Manabii wanaokwenda na wakati

Manabii wanaokwenda na wakati

Nimekueleza kwa hoja ni jibu kwa hoja acha mihemko.unless ulitafuta kuwashambulia hao watumishi wa MUNGU.mimi ni mfuasi wa kristo na bible.tumia bible ujibu maswali yangu na uonyeshe wapi wameenda kinyume na maandiko
Namshukuru Mungu, umeweka wazi kuwa wewe ni mfuasi wa Kristo. Maana yake ni kwamba , hata nikikueleza ukweli hautasadiki.

Ungekuwa mtumishi au rafiki kidogo wa Yesu, tungeweza kuelewana.

Hata ibilisi anaweza kuwa mfuasi wa Kristo pasipo kuitwa; I mean , kwa kujipeleka mwenyewe kundini.

Ushauri; Huwezi kutumia nguvu zako kuielewa Biblia. Amini nakwambia kweli, ukiielewa Biblia hautakuwa na haja ya kuibeba. Kuna tofauti kubwa kati ya neno na andiko. Ukisema andiko ni neno la Mungu maana yake ukweli haumo ndani yako.

Si kila jambo ni lazima kunukuu vifungu vya Biblia. Pia haina maana kunukuu vifungu usivyovielewa undani wake.
 
Hiyo inaitwa "wajingaaa njooni wajanja wapige hela"
 
Watu wengi hawaelewi namna ya kutofautisha kati ya Roho chafu na Roho Safi. Hii imewafanya kukosa muelekeo.
 
Hebu watofautishie waelewe
Matunda ya mti wa uzima,
Matunda ya mti wa mema na mabaya;

Kama unayaelewa matunda ya miti hiyo, ni rahisi sana kuwabaini MANABII feki.

Kumbuka, Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu. Na pia, kutofautisha roho chafu na roho Safi ni kipaji kutoka kwa Mungu kupitia Kristo Yesu.

Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kutofautisha roho hizo.
 
Namshukuru Mungu, umeweka wazi kuwa wewe ni mfuasi wa Kristo. Maana yake ni kwamba , hata nikikueleza ukweli hautasadiki.

Ungekuwa mtumishi au rafiki kidogo wa Yesu, tungeweza kuelewana.

Hata ibilisi anaweza kuwa mfuasi wa Kristo pasipo kuitwa; I mean , kwa kujipeleka mwenyewe kundini.

Ushauri; Huwezi kutumia nguvu zako kuielewa Biblia. Amini nakwambia kweli, ukiielewa Biblia hautakuwa na haja ya kuibeba. Kuna tofauti kubwa kati ya neno na andiko. Ukisema andiko ni neno la Mungu maana yake ukweli haumo ndani yako.

Si kila jambo ni lazima kunukuu vifungu vya Biblia. Pia haina maana kunukuu vifungu usivyovielewa undani wake.

Unajua nini wewe unaandika usichokijua ungekuwa unarijua neno la MUNGU usingeshindwa kuelewa maana ya mfuasi, unajaribu kuwadanga watu humu lakini maneno yako hayana foundation.mtu kakuuliza hapo juu ebu saidia watu waelewe tofauti kati ya roho safi na chafu unaanza story eti nikipawa kutoka kwa MUNGU alafu hauna hata neno moja la biblia linalosupport maneno yako.

Mambo ya MUNGU hayana ugumu wowote lipo neno la MUNGU na ROHO MTAKATIFU anayeweza kutusaidia kupambanua kweli yote(john 14:26) so nirahisi kuwaelekeza watu,sio unakuja tu nahisia zako kwa sababu uwakubali watu fulan basi unaanza kuwashambulia.Inaezekana hujui kwamba wewe ndio unaoperate under spirit of deception
 
Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Mimi siandiki ujuaji hapa; Naandika Uelewa.

Kwa ufupi, ni vigumu sana kuelewa ninayoyaandika hapa endapo utayasoma kwa kutumia macho yako. Tafadhali, soma kwa kutumia sikio lako ndipo tutaenda sawa.

Kuhusu, jibu nililomjibu huyo Ndugu hapo juu, lengo langu lilikuwa kutaka kumuelewesha na kumfikirisha kuwa, ni vigumu sana kuutofautisha mti wa mema na mabaya na Ule mti wa uzima; Nikimaanisha , mti huu wa mema na mabaya, ukiamua kujiposition kwenye kutenda mema tu na sio mabaya, sio rahisi kuutofautisha na Ule wa uzima.

Kama hauna roho wa Mungu hautaweza kutofautisha. Utakuwa unauita Uovu wema na wema Uovu.

Mistari ya Biblia unayotaka nikuandikie, imo ndani ya maandishi haya ninayokuandikia.

Narudia tena, kama wewe unasoma hizi post huku ukiwa na miwani, au magongo hautaweza kunielewa. Na pia kama wewe ni mzinzi au una govi.. Hautaweza kunielewa.
 
Labda nikuulize, unafikiri watakatifu wote kwenye Biblia ambao ni Baba zetu wa Amani.... Wangekuwa wanahubiri kwa kunakiri kila mistari kwenye Biblia, tungekuwa na Biblia ngapi?

Kuna mambo ninaweza kukujibu kwa kuweka mstari kama kukukumbusha, lakini si kila jambo nila kuweka mstari.

Na usifikiri Roho Mtakatifu, anapatikana hovyo hovyo hivyo kama ulivyoandika; kwa kuchukua kamstari kamoja kwenye Biblia na kujiaminisha.

Tubu, Kuwa mtiifu, acha dhambi, kuwa mnyenyekevu.... Rehema za Mungu kupitia Kristo Yesu zinaweza kukujiilia kwa muda wake sio wako,

#Isaiah 28:10, "For precept must be upon precept, precept upon precept; line upon line, line upon line; here a little, and there a little:"
 
Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Mimi siandiki ujuaji hapa; Naandika Uelewa.

Kwa ufupi, ni vigumu sana kuelewa ninayoyaandika hapa endapo utayasoma kwa kutumia macho yako. Tafadhali, soma kwa kutumia sikio lako ndipo tutaenda sawa.

Kuhusu, jibu nililomjibu huyo Ndugu hapo juu, lengo langu lilikuwa kutaka kumuelewesha na kumfikirisha kuwa, ni vigumu sana kuutofautisha mti wa mema na mabaya na Ule mti wa uzima; Nikimaanisha , mti huu wa mema na mabaya, ukiamua kujiposition kwenye kutenda mema tu na sio mabaya, sio rahisi kuutofautisha na Ule wa uzima.

Kama hauna roho wa Mungu hautaweza kutofautisha. Utakuwa unauita Uovu wema na wema Uovu.

Mistari ya Biblia unayotaka nikuandikie, imo ndani ya maandishi haya ninayokuandikia.

Narudia tena, kama wewe unasoma hizi post huku ukiwa na miwani, au magongo hautaweza kunielewa. Na pia kama wewe ni mzinzi au una govi.. Hautaweza kunielewa.

Maneno mengi huna content.nimekuuliza unawezaje kuthibitisha Prophet Urbet angel ni nabii wa uongo ? naomba nijibu hapo.tumia neno la MUNGU sio maneno ya kufikirika
 
dah ila hawa tunaowaita nyumbu wapo na imani sana ila mie kuwaita nyumbu naona ni makosa kwa nn tusiwaite kongoni maana ndio hawana akili
 
Ndugu, nimekuandikia kwamba, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Pia kuna tofauti kubwa sana kati ya Neno la Mungu na andiko la Mungu.

Hawa Ndugu zako hawana Image ya Mungu hata kidogo; wanachofanya wao ni Counterfeit au Divination; Ni vigumu sana kuwatambua watu wa namna hii kama hauna Roho Mtakatifu. Pia ni vigumu sana kuwatambua kama bado unaishi chini ya Hisia zako.

Yafuatayo ni maandiko machache ambayo ndani yake yanawaelezea vyema

101c507d27d0201e58317b0a5dc69246.jpg

5634008684425929998548d68fbc1337.jpg

5b54c6a0c36d420e75477e3cad739ed0.jpg

cbd70d88bb883c762489b78319e4a926.jpg

1c2d111a5b239423b1480467022e1c71.jpg

94d829bfc1216b683abf4b1ee6ef2a74.jpg

The biggest thing in the World is Love , not money or flesh

6d38e708f390522b539ffc0491aaa106.jpg

7e2f7cf747fb138451618460150bf06d.jpg
 
Hata Nyumbu wanaelewa majira na nyakati; kuna kipindi wanasafiri umbali mrefu na kuvuka mto Mara (Nyerere's Doctrine I.e Christ's Doctrine) kama kipimo Chao cha maturity (ukomavu) - kitu ambacho hata waisrael na wale wote walioamua kweli kuipitia njia ya msalaba katika Kristo Yesu, lazima wavuke maji mengi .

Kwahiyo binafsi siwezi kuwaita nyumbu. Mimi nawaita Waovu; wanafikiri Mungu ni sawa na mganga wa kienyeji. Wanakimbilia kwenda kwa manabii kwa ajili ya fleshly gain,

cdf62fbd6bc16e5700d5ea227910defc.jpg

Huwezi kuanza njia ya msalaba kama haujaupaka mwili wako na roho yako rangi nyekundu. Wao kwasababu ya ujuaji wanapaka rangi nyeusi na kujikuta wanabaki kule waliko au wanarudishwa kwenye Uovu zaidi badala ya kwenda kwenye nchi takatifu ( nchi ya Uelewa, nchi ya Utiifu)

747c729382500f3e6f34097154415a96.jpg
 
Ndugu, nimekuandikia kwamba, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Pia kuna tofauti kubwa sana kati ya Neno la Mungu na andiko la Mungu.

Hawa Ndugu zako hawana Image ya Mungu hata kidogo; wanachofanya wao ni Counterfeit au Divination; Ni vigumu sana kuwatambua watu wa namna hii kama hauna Roho Mtakatifu. Pia ni vigumu sana kuwatambua kama bado unaishi chini ya Hisia zako.

Yafuatayo ni maandiko machache ambayo ndani yake yanawaelezea vyema

101c507d27d0201e58317b0a5dc69246.jpg

5634008684425929998548d68fbc1337.jpg

5b54c6a0c36d420e75477e3cad739ed0.jpg

cbd70d88bb883c762489b78319e4a926.jpg

1c2d111a5b239423b1480467022e1c71.jpg

94d829bfc1216b683abf4b1ee6ef2a74.jpg

The biggest thing in the World is Love , not money or flesh

6d38e708f390522b539ffc0491aaa106.jpg

7e2f7cf747fb138451618460150bf06d.jpg

So unataka kusemaje kuwa na fedha ni dhambi ? kwahyo unapingana na hili neno deuteronomy 8:18,na unaweza kuniambia how Prophet urbet angel aja walk in love ? Neno linaposema kuipenda dunia wewe unaelewaje ?
 
1. KUHUSU FEDHA

Ndugu, ukiwa na Mungu your life will show it; Na ukiwa na fedha maisha yako yatajionyesha pia.

Fedha ni rafiki mkubwa wa Ceasar, ; MTU yeyote aliyekaribu na Mungu hata kama akiwa nazo, hatapenda kuziongelea mara kwa mara wala kuwa insist watu wazitafute kwa #udi na #uvumba; badala yake atawahimiza watu watafute vitu ambavyo ni vikubwa kuliko miili yao au Mazingira yao. Na atakuwa anaishi juu ya Fedha hizo, I mean, Atazitawala Fedha na kuwa mfano Bora kwa watu wengine katika Mazingira yake, ;

Kamwe hataweza kuzitumia for fleshly gains au kwa kupata fame au kutukuzwa na watu ( ku-make headlines - show off etc ) atakuwa na attitude kama ya Yesu. Dhamira yake kuu itakuwa kuserve lives, kusave lives, kufulfill the Royal Law (Love) na kufanya mapenzi ya Mungu.

Mtu wa namna hiyo pia hatakuwa anafanya ushindani na watu wa mataifa (the race of men) bali atakua anafanya ushindani na farasi ( the race of the horses) ; by fighting a good fight mpaka anakuwa Saint au kujumuika katika Familia ya Mungu mbinguni.
Fedha ni dhambi na ni mzizi mkubwa wa dhambi. Fedha ni sawa na Hekima au Vitu vya kimwili. Fedha pia ni sawa na nguo ama vazi la nje la mwili wa MTU.

Kumbuka, mbinguni hakuna Mazingira kama Haya tuliyonayo huku chini. Wala hakuna miili kama hii unayoiona. .

Kipimo kikubwa cha kugundua kuwa MTU flani ni MTU wa Mungu ni kumuangalia anacho abudu na kukisujudu. Hapa utaona MTU akiabudu na kupendelea kuwa na Vanity possessions kwa kuinvest kwenye Mwili wake na kwenye Mazingira yake , badala ya kuinvest Mbinguni.

Ulimwengu huu sio wetu, hapa tupo kama wageni tu. Kazi kubwa ya MTU aliyetumwa na Mungu ni kuwaokoa na kuwakomboa watu ili wafike mahala salama mbinguni, sio kuwabakiza hapa gizani.

Refer and Meditate.....

#Hebrews 13:5 ,"Keep your lives free from the love of money and be content with what you have, because God has said, "Never will I leave you; never will I forsake you."

#1Timothy 6:10 ,"For the love of money is a root of all kinds of evil. Some people, eager for money, have wandered from the faith and pierced themselves with many griefs"

NB; Money can buy Common things to make someone ignoble, but it cant buy uncommon things such Love, Faith , Mercy, Grace etc to make him a noble person

Do not call ignoble people - noble : Doing anything without Faith is Sin ( Copy that!)

7cf8c4ab5dca791f13d0ad164a96c21d.jpg

2. KUHUSU DEUTORONOMY 8:18 inayosema .... ( hili ni andiko sio neno kama ulivyoandika)

"But remember the Lord your God, for it is he who gives you the ability to produce wealth, and so confirms his covenant, which he swore to your ancestors, as it is today."

Kama nilivyotangulia kusema kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya andiko na neno. Unachokisema hapa ni andiko lakini sio neno, kwasababu mstari huo haujaelewa ndani yake unamaanisha nini hasa.

Kiufupi, Huwezi kuwa mfuasi wa Yesu then ukaweza kuproduce Wealth ( Success) ; Na pia Huwezi kuwa mtumishi wa Yesu ukaproduce success/ Wealth. ( Andiko John 15:15 limebainisha)

Nina amini , Success unayoizungumzia wewe ni ile ya Hisia tu ( Vanity Success a.k.a Chasing after the wind ) na sio success ya Uhalisia.

Mstari huo ulikuwa unawakumbusha watu wawe wafuasi kikamilifu ili waweze kuwa na agano kamili na Mungu , litakaloweza kuwapa kibali cha kuwa na Wealth/ Success in Christ Jesus

3. Dunia na Ulimwengu

Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya dunia na ulimwengu. Dunia sio ulimwengu na ulimwengu sio dunia. Msingi wa dunia ni Knowledge au Power of God , na msingi wa Ulimwengu (Mazingira) ni Hekima.

Kuna vitu vikuu vitatu katika Maisha ya Mwanadamu, navyo ni Knowledge, Wisdom na Understanding: kukibwa kuliko vyote ni Understanding.

Knowledge au Wisdom , just puffs Up while Understanding builds up!!

Andiko sio neno Tafadhali, linaposema kuipenda dunia , maana yake ni kumuelimisha MTU, ili yeye pia aweze kuokolewa na kukombolewa na Yesu , pia aweze kuzitawala Hisia na mazingira yake.

Dunia ni sawa na MTU wa kimataifa/ a sinner. Au kwa maana nyingine flesh/ things of human/worldly standards

Lengo la kuipenda Dunia ni kuitoa kwenye Lowly body form (human/worldly standards) kuipeleka katika glorious body form ( Heavenly Standards / Above human senses) ; Kumfanya MTU apite kwenye moto kama wakina Shadrak , Meshack na Abednego au Kama Mimi hapa.

Upendo = Imani+Matumaini+ Dhamira

USHAURI; Ukiendelea kutumia maandiko ya Biblia na kuyaita neno la Mungu pasipo kuyaelewa undani wake, utakuwa sawa na Magaidi; " Andiko linauwa na ni giza, bali, Neno ni uzima na mwanga "

Acha dhambi, rudi msalabani in Truth and in Obedience then Jeremiah 33:3 shall work upon you & yours, in Christ ( for God's glory)
 
1. KUHUSU FEDHA

Ndugu, ukiwa na Mungu your life will show it; Na ukiwa na fedha maisha yako yatajionyesha pia.

Fedha ni rafiki mkubwa wa Ceasar, ; MTU yeyote aliyekaribu na Mungu hata kama akiwa nazo, hatapenda kuziongelea mara kwa mara wala kuwa insist watu wazitafute kwa #udi na #uvumba; badala yake atawahimiza watu watafute vitu ambavyo ni vikubwa kuliko miili yao au Mazingira yao. Na atakuwa anaishi juu ya Fedha hizo, I mean, Atazitawala Fedha na kuwa mfano Bora kwa watu wengine katika Mazingira yake, ;

Kamwe hataweza kuzitumia for fleshly gains au kwa kupata fame au kutukuzwa na watu ( ku-make headlines - show off etc ) atakuwa na attitude kama ya Yesu. Dhamira yake kuu itakuwa kuserve lives, kusave lives, kufulfill the Royal Law (Love) na kufanya mapenzi ya Mungu.

Mtu wa namna hiyo pia hatakuwa anafanya ushindani na watu wa mataifa (the race of men) bali atakua anafanya ushindani na farasi ( the race of the horses) ; by fighting a good fight mpaka anakuwa Saint au kujumuika katika Familia ya Mungu mbinguni.
Fedha ni dhambi na ni mzizi mkubwa wa dhambi. Fedha ni sawa na Hekima au Vitu vya kimwili. Fedha pia ni sawa na nguo ama vazi la nje la mwili wa MTU.

Kumbuka, mbinguni hakuna Mazingira kama Haya tuliyonayo huku chini. Wala hakuna miili kama hii unayoiona. .

Kipimo kikubwa cha kugundua kuwa MTU flani ni MTU wa Mungu ni kumuangalia anacho abudu na kukisujudu. Hapa utaona MTU akiabudu na kupendelea kuwa na Vanity possessions kwa kuinvest kwenye Mwili wake na kwenye Mazingira yake , badala ya kuinvest Mbinguni.

Ulimwengu huu sio wetu, hapa tupo kama wageni tu. Kazi kubwa ya MTU aliyetumwa na Mungu ni kuwaokoa na kuwakomboa watu ili wafike mahala salama mbinguni, sio kuwabakiza hapa gizani.

Refer and Meditate.....

#Hebrews 13:5 ,"Keep your lives free from the love of money and be content with what you have, because God has said, "Never will I leave you; never will I forsake you."

#1Timothy 6:10 ,"For the love of money is a root of all kinds of evil. Some people, eager for money, have wandered from the faith and pierced themselves with many griefs"

NB; Money can buy Common things to make someone ignoble, but it cant buy uncommon things such Love, Faith , Mercy, Grace etc to make him a noble person

Do not call ignoble people - noble : Doing anything without Faith is Sin ( Copy that!)

7cf8c4ab5dca791f13d0ad164a96c21d.jpg

2. KUHUSU DEUTORONOMY 8:18 inayosema .... ( hili ni andiko sio neno kama ulivyoandika)

"But remember the Lord your God, for it is he who gives you the ability to produce wealth, and so confirms his covenant, which he swore to your ancestors, as it is today."

Kama nilivyotangulia kusema kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya andiko na neno. Unachokisema hapa ni andiko lakini sio neno, kwasababu mstari huo haujaelewa ndani yake unamaanisha nini hasa.

Kiufupi, Huwezi kuwa mfuasi wa Yesu then ukaweza kuproduce Wealth ( Success) ; Na pia Huwezi kuwa mtumishi wa Yesu ukaproduce success/ Wealth. ( Andiko John 15:15 limebainisha)

Nina amini , Success unayoizungumzia wewe ni ile ya Hisia tu ( Vanity Success a.k.a Chasing after the wind ) na sio success ya Uhalisia.

Mstari huo ulikuwa unawakumbusha watu wawe wafuasi kikamilifu ili waweze kuwa na agano kamili na Mungu , litakaloweza kuwapa kibali cha kuwa na Wealth/ Success in Christ Jesus

3. Dunia na Ulimwengu

Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya dunia na ulimwengu. Dunia sio ulimwengu na ulimwengu sio dunia. Msingi wa dunia ni Knowledge au Power of God , na msingi wa Ulimwengu (Mazingira) ni Hekima.

Kuna vitu vikuu vitatu katika Maisha ya Mwanadamu, navyo ni Knowledge, Wisdom na Understanding: kukibwa kuliko vyote ni Understanding.

Knowledge au Wisdom , just puffs Up while Understanding builds up!!

Andiko sio neno Tafadhali, linaposema kuipenda dunia , maana yake ni kumuelimisha MTU, ili yeye pia aweze kuokolewa na kukombolewa na Yesu , pia aweze kuzitawala Hisia na mazingira yake.

Dunia ni sawa na MTU wa kimataifa/ a sinner. Au kwa maana nyingine flesh/ things of human/worldly standards

Upendo = Imani+Matumaini+ Dhamira

USHAURI; Ukiendelea kutumia maandiko ya Biblia na kuyaita neno la Mungu pasipo kuyaelewa undani wake, utakuwa sawa na Magaidi; " Andiko linauwa, Neno linatoa uzima "

Acha dhambi, rudi msalabani in Truth and in Obedience then Jeremiah 33:3 shall work upon you & yours, in Christ ( for God's glory)

Ntarudi kukujibu kipengere cha kwanza kunaishu na malizia.kipengere cha pili na chatu umetoka out of point hujajibu hoja umerukia mambo mengine.alafu usijehesabie haki kwa atitiude yako let the SPIRIT and the WORD lead you
 
Ndugu, ninaelewa kuwa, Huwezi kuelewa mambo ninayokueleza hapa; Ninaelewa kuwa yako above your senses. Hivyo sitashangaa kuona unaniita Jina lolote lile au kunitukana au kunidharau.

"What people don't understand, they always call names; and what they know/understand they destroy"

Ushauri; In God's Kingdom , it's just a matter of time or day and chances ; God's time or day is always the Best. In His time or day everything looks beautiful!!!

Nina amini kuwa kama ukiwa mtiifu na ukaendelea kuwa humble before Him; muda wako utafika ; rehema na mapenzi ya Mungu yatakuwa juu yako na utaiona siku ya Mungu. Haya yote ninayokueleza sasa utayaelewa kwa namna ya ajabu sana , for God's glory. May the spirit of Amen be with you! Shalom

Always remember,
cb79318be8610fe816dde53e29f02d80.jpg

"A little that a righteous man hath is better than the riches of many wicked. #Psa 37:16 KJV

"Better is an handful with quietness, than both the hands full with travail and vexation of spirit."
#Ecc 4:6 KJV
 
Back
Top Bottom