Jaman si ndio hawa akina Mzee wa Yesu, huyu yeye anasema anakibali cha kudhibit wachawi wote east Africa
Nabii Mwingira
Nabii flora
Nabii Joshua
Nabii gwajima, wapo wengi tu, mwingine yupo Korogwe jina nimesahau
Ukiona mchungaji au mtume au Nabii ana Nick name... Tena kapewa na watu anaowaongoza na akaona fahari kuitumia.... Ujue Nick name hiyo inakamilisha alama "666"
Mfano wa majina hayo ni .... Buldoza, Katapila, Tingatinga, Nabii Billionaire, Mzee wa Yesu , Mzee wa Upako...
Please , DO NOT BE DECEIVED! THE MIND OF GOD HAS NO BUSINESS WITH STUPID TALKS OR STUPID NAMES.
MTU akitumwa kufanya Kazi za Mungu na kuitimiza Sheria yake , kupitia Yesu Kristo, kamwe hawezi kuwa na matamshi ya mzaha mzaha...
Kama Yesu kweli ni Foundation yake... Hata kuwa na Muda wa kupiga soga wala kuchekesha watu kama wafanyavyo hao. Atakuwa na attitude kama ya Yesu Kristo.
Soma Biblia, andika mstari wowote ambao umeona Yesu alicheka, au kucheza hovyo hovyo.... The man was very serious doing His Father's Business ( Fulfilling the Royal Law + Finishing His Work ) . No jokes
Jiulize kwanini alikataa na KUONDOKA baada ya kugundua (mawazo) Wafuasi wake wanamtaka kwa nguvu awe Kiongozi ( Falme) wao ; Hakutaka makuu kama hawa wa sasa wanaojipendekeza na kutafuta sifa kutoka kwa watu.
Ndio maana mara wanavaa kijeshi mara wasimikwe kama maraisi... It means hayo ndio yamewajaa mioyoni mwao ( Tamaa za Mwili) ; wanapenda kuitwa majina makubwa... Majivuno,
Yesu Kristo alipenda sana kuwatoloka watu kwenda Mazingira ya upweke. Why... Kwasababu Mazingira pia yana nguvu... Uli uyashinde lazima uwe juu yake.
Mfano; Umesikia binti kaolewa kutoka Singida... Akifika Dar es Salaam anaharibika. Au ulikua na Familia yako, Moshi mkiishi vizuri , ulivyohamia Mwanza au Dar es Salaam mke akaanza kuwa Malaya.... Na huelewi source ni nini...