nahisi hukuelewa dhima yangu
ni kuwawweka watu aware wawe wanazingatia neno la Mungu,......maana kuhumu tumezuiwa kwa namna yoyote ile,...
tusije tukahukumiwa sisi,...
matunda ya Yaliyo ktk misingi ya MUNGU ni dhahili na ya ibilisi ni dhahili thats why YESU akasema mtawatambua kwa matunda yao,...tukiwa ndani ya YESU pekee ndo tunaweza kuwatambua wenye matunda YA MUNGU na ya ibilisi......
kwenye red hapo,....kuutambua huo mti ni lazima uwe kwenye njia ya wokovu uwe na ukaribu na Mungu,...roho mtakatifu ndiye kiongozi kwa kila jambo unaposema mtu akijibanza sijui ningumu kumtambua unamaanisha kuwa roho mtakatifu unapinga uwepo wake.......
katika blue unazunguzia kuchaguliwa kivipi????????
minajua hadi unaokoka unakuwa tayari umepata neema,..maana paul anasema ktk waefeso tumeokolewa kwa neema
yaani tumechaguliwa tumeokoka kwa neema na sikwa akili zetu.........
Ndugu, na kuelewa vyema sana, tena sana Ndugu yangu.
Kuingia kwenye njia Takatifu ya Msalaba kuna hatua zake ( madaraja). I mean, the more unavyokua mtiifu na humble mbele za Mungu kupitia Yesu ndipo unapanda daraja la uelewa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuokoka ( wokovu ) na kukombolewa. Pia kati ya kuokoka na kuchaguliwa. Haya ni madaraja ambayo yanakuwa na hatua zake za Uelewa katika Ufalme wa Mungu.
Ni vyema ukatambua kwamba, Mungu/ Yesu ; yupo interested sana kwenye Mioyo yetu. Kama tukipewa Uelewa kidogo, ni lazima tuutumie kuuliza maswali ili tupate nguvu za kuendelea kuutafuta uso wake mpaka hatua ya mwisho ya kufunguliwa mlango wa mbinguni.
Hapa utaona Uelewa ni muhimu sana katika hatua zote.
Nataka kusema kwamba , daraja la kuokoka ( salvation) ( ambalo ni la pili, si la kwanza kama watu wanavyofikiri - katika ufalme wa Mungu) linaweza kumfanya MTU kuchaguliwa kama itampendeza Mungu ( kupitia Yesu)
Kuna watu wengi sana huwa wanaifikia hatua hii, lakini huwa hawawezi kuchaguliwa kutokana na Tamaa za miili yao pamoja na nguvu zilizopo kwenye Mazingira yao.
Hii ni sehemu ambayo huwaandaa watu kwenda kuvuna walichopanda. Na wengi huishia kula au kuvuna matunda ya miti ya Hisia ( sio ile waliyoipanda). I mean, wanaikana miti yao na kutamani kwenda kuvuna miti ya Ulimwengu huu.
Ushauri; Jichunguze njia zako; Tubu , rudi msalabani. Kumbuka , asiye elewa maana hana maana. Namaanisha, unaweza kuisoma Biblia nzima na kuikariri, lakini usielewe kilichoandikwa. Hili ni tatizo linalikusumbua kwasasa...,
Tafuta mzuri na Mungu/ Yesu ..... Mazingira unayoyatumia kusoma maandiko ya Mungu ndio yanakufanya usilielewe vyema neno lake. Hii itakufanya kuwa mjuaji tu lakini sio Muelewa.
Mungu akubariki sana. Damu ya Yesu ukutakase!