Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,488
Reaction score
2,979
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.

Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila ukifika pale wanamwaga mipovu kwenye kioo ili wasafishe na uwape hela, usipowapa wanakutukana,

Naomba sana serikali na polisi yenu angalieni hili kabla madhara hayajatokea, wale pale ni vibaka hadharani,

Au ndio ajira mumeziridhia hizi?
Kweli vijana wanaangamia
 
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.

Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ameyoka car wash kabisa, ila ukifika pale wanamwaga mipovu kwenye kioo ili wasafishe na uwape hela, usipowapa wanakutukana,

Naomba sana serikali na polisi yenu angalieni hili kabla madhara hayajatokea, wale pake ni vibaka hadharani,

Au ndio ajira mumeziridhia hizi?
Kweli vijana wanaangamia
Hakika kabisa mkuu, ni hatari kupita maelezo, lile eneo limekuwa ni kero kuliko kero yenyewe, niliwepo huo muda nimemuona huyo mbaba yaani kama sio watu kumuamulia angemtoa mtu roho pale
 
Hakika kabisa mkuu, ni hatari kupita maelezo, lile eneo limekuwa ni kero kuliko kero yenyewe, niliwepo huo muda nimemuona huyo mbaba yaani kama sio watu kumuamulia angemtoa mtu roho pale
Serikali yetu inapenda kufuga sana hui ujinga, mpaka likitokea tukio ndio watajifanya kuchukua hatua

Plae hakuna mda kabla madhara hayajatokea, nyie subirini tu mtakuja kusema humu,
Yaani mtu unasubiria taa ziwake halafu mtu anakuja anamwagia mipovu ya sabuni kwenye kioo bila hata ya ruhusa, nilitamani yule mwarabu angeonesha mfano leo
 
Ajabu sana ,toka lini huduma likawa ni jambo la lazima?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom