Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

We uliezaliwa mara mbili mbona swali unashindwa kulijibu?
Kati ya MWANA na BABA nani mkubwa?
Hio habari ya Nafsi tatu hakuna mtu ktk huu ulimwengu anaweza kutoa ufafanuzi hatta siku moja.

Km Mungu ana nafsi Tatu Yesu alipokufa msalabani ina maana Nafsi ya Mungu ilikufa?

Nasubiri Jibu.
Ndugu, Mungu akusamehe kwa kuwa huelewi unachokiandika.

Ulimwengu umeumbwa kwa Hekima; Hivyo basi ili uweze kutambua kinachoendelea katika Hisia na Mazingira yako ni lazima uwe juu ya Hekima ( Ulimwengu).

Uelewa upo juu ya Hekima. Kwahiyo basi, kama huna Uelewa, hata nikikwambia Ukweli, hautasadiki! Itakuwa ni Kazi bure.

Maisha ni uchaguzi, unaweza kuchagua kufa na nafsi yako ikaishi au kufa na nafsi yako ikaenda motoni.

.............................................................

Jibu lako kwenye ujuaji wako "Mungu Baba ni Mkubwa, Hata Yesu Kristo anamuita Baba" Mimi "Ni kweli". Conclusion yako ; Yesu Kristo sio Mungu- kwasababu Mungu ana nafsi moja tu "

Hapo maana yake unamkana Roho Mtakatifu; Lakini pia unakana Uumbaji wa Mungu kwa kutumia neno lake . I mean, kuwaumba wanadamu kwa mfano wake ili awafanye kuwa wana na awape majukumu yake ya kutawala kila kitu kwa nguvu (uelewa) zake.

Uelewa ni Nguzo pekee ya kumfanya Mwanadamu kutawala Mazingira yale na vitu vyote vilivyomo. Adamu na Hawa , walipewa Uelewa ( Uhalisia) , then wakauchezea... Wakabaki na Hekima, ; Hekima ( Hisia) haiwezi kukufanya utawale Mazingira yako

Maana yake pia ni kwamba, wewe kwakua hujaumbwa kwa mfano wake (kwa kuwa na Uelewa wake ) na hauvielewi vitu vyake,.. Unakalia kupinga tu kwa ujuaji kwamba Mungu hana nafsi tatu.

Ngoja niendelee kukusaidia.......,

NAFSI TATU ZINATOKA WAPI?

Soma Genesis 1:1 , Mwanzoni alikuwepo Mungu - Nafsi moja

Ukisoma John 1:1 , Katika Uumbaji ( Neno la Mungu lilikuwepo ambalo ni Roho Mtakatifu ) - Nafsi ya pili

Ukisoma Genesis , Katika Uumbaji - ( Let's create man in our our images) - Hii inakuwa Nafsi ya Tatu ( Ambayo ni Mungu lakini anakuja katika Mazingira yetu kwa muonekano kama wetu - Ila tabia na matendo tofauti)

Nabii Muhammad hakutembea juu ya Maji. Yesu hakua Nabii, Cheo chake kilikua juu ya Nabii- yeye alikuwa Mwana wa Mungu ; Ambaye alikua ni Mungu zaidi ya mungu wa hapa ulimwenguni

... Lakini unamkataa na kuendelea kumkejeli ; Yeye bado anaishi..., Nafsi yake inaishi mpaka leo hii. Yesu ni Mungu na ni Mkuu kuliko mungu wa ulimwengu huu ( shetani)
 
Ndugu, Mungu akusamehe kwa kuwa huelewi unachokiandika.

Ulimwengu umeumbwa kwa Hekima; Hivyo basi ili uweze kutambua kinachoendelea katika Hisia na Mazingira yako ni lazima uwe juu ya Hekima ( Ulimwengu).

Uelewa upo juu ya Hekima. Kwahiyo basi, kama huna Uelewa, hata nikikwambia Ukweli, hautasadiki! Itakuwa ni Kazi bure.

Maisha ni uchaguzi, unaweza kuchagua kufa na nafsi yako ikaishi au kufa na nafsi yako ikaenda motoni.

.............................................................

Jibu lako kwenye ujuaji wako "Mungu Baba ni Mkubwa, Hata Yesu Kristo anamuita Baba" Mimi "Ni kweli". Conclusion yako ; Yesu Kristo sio Mungu- kwasababu Mungu ana nafsi moja tu "

Hapo maana yake unamkana Roho Mtakatifu; Lakini pia unakana Uumbaji wa Mungu kwa kutumia neno lake . I mean, kuwaumba wanadamu kwa mfano wake ili awafanye kuwa wana na awape majukumu yake ya kutawala kila kitu kwa nguvu (uelewa) zake.

Uelewa ni Nguzo pekee ya kumfanya Mwanadamu kutawala Mazingira yale na vitu vyote vilivyomo. Adamu na Hawa , walipewa Uelewa ( Uhalisia) , then wakauchezea... Wakabaki na Hekima, ; Hekima ( Hisia) haiwezi kukufanya utawale Mazingira yako

Maana yake pia ni kwamba, wewe kwakua hujaumbwa kwa mfano wake (kwa kuwa na Uelewa wake ) na hauvielewi vitu vyake,.. Unakalia kupinga tu kwa ujuaji kwamba Mungu hana nafsi tatu.
Hujanijibu bado.
Kati y MWANA na BABA nani mkubwa?
Mbona swali dogo namna hii Maelezo km mvua?
 
Hujanijibu bado.
Kati y MWANA na BABA nani mkubwa?
Mbona swali dogo namna hii Maelezo km mvua?
Soma maelezo ya juu niliyoedit ; Natoa ufafanuzi ili watu wengine waelewe pia. Sio kila MTU anaweza kuelewa

Kuendelea kupinga, maana yake, wewe ni mfuasi wa mungu wa Ulimwengu huu na sio mfuasi wa Mungu aliyejuu ya Ulimwengu huu, ambae hutufanya sisi kuishi hapa ulimwenguni kwa kuushinda ulimwengu huu na Kazi zake zote.

Mungu huyo ni Yesu Kristo ( kimwili) huku Mungu Baba ambae haonekani akiwa ndani yake na mahali pote; Na Roho Mtakatifu akiwa juu yake.

Praise the Lord! Praise Jesus Christ!
 
Hizi ndio zile imani ambazo mtu anaishi maisha yake Yote kuabudu kisicho MUNGU akiwa na Imani kuwa anaabudu Mungu MMOJA halafu siku ya hukumu ANATUPWA KTK MOTO WA JAHANNAMU MILELE.

Nakuuliza swali jepesi kabisa lkn kwa Kiburi chako au uchache wako wa elimu ya andiko unakwepa na Kutoa maelezo Meengi yasio husika na swali.
Unadai YESU ni Mungu na wakati Huo huo Unadai Kuna Mungu BABA!
Na unajua Fika kuwa HAKUNA SEHEMU HATTA MOJA YESU KATAMKA MANENO HAYA ktk BIBLIA YOTE.

Madai yenu wote ni yale yale kila siku mnapobanwa na maswali. Kwamba Sisi Tusioamini Kuwa Kuna Miungu watatu kwa mmoja Hatuwezi Kulielewa ANDIKO KM mnavyoelewa Nyinyi.
Sasa ina maana MUNGU AAMUE KUCHAGUA nani aelewe na nani asielewe? We kweli Umefikiri kabla ya Kuandika haya?
Unapodai Kuwa Yesu ni Mungu aliekuja kwa Umbo la Mwanadamu Ina maana Yeye ndie aliejituma Kuja hapa Duniani na yeye ndie aliejihukumu adhabu ya KIFO CHA LAANA cha Msalaba kwa Lengo la Kujiridhisha Mwenyewe.
Na Hili kwako wewe unaona Linaingia Akili bila wsws.

Msikilize Yesu Unaemuita Mungu mwana Anasema nini Kuhusu Yeye.

YOHANA 5:30
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule aliyenituma.

Nakuuliza Kauli hio hapo juu inaweza Kutoka KWA MUNGU?
MUNGU ANATUMWA na Kudai HANA UWEZO WOWOTE?

Msikilize tena hapa Yesu anasema Nini.

YOHANA 5:37
Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

Nakuuliza Km Yesu ni Mungu vipi Adai kuwa Wale aliokuwa anaishi nao HAWAJAWAHI KUSIKIA HATA SAUTI YA HUYO MUNGU? wakati yeye ndie Mungu na anaongea nao?

Tuendelee kumsikiliza Yesu Mtumishi wa Mungu anasema Nini.

YOHANA 12:49
Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

Nakuuliza Je! Mungu anaweza KUAMURIWA NINI ASEME NA NINI AONGEE?

Ogopa Mungu ndugu. Acha Kusikiliza Maneno ya watu waliopotea njia.

Soma maandiko kama yalivyo na utumie kichwa na akili Mungu aliokupa kufikiri.
Wacha kuwa km Bendera Kufuata Upepo.
Umeshawahi kujiuliza kwanini UKRISTO huko ulipotokea Unakufa kwa kasi ya ajabu sana?
Jibu ni kuwa ule udanganyifu wa Viongozi wa makanisa Kutawala watu kiakili Watu wamesha uona.
Andiko limechakachuliwa Mpk kufikia leo HAKUNA BIBLIA ORIGINAL HATA MOJA DUNIANI.
hii ndio sababu kuu Ya Watu Kuukimbia Ukristo.

Amka Kabla Nafsi yako haijatolewa na malaika wa Mauti mkuu.
Siku ya hukumu huwezi kusema Padri au Mchungaji alikufundisha Kuwa Yesu ni Mungu.
Akili unazo jaribu kuzitumia.

Yesu SIO MUNGU WALA SIO MWANA WA MUNGU.
Mungu ni MMOJA TU. Hana mtoto wala Mshirika Ktk UUNGU WAKE.
Na ni Mungu huyo huyo aliyemtuma Yesu na Mitume wengine Waje kufundisha watu KUMUABUDU YEYE PEKE YAKE.

Usije ukadai Hukuambiwa.
 
Mkuu umetoa ufafanuzi mzito sana
 
Namshukuru Mungu, umeweka wazi kuwa wewe ni mfuasi wa Kristo. Maana yake ni kwamba , hata nikikueleza ukweli hautasadiki.

Ungekuwa mtumishi au rafiki kidogo wa Yesu, tungeweza kuelewana.

Hata ibilisi anaweza kuwa mfuasi wa Kristo pasipo kuitwa; I mean , kwa kujipeleka mwenyewe kundini.

Ushauri; Huwezi kutumia nguvu zako kuielewa Biblia. Amini nakwambia kweli, ukiielewa Biblia hautakuwa na haja ya kuibeba. Kuna tofauti kubwa kati ya neno na andiko. Ukisema andiko ni neno la Mungu maana yake ukweli haumo ndani yako.

Si kila jambo ni lazima kunukuu vifungu vya Biblia. Pia haina maana kunukuu vifungu usivyovielewa undani wake.
ameshakuwa indoctrinated. labda ungemuuliza swali rahisi tu, je kanisa linapaswa kuibadili dunia au dunia inapaswa kulibadili kanisa?
 
Huelewi unachoandika. Kiufupi dini yangu ni kumsujudia na kumuabudu Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo. Roho Mtakatifu ni Msaidizi wangu , MWALIMU na Ananiongoza mpaka kujibu maswali yenu.

Sio kila MTU anayesema kaokoka , au anaandika maandiko ya Mungu, ni Mtoto wa Mungu; wengine ni watoto na vijana wa shetani; Kazi yao kubwa ni kuhadaa watu kwa hisia zao.

Shetani analugha yake, Pia hata Mungu ana lugha yake.

MTU anayeishi chini ya Hisia zake hawezi kamwe kuielewa lugha ya MTU anayeishi juu ya Hisia zake. Ila ni rahisi sana kwa MTU anayeishi juu ya Hisia zake kuielewa lugha ya MTU anayeishi chini ya Hisia zake.

Mimi, naelewa lugha ya kila mmoja anayejibu post zangu.

Nina andika kizanaki, watu wengi wanajibu kisambaa. Wengine kizanaki feki. But , nashukuru na kufurahi kuwa Yesu Kristo anatajwa! He must be magnified forever and always, for God's Glory
OK,..unajihesabia haki na kuhukumu wengine go on........
Ndugu, awali yote napenda kukueleza kuwa Mimi ni Kijana ninaye Muabudu na kumsujudia Mungu muumba wa ardhi na bahari katika Kristo Yesu.

Umeona nimeandika "njia ya Msalaba" - akili yako ikakuaminisha kuwa Mimi ni Mkatoliki; Ukweli ni kwamba, Huwezi kusema upo upande wa Mungu katika Kristo Yesu pasipo kuutaja "Msalaba Mtakatifu".

Umetaja " Ulokole " .. Je unafahamu maana ya andiko hilo? Unaweza kunipa mstari wowote kutoka kwenye Biblia ambao Andishi hilo limetajwa?

Ninavyoelewa Mimi, Biblia imetaja andiko "Wokovu/Kuokoka/Kukombolewa" ; Kulokole au Walokole ni watu gani? Na Je unaweza kunitajia sifa za Walokole?

Kwa upande wangu, mfano wa Walokole maarufu ninaowaelewa mpaka sasa ni Rose Muhando, Bahati Bukuku, Elizabeth Lulu, Kajala, Jokate Mwegelo, Marehemu Kanumba, Masanja Mkandamizaji, Erick Ford, Martha Mlata, n.k

Kwahiyo basi, ni ukweli usiopingika kuwa Mimi na huyo Ndugu , hatuwezi kuelewana kutokana na tofauti ya Imani zetu au hatua za Kiimani tulizonazo.

Kumuabudu Mungu muumba wa mbingu na ardhi sio jambo rahisi hata kidogo kama unavyofikiri ; na wala huwezi kulilinganisha na hatua za kupata Kazi IKULU ( kuwa karibu au kuishi mahala ambako Utukufu wa rahisi upo)

Je unafikiri Rais anafikiwa na kila MTU? Ni mpaka wateule wake tu; Na kwa Mungu iko hivyo. Mpaka uwe umepitia njia ya Msalaba kikamilifu katika Kristo Yesu.

MTU anayemuabudu Mungu utamtambua kwa Tabia yake ( Anachokiabudu, Anachokisujudu, Anachokitukuza, Anochokitii, Anachokinyenyekea, Upendo wake n.k) ,Matendo yake na Matunda yake. n.k
unanishangaza sana aisee,..inaonyesha ni jinsi gani hujafahamu umesimamia wapi,......unaniaminisha ya kwamba umeshindwa kuelewa walokole ni watu wa aina gani,......walokole ni jina maarufu la watu waliookoka,....walokole limetoka kaitka msemo waliookoka,..umeshindwa kuelewa hilo??????huwezi kuniambia na nikakuelewa kamwe eti imani yako unasema akina rose muhando na wahuni wengine tu wakawaida ndo unasema wameokoka,.your wrong,..
waliokoka ni dhahili na wasiookoka ni dhahili,....kiujazacho moyo ndicho kimtokacho mtu,...
msalaba ni alama ya ukombozi iliyodhihilishwa na YESU,...ila unaokomboa dhambi sio msalaba ni YESU ndo anasamehe dhambi,..kila mfuasi wa YESU lazima aamini kuwa msalaba ni alama ambayo YESU aliitumia kma ishara ya ukomboz..mkuu jitahidi kusimama katika njia inayompendeza MUNGU uokoke then uwe katika njia sahihi,.usipotoshe watu kuwa wakina lulu,kanumba,rose muhando nk eti wameokoka,...your wrong,.totally wrong
unajichanganya kuna post yako1 ulisema kuwa wokovu ni hatua yanini sijui ktk sala zako za njia ya msalaba.........
 
#Ephesians 6:17,"Take the helmet of salvation and the sword of the Spirit, which is the word of God."

#1John 5:4 ,"for everyone born of God overcomes the world. This is the victory that has overcome the world, even our faith."

0a336749d3534ecc0afb94398e1311d1.jpg
ndugu hizo bible za kugoogle hazikusaidii kitu,....
Neno la KRISTO inatakiwa lijae kwa wingi moyoni sio kugoogle then showing off.......haikujengi kiimani
wakolosai 3;16
 
Awe Na uwezo wa kutoa pepo
Awe Na uwezo wa kuponya magonjwa sugu
Awe Na uwezo wa kuliza watu kanisan km si kuanguka kabisa
Awe Na uwezo wa kufasir ndoto
Na
Awe anaijua vyema biblia, Na kujua mambo yajayo
kiongoz unazijua sifa/misingi ya Biblia ya mtu awe nabii?
 
Hawa jamaa hapa chini; ni wajasiliamali, wanapenda sana pesa; na wanazitafuta sana kwa namna nyingi ikiwepo hata kutumia vitu vya Mungu bila woga wala aibu,

Mmoja aliwahi kufungua kanisa pale Mwenge , zamani sana likamshinda.

Wawili siku hizi wanapenda kuorganize matamasha ya kikristo, wanaalika waimbaji maarufu.... Then wanaanza kuhubiri story zao za ujasiliamali mixing na Mambo ya Mungu ..

Huyo wa mwisho ndio wale wale tu.... " penda sana pesa" na wanaishi fake lives. Hawana Amani wala Furaha mioyoni mwao. Kwa nje wanaonekana Safi... Ndoa zao, migogoro mingi... Watoto wa nje... Etc

269bb7d152c261ebef28d8b478cfdcfc.jpg

97bdbef095ffc156353420ca433e453e.jpg

cdbd0d03bbd2af7e0d696db5a888ff04.jpg
ndugu nadhani hujajua unachozungumzia kiundani,......unatoa hukumu wewe binafsi jambo ambalo sisahihi kwa binadamu yoyote,....bible said msihukumu msije mkahukumiwa
matayo 7;1
luka 6;37
hawa jamaa huyo wakwanza simfahamu ila anafanana na mtu mmoja yeye anaitwa didas,.wapili ni eric shigongo na watatu anaitwa luvanda,....hamna mtu yoyote hapo ambaye ni mchungaji/nabii/mtume nk ilhali huyo wakwanza ni huwa mjasiliamali anafundisha watu koz mbalimbali za muda mfupi,.kama kutengeneza batiki,keki,kutengeneza sabuni nk
huyo wapili ni shigongo,.shigongo anahusika vipi na kudanganya watu kuhusu unabii nk,.au shigongo sikuhizi ni nabii??????
huyo wa 3 ni luvanda sio mchungaji,..ila huwa namuona kwenye conerts mbalimbali,.......
unanogesha habari kwa kusingizia watu ndugu,.kuwa makini
uwe unatoa hbaRI SAHIHI hili jamvi sisehemu ya kupotosha.....
Hawa jamaa hapa chini; ni wajasiliamali, wanapenda sana pesa; na wanazitafuta sana kwa namna nyingi ikiwepo hata kutumia vitu vya Mungu bila woga wala aibu,

Mmoja aliwahi kufungua kanisa pale Mwenge , zamani sana likamshinda.

Wawili siku hizi wanapenda kuorganize matamasha ya kikristo, wanaalika waimbaji maarufu.... Then wanaanza kuhubiri story zao za ujasiliamali mixing na Mambo ya Mungu ..

Huyo wa mwisho ndio wale wale tu.... " penda sana pesa" na wanaishi fake lives. Hawana Amani wala Furaha mioyoni mwao. Kwa nje wanaonekana Safi... Ndoa zao, migogoro mingi... Watoto wa nje... Etc

269bb7d152c261ebef28d8b478cfdcfc.jpg

97bdbef095ffc156353420ca433e453e.jpg

cdbd0d03bbd2af7e0d696db5a888ff04.jpg
ndugu nadhani hujajua unachozungumzia kiundani,......unatoa hukumu wewe binafsi jambo ambalo sisahihi kwa binadamu yoyote,....bible said msihukumu msije mkahukumiwa
matayo 7;1
luka 6;37
hawa jamaa huyo wakwanza simfahamu ila anafanana na mtu mmoja yeye anaitwa didas,.wapili ni eric shigongo na watatu anaitwa luvanda,....hamna mtu yoyote hapo ambaye ni mchungaji/nabii/mtume nk ilhali huyo wakwanza ni huwa mjasiliamali anafundisha watu koz mbalimbali za muda mfupi,.kama kutengeneza batiki,keki,kutengeneza sabuni nk
huyo wapili ni shigongo,.shigongo anahusika vipi na kudanganya watu kuhusu unabii nk,.au shigongo sikuhizi ni nabii??????
huyo wa 3 ni luvanda sio mchungaji,..ila huwa namuona kwenye conerts mbalimbali,.......
unanogesha habari kwa kusingizia watu ndugu,.kuwa makini
uwe unatoa hbaRI SAHIHI hili jamvi sisehemu ya kupotosha.....
 
Hizi ndio zile imani ambazo mtu anaishi maisha yake Yote kuabudu kisicho MUNGU akiwa na Imani kuwa anaabudu Mungu MMOJA halafu siku ya hukumu ANATUPWA KTK MOTO WA JAHANNAMU MILELE.

Nakuuliza swali jepesi kabisa lkn kwa Kiburi chako au uchache wako wa elimu ya andiko unakwepa na Kutoa maelezo Meengi yasio husika na swali.
Unadai YESU ni Mungu na wakati Huo huo Unadai Kuna Mungu BABA!
Na unajua Fika kuwa HAKUNA SEHEMU HATTA MOJA YESU KATAMKA MANENO HAYA ktk BIBLIA YOTE.

Madai yenu wote ni yale yale kila siku mnapobanwa na maswali. Kwamba Sisi Tusioamini Kuwa Kuna Miungu watatu kwa mmoja Hatuwezi Kulielewa ANDIKO KM mnavyoelewa Nyinyi.
Sasa ina maana MUNGU AAMUE KUCHAGUA nani aelewe na nani asielewe? We kweli Umefikiri kabla ya Kuandika haya?
Unapodai Kuwa Yesu ni Mungu aliekuja kwa Umbo la Mwanadamu Ina maana Yeye ndie aliejituma Kuja hapa Duniani na yeye ndie aliejihukumu adhabu ya KIFO CHA LAANA cha Msalaba kwa Lengo la Kujiridhisha Mwenyewe.
Na Hili kwako wewe unaona Linaingia Akili bila wsws.

Msikilize Yesu Unaemuita Mungu mwana Anasema nini Kuhusu Yeye.

YOHANA 5:30
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumukama ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule aliyenituma.

Nakuuliza Kauli hio hapo juu inaweza Kutoka KWA MUNGU?
MUNGU ANATUMWA na Kudai HANA UWEZO WOWOTE?

Msikilize tena hapa Yesu anasema Nini.

YOHANA 5:37
Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.

Nakuuliza Km Yesu ni Mungu vipi Adai kuwa Wale aliokuwa anaishi nao HAWAJAWAHI KUSIKIA HATA SAUTI YA HUYO MUNGU? wakati yeye ndie Mungu na anaongea nao?

Tuendelee kumsikiliza Yesu Mtumishi wa Mungu anasema Nini.

YOHANA 12:49
Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.

Nakuuliza Je! Mungu anaweza KUAMURIWA NINI ASEME NA NINI AONGEE?

Ogopa Mungu ndugu. Acha Kusikiliza Maneno ya watu waliopotea njia.

Soma maandiko kama yalivyo na utumie kichwa na akili Mungu aliokupa kufikiri.
Wacha kuwa km Bendera Kufuata Upepo.
Umeshawahi kujiuliza kwanini UKRISTO huko ulipotokea Unakufa kwa kasi ya ajabu sana?
Jibu ni kuwa ule udanganyifu wa Viongozi wa makanisa Kutawala watu kiakili Watu wamesha uona.
Andiko limechakachuliwa Mpk kufikia leo HAKUNA BIBLIA ORIGINAL HATA MOJA DUNIANI.
hii ndio sababu kuu Ya Watu Kuukimbia Ukristo.

Amka Kabla Nafsi yako haijatolewa na malaika wa Mauti mkuu.
Siku ya hukumu huwezi kusema Padri au Mchungaji alikufundisha Kuwa Yesu ni Mungu.
Akili unazo jaribu kuzitumia.

Yesu SIO MUNGU WALA SIO MWANA WA MUNGU.
Mungu ni MMOJA TU. Hana mtoto wala Mshirika Ktk UUNGU WAKE.
Na ni Mungu huyo huyo aliyemtuma Yesu na Mitume wengine Waje kufundisha watu KUMUABUDU YEYE PEKE YAKE.

Usije ukadai Hukuambiwa.
Ndugu, suala kubwa hapa ni Uelewa. Hakika huelewi unachoandika.

Katika ufalme wa Mungu kuna safari mbili. Safari ya pili ndio inakufanya uitwe Mungu ( Au Mungu wa Nyakati)

Nakujibu kimahesabu sasa ( Safari ya pili)

1. Jesus + Emmanuel + Jesus Christ

2. Word + Word with God + God

3. Man + Man of Dust ( Man of God) + Man of Heaven

Hayo maelezo uliyoyatoa pamoja na mistari uliyoitoa pasipo kuielewa, aliitumia akiwa katika njia hizo kuelekea katika Ukuu. Ndio maana aliweza kusema yeye ni Mkuu kuliko Abraham au Solomon - ( sababu hawa walikua men of God )

Narudia tena kukwambia, ni vigumu sana kuelewa mambo ya Mungu kama haujawahi hata siku moja kukanyaga Mawingu.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mtu anayeyaona mawingu kwa Hekima zake na Yule anayeyaganyaga kila siku.

Kuna baadhi ya watu wachache sana wanaonielewa humu sio wote.

#1Corinthians 2:14, "The natural person does not accept the things of the Spirit of God, for they are folly to him, and he is not able to understand them because they are spiritually discerned."

#1Cor 2:13,"And we impart this in words not taught by human wisdom but taught by the Spirit, interpreting spiritual truths to those who are spiritual."
 
Kwa kauli hii una maa Mungu alifanya KUSUDI baadhi tu ya watu Waweze kuelewa UWEPO WAKE na wengine wasielewe ili APATE KUWAADHIBU bila Kosa lao au sio?

Kwa kauli hizi We huoni km Tayari umeshamtukana Mungu kwa kumuita Mbaguzi?

Hizo Hesabu umetoa kutokana na Fikra zako na Kamwe Mungu hawezi Kuuficha Ufalme wake kwa Baadhi ya watu Tu.
Nimekupa Mistari iliowazi ilioandikwa KISWAHILI, Badala ya wewe kunidadavulia Hio Mistari na maana zake Kwa unavyoelewa Wewe unaniandikia namba ambazo umetoa KICHWANI KWAKO.

Kuna Binaadamu ameshawahi Kukanyaga mawingu ? Au unatumia Methali ambazo hata yesu hakuwahi Kuzitumia ili kupotosha Ukweli?
We umeshawahi kuyakanyaga hayo mawingu?
Na wapi andiko linasema haya?

Nimekuuliza Km Yesu alikuwa MUNGU kabla ya kuja hapa Duniani ina Maana alipokuja hapa Duniani yale maombi aliokuwa anayafanya ya KUOMBA MSAADA NA KUEPUSHWA NA KIFO alikuwa ANAJIOMBA MWENYEWE?
Na kwa Mujibu wa Imani yako alipoUAWA MSALABANI ina maana MUNGU ALIKUFA ili AJIRIDHISHE MWENYEWE?

Mnadai Mungu ni Mwingi wa Rehema Na Mwenye kusamehe Mwenye Nguvu zote na uwezo wote.
Sasa KUAMUA KUJIUA YEYE MWENYEWE KWA KIFO CHA LAANA cha MSALABA ili AJIRIDHISHE MWENYEWE hio Ni Huruma na Rehema kwako?

Km yeye ni Muweza wa Kila kitu alishindwa Kusamehe Wanaadamu Mpk AJITOE UHAI WAKE?

Ndio nikasema Usiwe unapenda Kupewa maneno na Watu kinyume na Maneno aliyotamka YESU YEYE MWENYEWE.

Yesu anakwambia BWANA ni Mkuu kuliko Mimi. Wewe unasema Yesu ndio huyo huyo Bwana! Hii inaingia AKILINI?

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu.
Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu.
Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani.

Hayo ni maelezo ya mbinguni. Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

1.Yesu anamwomba Mungu.

Yesu anamwabudu Mungu. Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali. Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu. Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.

2.Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu.

Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti. Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.

3.Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu?
Je,Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?
Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize:
Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"? Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.
La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo. Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.
Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.

MI nakupa Maandiko Yalio wazi Ndugu. Wewe unatoa yalio Kichwani kwako. Hivi ndivyo alivyofundisha YESU?

Umri wetu ni Mfupi mno. Na baada ya KUFA HAKUNA kuomba msamaha tena.

Usimpe MTU cheo cha UUNGU.
Hio ni KUFURU isio na msamaha mbele ya Mungu.

MUNGU NI MMOJA TU. sio YESU wala Sio Utatu mtakatifu. Hii habari NI SHRKI NA KUFURU iliowazi. Na wala YESU HAKUWAHI KUUDAI UUNGU ktk Maisha yake yote.

Ahsante kwa kunisoma.
 
Mkuu umetoa ufafanuzi mzito sana
Nyie ni Jinsia moja (Wanawake) . ( Mnamkana Yesu Kristo kuwa sio Mungu kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Yohana 1:1 ) kwasababu ya kukosa Uelewa wake. Hakika hamtakuja kuuelewa ukuu wake mpaka hapo mtakapo Tubu dhambi zenu, kuwa watiifu na kujinyenyekeza mbele zake.Then atawafungua Mioyo na Fahamu zenu.

( Je mnafahamu Cheo cha "Lord,King,Christ" kinahitaji MTU wa namna gani? Jiulize hapo upo katika hatua gani Kiimani na Kiroho

"Mwanafunzi + MWALIMU + Mungu "

Yesu akasema, " Mwanafunzi hawezi kuwa juu ya MWALIMU, Ila mwanafunzi huyu akijifunza sana , anaweza kuwa zaidi ya MWALIMU"

Hivyo basi tuna sema Jesus Christ is our Lord (God) and Teacher

Hapa akaweka wazi kuwa yeye ni Mungu " #John 13:13 "You call me 'Teacher' and 'Lord,' and rightly so, for that is what I am.".

Hapa anawakana watu wenye viburi kama nyie, wazinifu wa Mioyo ambao hamtaki kumkiri kuwa Yeye ni Mungu " #James 4:6 ,"But he gives us more grace. That is why Scripture says: "God opposes the proud but shows favor to the humble."

UWAZI HUU HAPA, KWENYE MSTARI UFUATAYO "imeeleza wazi kuwa MTU akiwa Son of God anakuwa equal to God" Soma ,

#John 5:18, "For this cause therefore the Jews were seeking all the more to kill Him, because He not only was breaking the Sabbath, but also was calling God His own Father, making Himself equal with God."

Kiufupi , Yesu Kristo ambae ni Mungu alipingwa toka zamani.... "Siwashangai nyie - kwasababu mnaupenda sana ulimwenguni huu; akili zenu zimefungwa...

HII MISTARI PIA ITAWASAIDIA.

#Luke 24:45 ,"Then he opened their minds so they could understand the Scriptures."

#Job 32:8,"But it is a spirit in man, And the breath of the Almighty gives them understanding."

#2Timothy 2:7,"Consider what I say, for the Lord will give you understanding in everything."

#Proverbs 28:5"Evil men do not understand justice, But those who seek the LORD understand all things."

#Psalm 111:10,"The fear of the LORD is the beginning of wisdom; A good understanding have all those who do His commandments; His praise endures forever."

#Psalm 119:104,"From Your precepts I get understanding; Therefore I hate every false way."
 
1. Nabii Eubert Angel wa kanisa la Spirit Embassy, GoodNews Tv

a7caae517d18423ab94f2a614c968e4c.jpg

Hapa akiwa na Ginn Wine (Mwanamziki)

d2c4dab308554fa1d5dd21034adbb852.jpg

4b663a0db7669f643e8321fb128334f9.jpg

Hapa akiwa na mke wake Bebe Angel

3804896880f067da71229c4eb7748b80.jpg

Hapa akiwa gym

a38ba5a2a4fb971ba871953e1636de18.jpg

Mke na watoto wake

0651dc3f0c2408ad75e591ca0f6d26b2.jpg

7d5010976ffc2eb2142982aa56d43f86.jpg

bde2a1ddb54308c98345a396ba3d244d.jpg

23a285be4de5d4c9c88cbdb2289ae718.jpg

5a34b8a9ceb99426db49163b0f94f9ce.jpg

75bfb25134c9aa1dbbb410de4f184f36.jpg

2600336cd65d0a56b520f8fa32f62f5f.jpg

6081a5b4d82a37d056f64663c79d774f.jpg

7d4981e2acbefc6f2658e146fd55acc5.jpg

5e9019250dc14e2c8699043fe27b4d95.jpg

Wengine hawaapa....

7aaad4a902886eda63773018a522032c.jpg

4a274528be4e8ee2bc4dd2b2ccab6a63.jpg

f753422ad67c0c11ba35a96c4d8f4da9.jpg
Unabii huo wamepewa na nani?
 
ameshakuwa indoctrinated. labda ungemuuliza swali rahisi tu, je kanisa linapaswa kuibadili dunia au dunia inapaswa kulibadili kanisa?
Kanisa linapaswa kuibadili Dunia. Dunia haiwezi kamwe kulibadili kanisa.

Hapa namaana kwamba, Kanisa hili likiwa na Mungu + Neno lake + Utukufu wake katika Kristo Yesu, linaweza kuibadili Dunia pasina shaka.

Kanisa lisilokuwa na Mungu wa Kweli ni sawa na Dunia. Hivyo ni sawa useme kipofu kumuongoza kipofu mwenzake.

NB; Kanisa lenye Mungu na Utukufu ni mfano wa Mwanamme. Na Dunia siku zote ni sawa na Mwanamke.

Hivyo basi , kiufupi, maana nyingine ya swali lako ni " Je mwanamme anapaswa kumbadili mwanamke ? Au mwanamke anapaswa kumbadili mwanamme? "

Maana nyingine " Je Mungu/Yesu anapaswa kumbadili Shetani? au Shetani anapaswa kumbadili Yesu? "

Mifano ipo Mingi...., ( naona unatabasamu!!!) ..

d64eb7de833be85f2fcf1dbb8eb2b707.jpg
 
Tuletee na mashekhe wanaoenda na wakati tuwajue.....
Amini nakwambia kweli, Mavazi ya nje wanayovaa waislamu kujistili na aibu ni mazuri kushinda wanayovaa hao wanaojiita Walokole!
 
Back
Top Bottom