shetani anaudanganya ulimwengu na nia yake kubwa ni kwenda na wadanadamu wengi ktk moto wa milele,.......
hawa manabii mnaowasema je mnasema mnajua sifa za kibiblia kuhusu mtu kuwa nabii????
biblia inasema ktk
WAEFESO 4;17
Basi nasema neno hili,tena nashuhudia katika BWANA ,tangu sasa msienende kama mataifa waenendavyo,katika ubatili wa nia zao,..........
huweza kuishi ktk njia za kumpendeza MUNGU alafu tena uwe kiongoz unaongoza watu then maisha yako yawe kma watu wa dunia,unyoe viduku nk ,.......Msaisha ya kuishi ktk njia za Kuishi ktk misingi ya MUNGU iko wazi.,...
ukiipenda dunia kumpenda MUNGU hakumo ndani yako,.....hao manabii wanaonyoa vibwenzi(viduku) sidhani kma wanafanya kaz ya Mungu au kaz zao binafsi kwasababu hawapo kibiblia....
ila pia sishangai kwasababu yaliyosemwa na Bwana YESU kuhusu habari za siku za mwisho yote yametimia,...ukisoma hiyo habari ktk mathayo 24 inaeleweka,....
MATHAYO 24;11-12
na manabii wengi wa uongo watatokea,na kuwadanganya wengi
12;na kwasababu ya kuongezeka maasi,upendo wa wengi utapoa.
MATHAYO 7;15-16
jihadhalini na manabii wa uongo,watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo,walakini kwa ndani ni mbwa mbwa mwitu wakali
16;mtawatambua kwa matunda yao. je watub huchuma zabibu ktk miiba au tini ktk mibaruti???
vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri,na mti mwovu huzaa matunda mabaya..
tatizo watu wanachanganywa sana siku hizi duniani ni kwasababu watu wanaitwa na kuvutwa kwanguvu tamaa za pesa na kutokujua maandiko,....
mke wa nabii anavaa surualiii???????
hadi hapa tu tayari ni shida hamna neno la Mungu hapo,.......biblia inazuia kuvaa suria suruali na ni machukizo mbele za MUNGU leo mkee wa nabii avae suruali,....hapo kuna shida,......
1YOHANA 2;15
Msiipende dunia wala mambo yake yaliyomo ktk dunia.mtu akiipenda dunia kumpendaq Baba hakumo ndaNI YAKE.....
Hao manabii wanampendaje MUNGU na kufanya kazi wake wakati mambo ya ulimwengu yamewajaaaa,..
nabii ananyoa kiduku then bado mnnasema wanampenda Mungu....
MATHAYO 6;24,...hakuna awezaye kutumikia mabwana wawili,..yaani MUNGU na mali
hao jamaa wanaenda kudesign vyuti ulaya vya gharama kubwa zanini........wanahangaikia vitu vya kupita2 duniani
tatizo watu siku hizi hawasoma biblia na kujua maandiko ndo tatzo ndo maana watu wanachanganywa na mambo ya ajabu ajabu yanaendelea kutokea,.....yatatokea zaidi ya haya na watu watazd kuvutwa na kuchanganywa na baadae watu wataacha neno la MUNGU la kweli na kwenda upotevuni bila kujua kwamaana wameacha misingi mikuu ya MUNGU ya kutumia neno lake ili wawe sehemu sahii na Mungu ataawaacha watumie akili zao binafsi
na hapo ndipo ibilisi atatwaa wanadamu wengi na kujihakikishia kuingia nao ktk jehanamu ya milele,....
WARUMI 1;28
Nakama walivyokataa kuwa na Mungu ktk fahamu zao,Mungu aliwaacha wafate akili zao zisizofaa wafanye yasiyowapasa....
ukikataa kufata kumshirikisha Mungu kwa kila jambo ktk fahamu zako na Mungu anakuacha ufate mawazo na akili binafsi..kma kuwaqza mafanikio nk.....
am sure huko sehemu makanisa yao yalipo kuna makisa ya kweli watu ambao wapo sehemu sahihi na wanaliitia jina la MUNGU Wetu wa kweli,...ila unakuta watu wanapenda makanisa wanapohubiri habari za mafanikio tu na makanisa yaliojaa watu WEEENGI ILIA HAMNA UWEPO wa MUNGU,....
Mungu atusaidiee sana siku hizi za mwisho............
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa