evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
n
pili nimeuliza hivyo sababu katoliki huwa mnaishi kwa kukalilishwa mapokeo ni tofauti na walokole ,.....mapokeo na kukalili ni vitu vinavyokuweka mbali na Mungu.,.maana hutamwabudu MUNGU kutoka moyoni ila utakalili na kuishi ya udini,...na huku uko mbali na MUNGU,...
nimeuliza hivyo sababu ni watu wawili tofauti kabisa,...Ndugu, Ufalme wa Mungu unajengwa kupitia Yesu Kristo.
Ukisema wewe ni Mkatoliki na ukasema unamuelewa Mungu utakuwa unajidanganya na ukweli hautakuwa ndani yako...
Kuna baadhi ya madhehebu yana moja kati ya vipande vya mwili wa Yesu na Damu yake... Mfano katoliki, rutheran, sabatho, waislamu n.k
Hawa wote wana vipande vipande.
Kwa MTU anayeutafuta USO wa Mungu kweli , ni lazima akusanye vipande vyote ili ukweli umuweke Huru. Sio kung'ang'ania dini moja na kisha unaanza kuhukumu watu vibaya pasipo kuwa na Imani au uhakika na unachosema.
Hivyo, basi, ninaelewa kwanini umeniuliza swali hilo! Lakini nakwambia kweli, Ni vigumu sana Mwanadamu kuingia mbinguni bila kupitia njia ya Msalaba ( katika Kristo Yesu)