God Almighty.

Hawa manabii wa uongo walitajwa kwenye Biblia na kwenye Quran.

Hawana uthibitisho wowote ule, waongo tu, pia wanakula pesa za masikini kila siku..
 
Ni vigumu kuwatambua MANABII wa uongo kama huna meekness.
 
Lakini Je ni dhambi gani mhubiri Angel Na Makandiwa kuwataja wachache wao ambacho anadhani hawatend vema mpaka tukawahukumu kwa maneno yetu?
umenena vema ndugu,..tupo duniani,dunia yenye changamoto nyingi sana,.hasa sasa dunia ya utandawazi,ni sahihi ulivyosema watu wanabadilika hata kimavazi,.ni jambo jema ila tukumbuke kuwa sisi tulioamua kumfata YESU(tuliiokoka) lazima tuishi maisha ya tofauti na wamataifa,efeso inasema
WAEFESO 4;17

Kuwa tusienende kama wamataifa waenendavyo katika ubatili wa nia zao,.
lazima tuishi tofauti na wasioamini,.ya kwamba wao waliopotea ikifika kipindi chao cha kuamini na kutubu wakamrudia MUNGU waishi tofauti na walipokuwa,...all in all tuishi tofauti nao katika kila nyanja. hata uvaaji tutafauti nao.
kuhusu kuhukumu ndugu yangu,.hukumu ni ya MUNGU tumeambiwa tusihukumu tusije tukahukumiwa
mathayo 7;1-msihukumu msije mkahukumiwa ninyi
kwenye red pale ndugu,.
hukumu ni ya MUNGU maana sisi pia hatujakamilika.
ila nilichojitahidi kuhainisha ni kwamba watu wamewashutumu sana hao watumishi na kuwakejeli kwa njia tofauti,.nikatoa mabandiko ya kwamba watu kama wanapotoshwa na hao manabii shida nikwamba watu siku hizi wanafuata sana mikumbo hawasomi neno(biblia)maana kupitia biblia tutawajua hao manabii kama ni wa uongo au lah,.na biblia imesema kuwa siku za mwiso watatokea manabii wengi wa uongo na kupoteza wengi,.ila tutawatambua kwa matunda yao,.yakwamba matunda yanayotokana na Uweza wa MUNGU tutayatambua na ya ibilisi tutayatambua pia.ila kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU nikitu kibaya sana,.na siwezi kusuport mtu anaepingana na watumishi wa MUNGU hata siku1 ilhali hao watumishi siwajui kabisa maisha yao kiundani,..ila nilichosisitiza wakristo wa sikuhizi hawasomi neno ndo maana nikila siku kuamahama makanisa na kutafuta miujiza na unabii huku na kule.
kuna mmoja anajiita TheMeek huyu yeye Anatafuta picha za kina shigongo,.akina mc luvanda na wengine na kutangazia watu kuwasingizia hao watu wanadanganya watu kuwa ni wachungaji na ni matapeli,.na kukejeli sana,.wakati ni watu na kazi zao tu za kawaida mitaani,(nani hamjui shigongo na riwaya zake za kidunia).pia kama mtu ni mc ila kaokoka kuna ubaya kushuhudia hata akiwa kazn kwenye maconcert,.
tuepuke kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU manabii wa uongo sawa wapo.ila sio wote na hadi leo hii tunawajua kwa kutumia misingi ya MUNGU kuwa hawtendi kaz za MUNGU,ila siwez mimi kama MTU wa MUNGU nije huku niseme mtumishi flani,nabii flani ni hivi na hivi tena nawatangazia wamataifa ambao inabidi tuwahubiri waje kwa YESU,.hapo ntakuwa nimetumiwa na ibilisi bila kujijua Kwa kumkosesha Mungu aliojiandalia..
ila mimi sishangai maana siku za mwisho shetani alali akitumia watu na watu wanaigiza kuwa wanampenda MUNGU ili kuteka watu,huku mambo ya dunia yakiwa mioyoni mwao na hawaelewi mambo wanayofanya,MUNGU akiwabadilisha watakuja kujua kuwa wanatumikishwa na ibilisi.
ndugu nakushukuru sana kwa kunikumbusha pia.......karibu tujadili
TheMeek Na vCTRMA mmeandika mengi mazito ambapo wengi tunajifunza!

Lakini Je ni dhambi gani mhubiri Angel Na Makandiwa kuwataja wachache wao ambacho anadhani hawatend vema mpaka tukawahukumu kwa maneno yetu?

Kati ya watumishi wa aina yao, hawa ndio nawaona wanahubiri sana kwa kufanya references kwenye biblia. Uvaaji wao, fahari walizonazo as long as wamezipata ktk njia sahihi sioni tatizo!

Tujifunze pia Kuwa zama zinabadilika Na hivyo hata njia ya uonekano Na utoaji wa ujumbe wa neno la Mungu hubadilika kutokana Na audience Na wakati pia.

Huwezi kwa zama hizi ukaevaa kama marehemu Kolola Moses ukapata kumbadilisha MTU kama shishi baby!
 
thanx mkuu hapo nmeelewa,ila nkuulize mkuu nabii huzaliwa,husomea au mtu unaweza kuamua tu kuwa karibu na kanisa then nae akawa nabii?yaan kiufupi nabii anapatkanaje ni something to born with au?.....
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
 
umenena vema ndugu,..tupo duniani,dunia yenye changamoto nyingi sana,.hasa sasa dunia ya utandawazi,ni sahihi ulivyosema watu wanabadilika hata kimavazi,.ni jambo jema ila tukumbuke kuwa sisi tulioamua kumfata YESU(tuliiokoka) lazima tuishi maisha ya tofauti na wamataifa,efeso inasema
WAEFESO 4;17

Kuwa tusienende kama wamataifa waenendavyo katika ubatili wa nia zao,.
lazima tuishi tofauti na wasioamini,.ya kwamba wao waliopotea ikifika kipindi chao cha kuamini na kutubu wakamrudia MUNGU waishi tofauti na walipokuwa,...all in all tuishi tofauti nao katika kila nyanja. hata uvaaji tutafauti nao.
kuhusu kuhukumu ndugu yangu,.hukumu ni ya MUNGU tumeambiwa tusihukumu tusije tukahukumiwa
mathayo 7;1-msihukumu msije mkahukumiwa ninyi
kwenye red pale ndugu,.
hukumu ni ya MUNGU maana sisi pia hatujakamilika.
ila nilichojitahidi kuhainisha ni kwamba watu wamewashutumu sana hao watumishi na kuwakejeli kwa njia tofauti,.nikatoa mabandiko ya kwamba watu kama wanapotoshwa na hao manabii shida nikwamba watu siku hizi wanafuata sana mikumbo hawasomi neno(biblia)maana kupitia biblia tutawajua hao manabii kama ni wa uongo au lah,.na biblia imesema kuwa siku za mwiso watatokea manabii wengi wa uongo na kupoteza wengi,.ila tutawatambua kwa matunda yao,.yakwamba matunda yanayotokana na Uweza wa MUNGU tutayatambua na ya ibilisi tutayatambua pia.ila kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU nikitu kibaya sana,.na siwezi kusuport mtu anaepingana na watumishi wa MUNGU hata siku1 ilhali hao watumishi siwajui kabisa maisha yao kiundani,..ila nilichosisitiza wakristo wa sikuhizi hawasomi neno ndo maana nikila siku kuamahama makanisa na kutafuta miujiza na unabii huku na kule.
kuna mmoja anajiita TheMeek huyu yeye Anatafuta picha za kina shigongo,.akina mc luvanda na wengine na kutangazia watu kuwasingizia hao watu wanadanganya watu kuwa ni wachungaji na ni matapeli,.na kukejeli sana,.wakati ni watu na kazi zao tu za kawaida mitaani,(nani hamjui shigongo na riwaya zake za kidunia).pia kama mtu ni mc ila kaokoka kuna ubaya kushuhudia hata akiwa kazn kwenye maconcert,.
tuepuke kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU manabii wa uongo sawa wapo.ila sio wote na hadi leo hii tunawajua kwa kutumia misingi ya MUNGU kuwa hawtendi kaz za MUNGU,ila siwez mimi kama MTU wa MUNGU nije huku niseme mtumishi flani,nabii flani ni hivi na hivi tena nawatangazia wamataifa ambao inabidi tuwahubiri waje kwa YESU,.hapo ntakuwa nimetumiwa na ibilisi bila kujijua Kwa kumkosesha Mungu aliojiandalia..
ila mimi sishangai maana siku za mwisho shetani alali akitumia watu na watu wanaigiza kuwa wanampenda MUNGU ili kuteka watu,huku mambo ya dunia yakiwa mioyoni mwao na hawaelewi mambo wanayofanya,MUNGU akiwabadilisha watakuja kujua kuwa wanatumikishwa na ibilisi.
ndugu nakushukuru sana kwa kunikumbusha pia.......karibu tujadili
Ndugu, huelewi unachoandika. Ufalme wa Mungu una Mila, Tamaduni, Desturi, Lugha, watu, Serikali n.k

Hakika nakwambia kweli, Ukiutafuta Ufalme wake na Imani yake, .. Utajifunza lugha yake.

Ulichokiandika kwa hisia ni kizuri kutazama, lakini kwa uhalisia hakina maana yeyote ; Mimi sielewi lugha ya kiarabu, lakini nayajua maandishi ya kiarabu;

Hivyo, ninaweza kuandika hapa maandishi ya kiarabu, watu wakanisifia sana kwamba najua kiarabu , but wenye lugha yao wakisoma , wanaona umeandika matusi , kufuru, kejeli, Uovu, broken, .. kutukana watu pasipo kuelewa. Kumbuka, hayo uyafanyao ni dhambi.

Mfano , umeandika kuhusu watu wa mataifa, je hawa ni watu gani? Umeandika Huwezi kuhukumu watu wa Mungu - ni kweli, lakini jiulize, upo katika hatua gani ya Imani yako?

Biblia imeweka wazi kwamba, ukisimama vyema , itafika kipindi hutafundishwa na MTU yeyote kwasababu ukweli utakua ndani yako; Je umewahi kufikia kipindi hicho? So unataka kusema wewe maisha yako yote utakuwa unakwenda kanisani mpaka uzeeni/ kifo? Ukimaanisha sawa na kufanya Kazi kwenye kampuni au serikalini bila promotion..., ? You cant be serious!

Unafikiri kwanini wakina Paulo walikuwa wanahukumu watu tena kwa kuwataja majina wakati wakiwafundisha watu wao kwamba " Msifuate mafundisho ya Fulani, ni muongo " ; Au Haya yote unayasoma kama gazeti?

Hatua za kuelewa Ukuu wa Mungu katika Kristo Yesu ni Hizi

1. Kumfuata 2. Kumuhofu 3. Kumpenda 4. Kumuabudu

Kila moja ina utukufu wake na mapito yake. Huwezi kamwe kuwa namba moja halafu ukayaelewa ya namba 2 au uko namba 2 ukayaelewa ya namba 3 ; Mungu anaishi kwenye namba 3 na 4.

Jiulize upo namba ngapi? Na kwa Uelewa wako , katika namba hizo, MTU wa mataifa anakuwa namba ngapi...,

Ni vigumu sana kuelewa Haya;

Kiufupi, Mungu kaficha siri zake kwa wanaojifunza na wenye Hekima lakini kaziweka wazi kwa watoto wadogo ili Jina lake litukuzwe.
 
ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.

Huelewi unachoandika ndugu. Hapa nakuona sawa na Yule Mama aliyemuomba Yesu, awachukue vijana wake ili aongozane nao , then, Yesu Kristo akamwambia " Mama huelewi unachoomba"

Unaelewa kwanini alimwambia vile? Ndio sawa unachoandika hapa!

Tizama hapa wenzako,..majews,philosophers na wagiriki wenye hofu ya Mungu, wakati Fulani walimfuta Paulo na kutaka kumpiga kwasababu alikua akihubiri "Habari njema na Nguvu za Ufufuo" ... Tizama hapa wasomi hawa walivyomwambia......

#Acts 17:20, "You are bringing some strange ideas to our ears, and we would like to know what they mean."

NB; "Amebarikiwa sana Yule MTU mwenye Uelewa kuliko yule mwenye ujuaji"
 
Ukisoma Biblia na Quran vizuri utawajua tu.

Pia unaweza kuwajua kwa vitendo vyao.
Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.

Ulichoandika , ni ujuaji tu na ni haramu mbele za Mungu kuhukumu watu kwa kumia ujuaji (holes &caves) . Ndio maana katika Uislamu kabla ya kuingia msikitini au kuswali ni lazima zisafishwe na kuzibuliwa (hizo Hisia) ili zisiingize mabalaa katika Mioyo ya WAISLAM

Muislam kamili kamwe hawezi kuhukumu MTU kwa ujuaji (Hisia) wake.
 
Naona umeandika vitu usivyovielewa undani wake. Mpangilio wake, lugha yake.. yaonyesha wazi kuwa unachukulia maandiko ya Mungu kama masomo yale ya kufundishwa shuleni.

Kama ilivyo rahisi mchawi kumuelewa mchawi mwenzake, ndivyo ilivyo kwa upande wa Mungu ; Ufalme wa Mungu lugha ni muhimu sana.

Maandiko uliyoandika hayana maana.,..
ok.
asiyejua maana ya jambo lenye maana,hana maana
sawa ila kama unavyosema.mtu alieokoka tunatambuana kwa lugha moja,hata kama mtu ni wa uholanzi au russia,.kama kaokoka utamjua tu,.,.
najua umeelewa ila tatizo yamekuchoma.,nibora tuambiane ukweli tu,na kweli ifike mahali husika,.kama kukataa ukatae mwenyewe ukweli,.ila ukweli uujue na uuelewe.kuliko kujua upo sahihi ila uko wrong,totally wrong.
hata YESU alipoleta ile kweli,waliompinga ni watu wa dini waliokalilishwa bila kujua maana(wafarisayo na masadukayo)
sikushangai wewe kuupinga ukweli kwakuwa umekalilishwa dini tangu mdogo..
ila mkuu tunakumbushana kwa mema,.maana MUNGU anania njema na maisha yetu na buwakumbusha na kuwaonya anaowapenda..MUNGU anakupenda,.rudi kwenye mstari2 ndugu
ufunuo 3;19
 
Back
Top Bottom