Wakristo na manabii wao wa uwongo

Wakristo na manabii wao wa uwongo

Zerock

Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
94
Reaction score
147
Katika utitiri na mfululizo wa ujenzi holela wa makanisa kila sehem/kona,hilo kanisa likifunguliwa lazima kuna nabii wake.

Huu mfumo umekuwa endelevu na unapata nguvu Kila siku kutokana na ujinga wa waumini wao wanaosubiri kusomewa vipande vifupi vya biblia.Hawo manabii (feki) wanajua asilimia 100 kuwa akili za waumini wao zimeganda kama siyo kufa,hawajishughulishi kusoma kusoma biblia ili kupata ukweli juu ya hawo manabii wao wa uwongo.

Wakiristo wote (duniani) wanatunza bible ndani kama mapambo ya ukutani,wakisubiri jumamos /jumapil waibebe mkononi kwenda nayo kanisan na kurudi nayo nyumban.hajui hata msitari mmoja ndani ya hiyo biblia.

Bahati mbaya zaidi hawo manabii wao wanajifanya wana uwezo wa kuponya,
Nabii gani unatumia jina la yesu wakati Yesu mwenyew alitumia jina la mwenyezi Mungu kuponya.
Mission yao kubwa ni kuwanyonya waumini wao kupitia aina 5 za sadaka,kila baada ya nusu linapita kapu la sadaka .
Wakiristo siku mkija kupata akili,ni siku jua linachomoza magharibi na kuzama mashariki.
 
Nabii gani unatumia jina la yesu wakati Yesu mwenyew alitumia jina la mwenyezi Mungu kuponya

Kwa hii kauli hapa ☝️
Itoshe kusema
Mambo Yao waachie wenyewe!
Hata we mwenyewe unayetoa ushauri huyajui
 
Kwenye hili...uwa najiuliza sana khs sadaka ambazo zinaingia kwenye acc zao binafsi...ukiwatoa Catholic and alike ambao tunaona zinarudi kwenye jamii kupitia Mashule,Hospitals n.k!...Mwamposa anataka anunue ndege sasa kwa sadaka za kujimaliza za watu mpaka wanakosa nauli za kurudi makwao.
Wenyewe wanasema sadaka ni kumtolea Mungu
 
Wajinga waliwao🤣🤣🤣
Tenanogopa kabisa watu wanaotajataja jina la yesu au mungu hovyo hao wanatumia hichonkuficha uhuninwao.

Miafrica mijinga tuu i ajidai inajua dini kuliko wale waliowaletea 🤣🤣🤣🤣
 
Kwanza imimpendeza mungu hakuna muafrika mwarabu wala muhi di kuingia peponi wote ni motoni tuu
 
Waatoliki ndio wakristo wanaojielewa , kwa mbali sana wanakuja walutheri , ila walio baki wote ni takataka tu
 
Kwenye hili...uwa najiuliza sana khs sadaka ambazo zinaingia kwenye acc zao binafsi...ukiwatoa Catholic and alike ambao tunaona zinarudi kwenye jamii kupitia Mashule,Hospitals n.k!...Mwamposa anataka anunue ndege sasa kwa sadaka za kujimaliza za watu mpaka wanakosa nauli za kurudi makwao.
Wenyewe wanasema sadaka ni kumtolea Mungu
kama hamjui mambo ya imani ni bora mkae kimya. Hizo shule na hospitali za wakatoliki and alike kuna muumini/mshirika anayesoma/tibiwa bure kwa kuwa alitoa sadaka/mchango?
 
kama hamjui mambo ya imani ni bora mkae kimya. Hizo shule na hospitali za wakatoliki and alike kuna muumini/mshirika anayesoma/tibiwa bure kwa kuwa alitoa sadaka/mchango?
Imani ipi wewe...pesa anakusanya mtu ..unasema unsmtolea Mungu! Tatizo mna imani na dini na sio muunganiko na Kristo.
Mmezipenda dini zenu kuliko Mungu.
 
Back
Top Bottom